Ukweli mchungu: Wanaume hupenda mwanamke malaya kuliko mtulivu. Ndiyo maana malaya wana bahati ya kuolewa mapema kuzidi wengine

Ukweli mchungu: Wanaume hupenda mwanamke malaya kuliko mtulivu. Ndiyo maana malaya wana bahati ya kuolewa mapema kuzidi wengine

Woi. Kuitwa mke Kuna raha Kama unapendwa na kuheshimiwa. Sio kila siku unapigwa matukio unatambua kabisa mume wangu anavua malaya tofauti kila siku hlf upo unajigamba wewe ni mke.

Wakati moyoni unasononeka, unadharauliwa wazi wazi unatamba na Pete yako eti wewe ni mke.
Inapita zaidi ya mwezi mume hajakugusa maana humvutii tena upo tu hapo home Kama msichana wa kazi.

Raha ya ndoa mume akutake kila siku, yaani anakutaka haswa na unajua kabisa so rahisi atoke nje ingawa anaweza kutoka lkn bado unapendwa na unatambua.
Kumbe dawa ni kukupiga nalo kila siku ngoja leo nianze dozi kwa mama yoyo
 
Kumbe dawa ni kukupiga nalo kila siku ngoja leo nianze dozi kwa mama yoyo
Ha haaa hapo nimejiongelea mimi ukute wa kwako hapendi. Ila issue sio kila siku ila ipite wiki, wiki mbili, mwezi basi kuna tatizo.
Na wengine wanajilazimisha tu kutimiza wajibu mi staki kwa kweli...tutakane haswaaaa...ile kinoma noma
 
Woi. Kuitwa mke Kuna raha Kama unapendwa na kuheshimiwa. Sio kila siku unapigwa matukio unatambua kabisa mume wangu anavua malaya tofauti kila siku hlf upo unajigamba wewe ni mke.

Wakati moyoni unasononeka, unadharauliwa wazi wazi unatamba na Pete yako eti wewe ni mke.
Inapita zaidi ya mwezi mume hajakugusa maana humvutii tena upo tu hapo home Kama msichana wa kazi.

Raha ya ndoa mume akutake kila siku, yaani anakutaka haswa na unajua kabisa so rahisi atoke nje ingawa anaweza kutoka lkn bado unapendwa na unatambua.
Hao malaya itakuwa kuna skills wanajua kuhusu kiumbe mwanaume, kwanini wao watakiwe kila siku kuliko wa ndoani?.
 
Mnyazi Mungu akuweke sana udugu wangu Dmkali
huo ndo ukweli, wanaume wanapenda malaya, aivo nna udugu wangu mwenyewe Zainab malaya wa mburahati anaolewa kutwa mara 3, mie nipo tu kama yatima niliesuswa, Poooh malaya nimefungwa kuolewa... Aivo naenda kisarawe kwa bibi angu kambaulaya malaya wa TANU mwenye ndoa 7 akanifungue!

Poooh ukweli ndo huu udugu wangu Dmkali malaya ndo wanaolewa, sisi watulivu tumekalia Salamaleko Mnyanzi Mungu atusaidie.
Hahahaha njoo nikuoe sasa unashangaa shangaa waoaji tupo humu mnadengua dengua mkiitwa piemu
 
Unakosea sana kusema tunspenda wanawake malaya.

Unstakiwa useme tunapenda wanawake watundu kitandani.

Kinachowafanya malaya waolewe sio umalaya wao,bali ni ule uzoefu wa utundu wao kitandani akikufanyia wewe akakuonjesha unapagawa lakini sio kwwmba unapagawa nae na kutaka kumuoa kwa sababu ya kuwa ana wanaume wengi,bali kwa sababu ya utundu.

Kama wewe unapenda malaya kwa sababu ya umalaya wake na sio utundu basi naomba iwe kwako tu mkuu.

Ndio maana wengi wanaooa malaya wanasifia kwamba wanajua msmbo,kuna mijanamke mimalaya inagawa tu lakini haina inachojua kwenye uringo wa mapenzi,hawa hawaolewi ng'o hata kama ni malaya,mtu ataishia kwenda kuzini kutoa nyege zake tu.

Malaya wanapendwa kwa utundu wao na sio kwa sababu ya umalaya wao
Malaya ana njonjo ambazo mtoto aliyetulizana hana! Ndio sababu wanakimbiliwa japo wengi sio wife material ila wana namna ya kuchezesha kete zao vizuri ili kumuingiza kidume kingi
 
Labda kuna ka ukweli.
Ndio maana sikuhizi kuna ndoa nyingi zinakufa baada ya Mume kugundua kuchapiwa kwa Malaya wake aliyemuoa.
Hahahaha ndio maana ndoa hazidumu ukioa malaya mwanamke kashafirwa sana mtaani jua kabisa atatoka apeleke tako lake likashughulikiwe vizuri kwa hawara wake!
 
Hahaha malaya haolewi anatumika tu kuboresha tendo la ngono! Satisfaction level ya penzi la malaya bubu hawa ni beyond wife level! Njonjo pia wanaziweza ndio maana wanapendwa.
Sasa shida yote ya nini, kwanini msioe Malaya ili mridhike vya kutosha
 
Hahahaha njoo nikuoe sasa unashangaa shangaa waoaji tupo humu mnadengua dengua mkiitwa piemu
Yarabi kaniona nistirike mie mtoto wa kiwalani Poooh, karibu mpenzi wangu penzi tulienzi, nimifurahi kwerikweri tuanze zile plosesi, ila usinizungushe kama nafatilia mirathi ya kiwanja cha mkopo
 
Yarabi kaniona nistirike mie mtoto wa kiwalani Poooh, karibu mpenzi wangu penzi tulienzi, nimifurahi kwerikweri tuanze zile plosesi, ila usinizungushe kama nafatilia mirathi ya kiwanja cha mkopo
Penzi utalifurahia usipokuwa mchoyo tu sio unakuwa mnyimi halafu unategemea uinjoy penz
 
Kuna ukweli kwaambali katika hili ...ila mleta mada hajjieleza vizuri!

Kimsingi mwamamke amabaye anajichanganya yupo kwenye uwezekano mkubwa wa kuolewa kuliko mtulivu!
Dada anayetoka nyumbani....anna nafasi zaidi ya kuolewa. Pia no budi awe mchangamfu ...mwongeaji,asiyeeogopa wanaume na mwepesi keleza hisia zake...huyu ni rahisi Sana kuwateka wanaume kuliko mtu mtulivu na mpole anayeshinda nyumbani.

Utamaduni was kutulia nyumbani na kufuatwa na wachumba unapotea kwa Kasi saana! Mika ile watu walikuwa wanaolewa kwa kufuata jina la ukoo au familia....Leo hii watu wanakutana Bar,Daladala au sokoni!
Ni bahati mbaya Sana tuna mapaokeo(baadhi) wakimuona binti kachangamka,anakweenda Disko,Barb,club anahesabika ni umalaya!

Umalaya ni wake wanaouza mwili....na Kama wanaolewa Basi wanaolewa na Wanaume Malaya au waliokata tamaa!
 
Hatutaki kuoa malaya sababu hawana akili za kutunza familia na kuwaza maisha ila kingono wapo vizuri!

Ndoa ni maisha sio starehe ya muda mfupi kama sex
Bahati mbaya nyege na akili hazina uhusiano kama ilivyo kitambi na pesa au kipara na utajili,
Malaya wenye akili zao wapo kibao
 
Kimtazamo unaweza kudhani ni kweli wanaume hatupendi Malaya! Lakini kiuhalisia sivyo kabisa! Leo nawasanua muelewe somo hili mjifunze! Asilia (Nature) haitaweza kubadilika kamwe! Mwanaume kaumbiwa matamanio mengi mwilini! Mbaya zaidi matamanio hayo yanahitaji kutibiwa immediately pasipo kuchelewa.
Mwanamke Malaya akijipromo
 
Back
Top Bottom