Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 43,960
- 77,533
Bado isitufanye kubweteka kiboya.Ishi naye kwa akili nyingi na zingine tumia kuiona kesho yako.Pesa haiwezi ikakusaidia hata kwa 40% ya mahitaji yako ukiwa umezeeka
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bado isitufanye kubweteka kiboya.Ishi naye kwa akili nyingi na zingine tumia kuiona kesho yako.Pesa haiwezi ikakusaidia hata kwa 40% ya mahitaji yako ukiwa umezeeka
Hata huyo bibi kizee wako anakinyaa na wewe ukizeeka ni vile anakunafikiaUshawahi ona unasaidiwa kwa kinyaa na huku pesa ni zako.
SawaAndiko lina aya 13 na kila aya imebeba ujumbe uleule.
Mwanaume jitafutie hela zako mapema kabla ya kuzeeka.Mwanamke hana faida yeyote kwa mwanaume uzeeni zaidi ya kukulipizia kisasi na kukuwahisha kufa mapema
Ndugu zangu kuna misemo na matisho wanayopewa vijana wa kiume huko duniani kuwa wewe mwanaume endelea kukataa kuoa FAINALI NI UZEENI pia wanawadanganya vijana wa kiume kuwa mwanaume akizeeka ana mtegemea sana mwanamke, huu ni ungo na chuki zidi ya vijana waliochagua kutokuoa ili waishi kwa amani, uhuru na furaha tele hapa duniani tena ni wivu kwa hawa wazee wanao zeeka huku wanaonja joto la jiwe kutoka kwa wanawake waliozani watakua msaada uzeeni.
Wanataka na nyie muoe ili mkizeeka mteswe kama na wao wanavyoteswa na hao wanawake huko uzeeni, hawataki kuona mnakuja kua wazee vijana wenye furaha zao za uzee mwema
Mwanaume usidanganywe hakuna mwanamke atakayekuja kua na faida yeyote kwako uzeeni zaidi ya kukuwaisha kaburini ndiyo maana wanawake wanaangalia na wanaume wa kuishi nao ili iwe rahisi kukuangamiza uzeeni, huyo mwanamke uliye naye nikitendo cha muda tuu anasubiri uzeeke ili aanze kukuangamiza na kukulipizia yale yote uliyokua unafanya ujanani kwa kivuli cha kua MWANAUME NI KICHWA CHA FAMILIA NA KIONGOZI WA MWANAMKE HAIJALISHI ULIMTENDEA MEMA AU MABAYA YEYE ATALIPIZA
Ndugu ukweli ni kwamba mwanamke hana faida yeyote kwa mwanaume pindi anapo zeeka bali ni hasara tupu na kukurahisishia wewe mwanaume uwahi kufa kwa stress na vimbwanga vyake vya uzeeni huku akishirikiana na wanao kukutesa mpaka ufe
Mwanaume anapo zeeka na kuishiwa nguvu wanawake wanageuka maninja na walipizi wa visasi dhidi ya huyo mwanaume wake,mwanaume utakapo zeeka fahamu kuwa huyo mwanamke wako unaedanganywa atakusaidia uzeeni atageuka kuwa mgomvi, atakutukana, atakushindisha njaa, atakupa stress kupita kiasi ili kulipia yale aliyoshindwa kukufanyia enzi hizo ukiwa kijana njemba na mwanaume mwenye nguvu zako tele
Wanawake wapo na wanaume kimkakati sana , yupo na wewe sasa hivi akupigi ngumi , akuchomi kisu maana anajua akifanya hivyo utamsokota haswa au utaondoka kwenda kuoa mwanamke mwingine mzuri zaidi yake bali atajifanya mwema ili asubirie ukifika uzeeni akupige ngumi, akutukane na wakati mwingine ashirikiane na watoto wako kukuua ili abaki yeye mwenyewe.
Mwanaume unapo zeeka unakua huna tena thamani kwa huyo mwanamke wako, anajua wewe umesha zeeka na hakuna kitu utafanya zaidi ya kusubiria kufa, anajua kabisa atafanya juu chini upate presha au kisukari ili ukae uko ndani na yeye akukalie na kukupelekesha mpaka uitike abeee mke wangu.
Mwanaume unapo zeeka kaa ukijua mwanamke wako uliedanganywa fainali ni uzeeni atazidisha chuki dhidi yako, ataomba ufe mapema na kila mara atakushinikiza ugawe mali kwa watoto na uonyeshe sehemu atakayo kuzikia
Huyo mwanamke uliedanganywa utamuhitaji uzeeni hatotamani kuongoza tena na wewe babu njiani maana anakuona unatembea pole pole kwa kuchechemea , ataona unampotezea muda na kumkwamisha mambo yake,
Huyo mwanamke atageuka kuwa mchawi dhidi yako atatamani akuloge ili yeye kwa akili zake finyu akae ale maisha yale ambayo hakuyala enzi zako ukiwa na nguvu unampangia kila kitu, atajua sasa pata uhuru baada ya wewe kuzeeka na hakuna rangi utaacha kuona..
Ewe kijana usidanganywe fainali ni uzeeni wewe mwenyewe huko duniani unaona kabisa wazee wanavyoteswa na wake zao mpaka wengine wanakufa upesi kwa kushindwa kuhimili mikiki na njaa za uzeeni, huyo mwanamke uliye ambiwa ukizeeka ndiye utakuja kumujitaji na kua msaada kwako kaa ukijua atageuka kuwa mchawi kwako uzeeni na kukushinikiza uonekane wewe ndiye sababu ya kuvunja ndoa ili apate uhalali wa kugawana mali.
Kijana jenga maisha yako ya uzeeni hakuna mwanamke atakaye kuja kua msaada kwako pindi unapo zeeka, hakuna mwanamke atakayekuja kukusaidia chochote uzeeni zaidi ya kukuwahisha kaburini, jenga maisha yako ya uzeeni , kama unataka kuwa mzee ukiwa na mwanamke jenga maisha ya kutokukosa hela uzeeni na uhakika wa kuishi mpaka huyo mwanamke atakapo kuingiza kaburini,
Ndio maana tunashauri, msipishane sana umri ili uzee uwakute pamojaMwanamke hana faida yeyote kwa mwanaume uzeeni zaidi ya kukulipizia kisasi na kukuwahisha kufa mapema

Sijawahi kuona mambo haya kwa mama yangu.Ninachojua ni kuwa uzeeni kuna manyanyaso mawili wanaume wanapitia
1. Mke kusafiri saana kusalimia wanae hvyo kuna muda anakuwa mpweke
2. Kwichikwichi sahau kwani mke anajitengea chumba kabsa cha kwake cha kulala
Emphatical writting.✍️Andiko lina aya 13 na kila aya imebeba ujumbe uleule.
Ebu weka mawazo ya kisasa hapa nami nijifunze mkuu mkuuUna mawazo ya ki zamani sana mkuu
🤣🤣🤣 Mkuu umemaliza kila kitu na miongoni mwa fikra ambazo haziwezi kufutika kwenye vichwa vya wanawake ni hili la nani anatangulia kufa kura zote zitamwangukia mwanammeAnasafiri kwenda kwa wanae kuwaambia watoto wako utakufa na anawauliza kama kawagaia urithi. Wakisema hapana anaenda mletea vurugu ili afe upesi
Omba sana yasitokee lakini mara nyingi ni kuanzia 65s yrsSijawahi kuona mambo haya kwa mama yangu.
Mimi ni mtoto wa nne kuzaliwa. Naelekea kugonga 40 sasa. Tumezaliwa 6. Unaweza ukaimargine wazee wanaumri gani.Omba sana yasitokee lakini mara nyingi ni kuanzia 65s yrs
Ungetumia commonsensical argument mfano ulichosema si kweli hata kidogo labda zamani huko.Ebu weka mawazo ya kisasa hapa nami nijifunze mkuu mkuu
Naona wanataka walengwa waone ni bora kuishi na mwanamme mwenzakeKuna tatizo sehemu, nguvu kubwa sana ikatumika kusukuma vijana wasiishi na mwanamke.