Ukweli mchungu: Wanawake hawana faida yeyote kwa wanaume uzeeni

Mwanaume jitafutie hela zako mapema kabla ya kuzeeka.

Hao watu Kwa umri mkubwa wewe mwaume.huwezi kuwa provider huna maana watatafuta watakazopata chochote.

Mwanaume tupunguze malalamiko.
 
Ndio maana tunashauri, msipishane sana umri ili uzee uwakute pamoja
 
Ninachojua ni kuwa uzeeni kuna manyanyaso mawili wanaume wanapitia
1. Mke kusafiri saana kusalimia wanae hvyo kuna muda anakuwa mpweke
2. Kwichikwichi sahau kwani mke anajitengea chumba kabsa cha kwake cha kulala
Sijawahi kuona mambo haya kwa mama yangu.
 
Sijui kwanini wanawake huwa wanaamini wanaume tutatangulia kufa! Anyways, tuendelee kuandaa maisha ya uzeeni.
 
Anasafiri kwenda kwa wanae kuwaambia watoto wako utakufa na anawauliza kama kawagaia urithi. Wakisema hapana anaenda mletea vurugu ili afe upesi
🤣🤣🤣 Mkuu umemaliza kila kitu na miongoni mwa fikra ambazo haziwezi kufutika kwenye vichwa vya wanawake ni hili la nani anatangulia kufa kura zote zitamwangukia mwanamme
 
kila mtu acheze ligi yake.
tahadhari na hatua ni muhimu.
sijasema usioe au uoe.
nitaoa lakini si kwa kuifurahisha jamii wala kwa muda wanaotaka wao. nitaoa kwa vigezo na masharti yangu na utayari wangu na kwa tahadhari zangu.
 
Ebu weka mawazo ya kisasa hapa nami nijifunze mkuu mkuu
Ungetumia commonsensical argument mfano ulichosema si kweli hata kidogo labda zamani huko.

Kwanza hata sasa unafikiri kwanini wastaafu huwa wanahitaji pesa zao wakisaatafu?

Kama pesa zingekuwa hazisaidii hata asilimia 40 ya matatizo yao uzeeni, basi kusingekuwa hata na haja ya kuwa na mafao.

That is just one scenario. There’s plenty of others
 
katika hali ya kuugua maradhi ya uzeeni kwa mfano yasiyoambukiza kama kiharusi /stroke,,n.k au katika hali ya ugonjwa mahututi ukiwa umekutandika ukiwa mgonjwa mahututi kitandani au ugonjwa wa kuambukiza
mfano katika kipindi cha janga la ugonjwa wa korona covid 19
MKE PEKEE NDIO MSAADA KWAKO ATAKAYEKUHUDUMIA
Nimeshuhudia wanawake wakiwahudumia waume zao wagonjwa mahututi wasiojiweza wakiwa wanaugua kitandani
Katika hali ya kutokuwa na fahamu,kuwasafisha haja,kuwavalisha pampasi,kuwanywesha uji,maji/chakula,kuwaogesha,na kuwaombea dua njema sala kwa Mungu ili wapone haraka na kuwahurumia na kuwasikitikia kuwafariji.
MWENZA ANA UMUHIMU ,kuna utofauti katika huduma unazoweza kuzipata unapokuwa mgonjwa mahututi ukiwa na mwenza na usipokuwa na mwenza /kuna upweke.

HITIMISHO
Ni vizuri kuwa na MWENZA SAHIHI ,wife material mwenye utu na hofu ya Mungu(kama my wife wangu kutoka Iringa,namuombea Mungu amtunze my wife muhehe ampe maisha marefu)
Mke sahihi ambaye anaweza akawa msaada kwako hata katika kipindi cha shida ukiwa mgonjwa mahututi kitandani,atakayekuombea mema na kukuhurumia .

Ni vizuri kuachana na mwenza ambaye unamuona yupo kwako kimaslahi na hana sifa njema kwako maana (kama yule Mrombo/mchaga)
,kuliko kukosea kuwa na mwenza sahihi .
ni bora kutokuwa na mwenza kuliko uwe na mwenza asiye sahihi kwako,mwenza anaweza asiwe sahihi kwako akawa sahihi kwa mwingine.
 
Kwa kifupi ni kwamba mwanaume unatakiwa kujua interaction yako yoyote na mwanamke iwe urafiki, ndoa n.k basi mwanamke yupo kimkakati.

Kwaiyo usijisahau na kumwamini sana mwanamke mpaka ukaacha hatma yako mikononi mwake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…