Ukweli mchungu: Wanawake hawana faida yeyote kwa wanaume uzeeni

Naona wanataka walengwa waone ni bora kuishi na mwanamme mwenzake
Na mimi naanza (ku smell something fishy)kuhusu HII FALSAFA slogan /upepo /sera /fasheni
ya KATAA NDOA ipo kimkakati ya kutaka watu wasiishi kwa kusudi la Mungu la mume na mke katika ndoa,kama familia ,kubomoa kuharibu familia amabazo ndio familia ndio zinaunda jamii na Taifa.Chochote kinachopingana na kusudi la Mungu ni mpango wa shetani.
 
Kama hamtaki wanawake hawana faida basi chukueni wanaume wenye faida. Mnakwama wapi?
 
We jamaa umechanganyikiwa
 
Babu na bibi zangu walitengana vyumba nguo kila mtu ana fua kivyake pesa kila mtu zake kunyanduana bibi hataki babu anataka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…