Ukweli mchungu: Waumini wengi wa Dini ya Kiislamu wamefungwa ufahamu kwenye Uelewa wa mambo ya Kiroho (Spiritual enlightenment)

Msikilize Al Fadi Mwarabu wa Saudi Arabia sio wewe Mmatumbi ulieArabishwa kifikra

View: https://youtu.be/BYxxQQoYusI?si=ZLOs1zfkFfHK12PV
 
Mpaka Mtume Muhammad anaondoka hapakuwa na kitabu kinachoitwa Quran.
Muhammad mwenyewe hajui Qur'an ípoje na unasura ngapi Kwa sababu hakuiandika na Wakati inaandikwa hakuwepo
Quran sio maandishi hapo ndio hujaelewa, sisi waisilamu primary method ya kuhifadhi quran ni kuhifadhi moyoni sio makaratasi, leo hii ukichoma msahafu yote Duniani kuna mamia ya mamilioni wamehifadhi msahafu kwenye vichwa vyao kuanzia sura ya kwanza hadi ya mwisho.

Mtume alihifadhi Quran na masahaba alihifadhi Quran, hata Outhman alivyoiandika its there kama proof, wakati huo hata photocopy machine hazikuepo watu waliendelea kutransmit Quran kwa mdomo.


Hakuna dini isiyo na chawa.
Wakristo NI Chawa wa Yesu.
Waislam NI Chawa wa Muhammad

Angalau kidôgo Wayahudi
Kwenye Uisilamu mtume ni. Mtume tu hana role nyengine, ndio maana hadi kwenye Quran amekosolewa kuonesha ni binadamu kama sisi, tunachofuata toka kwake ni matendo yake ambayo mwenyez Mungu ametushushia, thats it, hatumuombi msaada mtume wala hana uwezo wa kutatua matatizo yetu isipokua kwa Ruhusa ya Mwenyez Mungu. Neno Muisilamu inamaanisha ku submit kwa Mwenyezi Mungu, so Waisilamu wote Duniani wamejisalimisha kwa Mwenyez Mungu na sio binadamu wengine.
 
Nini maana ya "mkoloni"?
 
Mzungu anaongelea Qur an , kama pangekuwa na versions tofuati hata mashindano ya kuhifadhi yasingekuwepo .

Qur an ni moja kwa mpangilio huo huo labda jalada la nje 😀 😀 😀
Hiyo version mlitokaririshwa kushindana ni Version ya Kisaudi Arabia.
 
Lakini Ukristo huo ni Orthodox, Ukristo huu wa Catholic na wenzie umeletwa kila zima, Wakrtiso ambao ni Orthodox Africa waliuliwa na kuteswa na Waroma, kama isingekuwa Dola ya kiisilamu kuwatetea leo hii pengine hao wakristo wa Asili hata wasingekuepo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…