FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 100,246
- 123,145
Tumefika, wewe umeielewa mada niliyoitiwa? Maana nimeitwa kwa jina kabisa.Ngoja waje.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tumefika, wewe umeielewa mada niliyoitiwa? Maana nimeitwa kwa jina kabisa.Ngoja waje.
Labda huufahamu Uislam, Uislam umekuja kuwaweka watu kifikra, kielimu, kitamaduni na kimaadili.Kipofu ana mcheka kiwete Uislam na Ukrtisto wote sawa Dini ni habari za mwanadam kumtawala binadam mwenzake kwa hiyo zote ni habari za kutunga tu
Hapa umeonesha namna ulivyo hujui kitu nini maana ya Qur an?. Yani bora hata unge kaa kimya
Kwa muandiko wake tu, hana analolifahamu kuhusu Uislam.Mleta mada wewe unafahamu vipi kwa ufupi historia ya dini ya kiislamu?
Msikilize Al Fadi Mwarabu wa Saudi Arabia sio wewe Mmatumbi ulieArabishwa kifikraKuongea rahisi sana kuliko kuprove, hakuna Quran 26, la sivyo kungekua na mtifuano wa haja kwenye Madhehebu ya kiisilamu. Hio issue ya dialect kuna mijadala kibao, vyema tafuta debate iwe na sheikh wa kiisilamu na asie muisilamu kama lengo lako ni kupata ukweli, kuangalia video mtu anajitekenya na kucheka mwenyewe hakutakufikisha popote.
Quran sio maandishi hapo ndio hujaelewa, sisi waisilamu primary method ya kuhifadhi quran ni kuhifadhi moyoni sio makaratasi, leo hii ukichoma msahafu yote Duniani kuna mamia ya mamilioni wamehifadhi msahafu kwenye vichwa vyao kuanzia sura ya kwanza hadi ya mwisho.Mpaka Mtume Muhammad anaondoka hapakuwa na kitabu kinachoitwa Quran.
Muhammad mwenyewe hajui Qur'an ípoje na unasura ngapi Kwa sababu hakuiandika na Wakati inaandikwa hakuwepo
Kwenye Uisilamu mtume ni. Mtume tu hana role nyengine, ndio maana hadi kwenye Quran amekosolewa kuonesha ni binadamu kama sisi, tunachofuata toka kwake ni matendo yake ambayo mwenyez Mungu ametushushia, thats it, hatumuombi msaada mtume wala hana uwezo wa kutatua matatizo yetu isipokua kwa Ruhusa ya Mwenyez Mungu. Neno Muisilamu inamaanisha ku submit kwa Mwenyezi Mungu, so Waisilamu wote Duniani wamejisalimisha kwa Mwenyez Mungu na sio binadamu wengine.Hakuna dini isiyo na chawa.
Wakristo NI Chawa wa Yesu.
Waislam NI Chawa wa Muhammad
Angalau kidôgo Wayahudi
Nini maana ya "mkoloni"?sawa uliingia afrika kabla ya ukoloni kwasababu ya wale waislam waliokimbia macca wasiuwawe na kuja afrika kujificha …
Je uislam umeletwa na nani East africa? Kama sio mkoloni..?
Ukifatilia hata ukristo pia ulikuja afrika kabla ya ukoloni…
But East africa ulitwa na ukoloni kama ilivyo uislam..
Hiyo version mlitokaririshwa kushindana ni Version ya Kisaudi Arabia.Mzungu anaongelea Qur an , kama pangekuwa na versions tofuati hata mashindano ya kuhifadhi yasingekuwepo .
Qur an ni moja kwa mpangilio huo huo labda jalada la nje 😀 😀 😀
Siyo kweli.Uzuri wa uisilamu ni kuwa na misimamo tu hapo napenda sana, yaani muumini akiambiwa na kiongozi wake chinja ajiulizi wala kujioji.
Lakini Ukristo huo ni Orthodox, Ukristo huu wa Catholic na wenzie umeletwa kila zima, Wakrtiso ambao ni Orthodox Africa waliuliwa na kuteswa na Waroma, kama isingekuwa Dola ya kiisilamu kuwatetea leo hii pengine hao wakristo wa Asili hata wasingekuepo.Kwa mara ya kwanza ukristo uliingia maneo ya ethiopia karne ya 4 tena baada ya mfalme wao kuamua kuwa mkristo…
Baada ya hapo ulianza kusambaa taratibu hadi kufikia karne ya 18 . . Na kanisa la kwanza kusimikwa afrika mashariki ni 1840.. na liliwekwa na wamishenari wa kijerumani ambapo baadae ndio walikuja kuwa wakoloni wa eneo letu … sasa unakataa nini kama hakuleta mkoloni!?
Naona wewe unaamini sana dini kuliko Mungu..
Amini Mungu aliehai.. acha kuamini dini za kidunia hazina maana yoyote zaidi ya kuwa biashara za watu …
So amka …
SALI sana ila usiamini kuwa dini flani ndio ipo sahihi!!
Hizi unazoona hapaZaidi ya ipi?
Kwani sasa hivi level yangu ni ipi?Hizi unazoona apa
ThibitishaKipofu ana mcheka kiwete Uislam na Ukrtisto wote sawa Dini ni habari za mwanadam kumtawala binadam mwenzake kwa hiyo zote ni habari za kutunga tu
Sijajua bado nakuona upo upo tu😁😁😁Kwani sasa hivi level yangu ni ipi?
Basi umekosea kuniambia nivuke level ambayo hujui kama ndiyo niliyopo au lahSijajua bado nakuona upo upo tu😁😁😁
Ila kweli😁😁Basi umekosea kuniambia nivuke level ambayo hujui kama ndiyo niliyopo au lah
Jipange upya, uje wakati mwingine🥸🤸Ila kweli😁😁