Ukweli mchungu: Waumini wengi wa Dini ya Kiislamu wamefungwa ufahamu kwenye Uelewa wa mambo ya Kiroho (Spiritual enlightenment)

Ukweli mchungu: Waumini wengi wa Dini ya Kiislamu wamefungwa ufahamu kwenye Uelewa wa mambo ya Kiroho (Spiritual enlightenment)

Kuongea rahisi sana kuliko kuprove, hakuna Quran 26, la sivyo kungekua na mtifuano wa haja kwenye Madhehebu ya kiisilamu. Hio issue ya dialect kuna mijadala kibao, vyema tafuta debate iwe na sheikh wa kiisilamu na asie muisilamu kama lengo lako ni kupata ukweli, kuangalia video mtu anajitekenya na kucheka mwenyewe hakutakufikisha popote.
Msikilize Al Fadi Mwarabu wa Saudi Arabia sio wewe Mmatumbi ulieArabishwa kifikra

View: https://youtu.be/BYxxQQoYusI?si=ZLOs1zfkFfHK12PV
 
Mpaka Mtume Muhammad anaondoka hapakuwa na kitabu kinachoitwa Quran.
Muhammad mwenyewe hajui Qur'an ípoje na unasura ngapi Kwa sababu hakuiandika na Wakati inaandikwa hakuwepo
Quran sio maandishi hapo ndio hujaelewa, sisi waisilamu primary method ya kuhifadhi quran ni kuhifadhi moyoni sio makaratasi, leo hii ukichoma msahafu yote Duniani kuna mamia ya mamilioni wamehifadhi msahafu kwenye vichwa vyao kuanzia sura ya kwanza hadi ya mwisho.

Mtume alihifadhi Quran na masahaba alihifadhi Quran, hata Outhman alivyoiandika its there kama proof, wakati huo hata photocopy machine hazikuepo watu waliendelea kutransmit Quran kwa mdomo.


Hakuna dini isiyo na chawa.
Wakristo NI Chawa wa Yesu.
Waislam NI Chawa wa Muhammad

Angalau kidôgo Wayahudi
Kwenye Uisilamu mtume ni. Mtume tu hana role nyengine, ndio maana hadi kwenye Quran amekosolewa kuonesha ni binadamu kama sisi, tunachofuata toka kwake ni matendo yake ambayo mwenyez Mungu ametushushia, thats it, hatumuombi msaada mtume wala hana uwezo wa kutatua matatizo yetu isipokua kwa Ruhusa ya Mwenyez Mungu. Neno Muisilamu inamaanisha ku submit kwa Mwenyezi Mungu, so Waisilamu wote Duniani wamejisalimisha kwa Mwenyez Mungu na sio binadamu wengine.
 
sawa uliingia afrika kabla ya ukoloni kwasababu ya wale waislam waliokimbia macca wasiuwawe na kuja afrika kujificha …

Je uislam umeletwa na nani East africa? Kama sio mkoloni..?

Ukifatilia hata ukristo pia ulikuja afrika kabla ya ukoloni…
But East africa ulitwa na ukoloni kama ilivyo uislam..
Nini maana ya "mkoloni"?
 
Mzungu anaongelea Qur an , kama pangekuwa na versions tofuati hata mashindano ya kuhifadhi yasingekuwepo .

Qur an ni moja kwa mpangilio huo huo labda jalada la nje 😀 😀 😀
Hiyo version mlitokaririshwa kushindana ni Version ya Kisaudi Arabia.
 
Kwa mara ya kwanza ukristo uliingia maneo ya ethiopia karne ya 4 tena baada ya mfalme wao kuamua kuwa mkristo…
Baada ya hapo ulianza kusambaa taratibu hadi kufikia karne ya 18 . . Na kanisa la kwanza kusimikwa afrika mashariki ni 1840.. na liliwekwa na wamishenari wa kijerumani ambapo baadae ndio walikuja kuwa wakoloni wa eneo letu … sasa unakataa nini kama hakuleta mkoloni!?

Naona wewe unaamini sana dini kuliko Mungu..

Amini Mungu aliehai.. acha kuamini dini za kidunia hazina maana yoyote zaidi ya kuwa biashara za watu …
So amka …
SALI sana ila usiamini kuwa dini flani ndio ipo sahihi!!
Lakini Ukristo huo ni Orthodox, Ukristo huu wa Catholic na wenzie umeletwa kila zima, Wakrtiso ambao ni Orthodox Africa waliuliwa na kuteswa na Waroma, kama isingekuwa Dola ya kiisilamu kuwatetea leo hii pengine hao wakristo wa Asili hata wasingekuepo.
 
Back
Top Bottom