Ukweli mchungu: Zanzibar tunaishi kwa kudra za Tanganyika!

Wanasem Wazenji kwamba wakipewa uhuru wao, watawaita Waarabu wa Dubai na Oman wapabadirishe hapo pawe kama Dubai...
Haya ni maoni yako, una haki ya kutoa maoni. Hakuna siku ilisemwa Wazanzibari wakipewa uhuru watawia Waarabu. Kama ni hivyo ilikuwa na maana gani kufanya mapinduzi? Hata hili hulijui? Au ndo kwasababu ni Mtanganyika na umeshadanganywa huko? Tumia akili ki
 
Usiwe na wasiwasi wale wajomba zenu wa Oman wapo, mtatoboa tu.
 
Wewe mchaga tulia kama mwanaume andika hoja sio kutumia utambulisho wa sehemu hta haikuhusu. 😛
 
Huyo ni mchaga kutoka machame yupo Zanzibar anauza vinyago
Huwa wanadanganywa mdhabahuni kuwa Wazanzibari, kwa imani yao, hawajiwezi na hawajui kitu ila tunapokutana nao kivitendo huwa wanajua kwamba sisi sio kama wanavyoambiwa. Mimi mara nyingi huwaambia kwamba 'akili za kuambiwa changanya na zako'
 
Umesahau na kuuza kwenu urojo na pweza hapa bara ,pamoja na kununua ardhi bara msingeweza kuishi znz
 
Hizo ni ndoto za mchana.
Hao jamaa nimeishi nao maana ni mtu wa kaskazini ila sio watu wazuri, hawa wana chuki sana sio marafiki ..Hawa wanasema eti kanisa lina nguvu il juzi hpa DP world wamepigwa chini na waraka wao wa kitoto ....Mchaga anachukia watanzania wote .

Kama unabisha hwa wachaga wakiona ndugu mweny yao kaoa mtu nje ya jamii yao wanamkosa , watafanya visa kuonyesha chuki rejea Dvid Mosha na ndoa ya Barnaba.

Bora kujiunga na zenji kuliko hawa wakimbizi wasiotaka kukaa kwao.
 
Aseee ,ivi ulikuwa wapi mdaa wotee asee

Mmoja wa Mzanzibari mwenye akili.nahisi unaDNA za Bara wewe .si bure Shehee

Njoo Arusha nikupe kiwanjaa ukae hukuu

Kikinuka wala hutokuwa na shida Tajiri
Nimesikia huko Arusha kuna wadudu, sasa haka kamuungano ketu siku kakifa nahisi hao wadudu watanitoa mkuku nirudi kwetu unguja na kugawana kibanda changu!
 
Reactions: K11
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…