Accumen Mo
JF-Expert Member
- May 15, 2022
- 18,036
- 39,882
Kaskazini unatetea huyo sio mzanzibar , ukileta hapa nakupa pesa kwa uthbitisho ...Mkimbizi huyo anarudi kwao December.mleta mada ni mzanzibari. namjua kwa uzuri. siwezi ku reveal identity yake hapa na faragha za pembeni za kufahamiana naye.
Maadam tumependa, tutavumilia tuu milele!. Mtu ukipenda unavumilia kila kitu, mfano ni huu Tangu lini Mke Ndani Ya Ndoa Akaomba Uhuru ili Kutoka Nje Ya Ndoa? Aruhusiwe?
Ruhusa tumempa ila talaka hatutoi!.
P
Sio kweli huyo ni mchaga wa machame yupo Zanzibar anauza vinyagomleta mada ni mzanzibari. namjua kwa uzuri. siwezi ku reveal identity yake hapa na faragha za pembeni za kufahamiana naye.
Tumia utambulisho wa kwenu , acha kejeli ...Usipagawe na JF watu unaweza kufuatiliwa.Nimesikia huko Arusha kuna wadudu, sasa haka kamuungano ketu siku kakifa nahisi hao wadudu watanitoa mkuku nirudi kwetu unguja na kugawana kibanda changu!
Sasa wewe mwenye kuijua Zanzibar embu tuambie basi, Zanzibar tutawezaje kutoboa kimaisha siku moja huu muungano ukafia baharini?Huijui Zanzibar. Ungetulia tu.
Kaka mbona iko wazi kabisa anaeng'ang'ania huu muungano ni CCM na sio Watanganyika. Bahati mbaya hata huko hao CCM mnao.Mimi mpaka kesho najiuliza, nyinyi watanganyika mnafaidika nini na huu muungano?
Nani aliwaloga?
Hampati chochote na bado mnabebeshwa mzigo mzito wa kuihudumia Zanzibar lakini hamchoki tu.
Yaani Mzanzibar ataendelea kumdharau kila mtanganyika milele.
Maneno haya Zitto Kabwe Mcongoman hataki kusikia.Japokuwa huu muungano ni kichefu chefu tu kwa wazanzibar lakini ukweli mchungu ni kuwa, bila huruma na upendo wa Tanganyika basi huenda Zanzibar tusiweze kutoboa hata miezi mitatu.
Kuanzia Ulinzi, Usalama mpaka umeme tunapewa bureee na watanganyika. Kodi na rasimali za watanganyika ndio zinatupa maisha wazanzibar.
Rasimali na mapato yetu ya ndani ya Zanzibar hayawezi kutosha kugharamia ulinzi, usalama, umeme na huduma zingine muhimu za kijamii kwa zaidi ya miezi mitatu, tutaangamia!
Wewe ni mchaga kutoka machame upo Zanzibar kuuza vinyago toka lini umekua Mzanzibari?Sasa wewe mwenye kuijua Zanzibar embu tuambie basi, Zanzibar tutawezaje kutoboa kimaisha siku moja huu muungano ukafia baharini?
Yaani kama hata ulinzi, usalama na umeme kwa 100% Zanzibar tunategemea msaada wa pesa za mvuja jasho wa Tanganyika, ni kipi hasa tutaweza kukiendesha sisi wenyewe?
Ukweli usemwe, mtanganyika apewe maua yake kwa kuweza kutusitiri sisi wazenji kwa miaka 60.
Huko wapi ? Huyo ni mtanganyika mwenzako mchaga kutoka machame yupo Zanzibar anauza vinyago wala sio MzanzibariKaka mbona iko wazi kabisa anaeng'ang'ania huu muungano ni CCM na sio Watanganyika. Bahati mbaya hata huko hao CCM mnao.
Zanzibar watapata pesa zao na misaada kwa 100%. chakula hata bongo kinaagizwa juzi tu hapa walipiga marufuku ndizi kutoka huku Tz mkaanza kupiga kelele, mipakani mpaka wakenya wanunua chakula na vivyo hivyo watanzania wananunua kutoka nje.Sasa wewe mwenye kuijua Zanzibar embu tuambie basi, Zanzibar tutawezaje kutoboa kimaisha siku moja huu muungano ukafia baharini?
Yaani kama hata ulinzi, usalama na umeme kwa 100% Zanzibar tunategemea msaada wa pesa za mvuja jasho wa Tanganyika, ni kipi hasa tutaweza kukiendesha sisi wenyewe?
Ukweli usemwe, mtanganyika apewe maua yake kwa kuweza kutusitiri sisi wazenji kwa miaka 60.
Nionyeshe mzanzibar wa asili ili nikuonye mgeni wa kuja Zanzibar!Huyo jamaa znz Asp ni mchaga kutoka machame yupo Zanzibar anauza vinyago
Nimekuuliza toka lini umekua Mzanzibari?Nionyeshe mzanzibar wa asili ili nikuonye mgeni wa kuja Zanzibar?
Wazanzibar wote ni watu wa kuja, kuanzia Mzee Karume mwenyewe (mnyasa), Maamlim (mshiraz wa kutoka Oman) mpaka Dr. Hussein (kutoka Mkuranga)
Sifa kubwa (na mbaya) ya Mzanzibar kubagua na kutumikisha, ubaguzi ni kama ngozi kwa mzanzibar. Mshirazi (mpemba!) atambagua mswahili (muunguja!) na muunguja atamdidimiza (mtumikisha) mpemba. Ngoma pia ipo siku itageuka. Yaani Zanzibar tumekaa kuviziana tu.
Huwa nashambulia hoja sio mtu Bwana Makame.Huko wapi ? Huyo ni mtanganyika mwenzako mchaga kutoka machame yupo Zanzibar anauza vinyago wala sio Mzanzibari
NimekufahamuHuwa nashambulia hoja sio mtu Bwana Makame.
Mimi nataka tu siku moja huu muungano uvunjike ili wabaki kwao tuone wwtafsnya maajabu gani ..watu wanapewa kila ain y a upendeleo lakin hawaridhikiWanasem Wazenji kwamba wakipewa uhuru wao, watawaita Waarabu wa Dubai na Oman wapabadirishe hapo pawe kama Dubai...
Sasa akili zao zilivyo fupi, chakula kinatoka Bara.. na Wazenji wengi hawana kazi za maana nikimaanisha hakuna mzunguko wa hela unaoeleweka ukiweka pembeni shughuli za Utalii na Uvuvi.
Mazao yao hayo ya karafuu, mwani etc havitoshi kuingiza kipato kwa mtu mmoja mmoja.
Ikumbukwe karibu nusu yao wapo huku Bara.. wakipewa uhuru wao na sisi tunawatimua huku warudi kwao hivyo overpopulation itakuwepo na ufinyu wa resources lazima uzidi kuwadidimiza.
I wish siku ifike kila mtu abebe chake.
Kwa hiyo na wewe ni Mzanzibari wa kuja au vipi ?Nionyeshe mzanzibar wa asili ili nikuonye mgeni wa kuja Zanzibar!
Wazanzibar wote ni watu wa kuja, Zanzibar haina mwenyewe, kihistoria ni kisiwa cha uvuvi, utumwa na ulanguzi. kuanzia Mzee Karume mwenyewe (mnyasa), Maalim (mshiraz wa kutoka Oman) mpaka Dr. Hussein (kutoka Mkuranga)
Sifa kubwa (na mbaya) ya Mzanzibar ni kubagua na kutumikisha, ubaguzi ni kama ngozi kwa mzanzibar. Mshirazi (mpemba!) atambagua mswahili (muunguja!) na muunguja atamdidimiza (mtumikisha) mpemba. Ngoma pia ipo siku itageuka. Yaani Zanzibar tumekaa kuviziana tu.
Namshangaa huyu mpenda misaada ya bure. Hivi Zanzibar kabla ya 1964 ilikuwa inaishi vipi? Au hivyo visiwa vingi tu vinavyojitegemea wenyewe vinajiendesha vipi?Ni sawa na kusema Tanzania bila ya misaada ya Ulaya isinge toboa.
Hivi kuna kisiwa duniani hakiwezi jiendesha wenyewe?.
Shehee Wadudu wa huku ni MarasiNimesikia huko Arusha kuna wadudu, sasa haka kamuungano ketu siku kakifa nahisi hao wadudu watanitoa mkuku nirudi kwetu unguja na kugawana kibanda changu!