Ukweli mchungu: Zanzibar tunaishi kwa kudra za Tanganyika!

Huyu ni mchaga muoza meno hapajua zanzibar hata yule mk254 ni mchaga hawana lolote, fuatilia nyuzi zake ni chadema kenge huyo 😀
Awe mzanzibar au awe mchaga anachosema kina mantiki.huwezi kuendesha nchi kwa kutegemea utalii tena wa bahari na wa msimu.
Angalia visiwa vya Seychelles & Comoros vyevye uelekeo sawa wa kiuchumi na Zanzibar hali zao ni mbaya.
 
Miaka yangu mitano ya kuhudumu pemba na unguja

Matendo yenu yalinifanya niwachukie sana wazanzibar

Lazima mtaumia tu
 
Tafakari upya.
Tukivunja muungano, Zanzibar tutapata wapi pesa za kuendesha serikali na kutoa huduma za kijamii kwa uendelevu ikiwa kwa sasa hivi tu hatuwezi kulipa hata umeme wa Tanesco?

Hivi hujui kwa sehemu kubwa uendeshaji wa SMZ kibajeti unategemea ruzuku kutoka serikali ya muungano, ambayo ni pesa inayokusanywa zaidi kutoka kwa mvuja jasho wa kitanganyika?
Hivi unajua bajeti ya ulinzi na usalama ya serikali ya muungano inayotumia ili kuilinda Zanzibar?

Hoja ya kusema, muungano ukivunjika basi Zanzibar tutapata pesa za misaada za kutosha kwa 100% ni hoja ya kimaskini, kijinga na kipumbavu zaidi iliyojaa vichwani mwa wazenji wengi. Ni fikra duni kupita maelezo. Yaani wazenji wakisikia Tanzania imepewa pesa za misaada wanadhania ni pesa za sandakalawe, hawajui hizo sio pesa za bure (nyingi ni mikopo) na wanaozitoa wana akili mara kumi yetu (ni mtego wa hatari), na wanaozitoa wamesoma ramani ya kuvutiwa na fursa bwerere zilizopo Tanganyika kuliko Zenji.

Mwisho fahamu tu, sio muungano ndio unaofanya vyakula viletwe kuuzwa Zanzibar bali fursa za kibiashara ambazo ziko wazi na huru kwa taifa lolote lile. Hata muungano usingekuwepo bado watanganyika wangepeleka kuuza vyakula Zenji. Issue ni uwezo wa SMZ kuweza kuwahudumia wazenji kijamii bila msaada wa serikali ya Muungano uko chini mnoo, haufiki hata 30%
 
Mbona hapa kuna uhuru na wamekuja DP WORLD? nani ambae hatumii akili kati yetu?
 
Walivyo wavivu
 
Sasa wewe mwenye kuijua Zanzibar embu tuambie basi, Zanzibar tutawezaje kutoboa kimaisha siku moja huu muungano ukafia baharini?
Tuombe kwanza ufe halafu uone sisi Wazanzibari tumekufa njaa. Nikukumbushe tu:
1. Zanzibar ipo kabla ya muungano huu.
2. Zanzibar hii ndiyo iliytawala hadi mwambao wa Bara maili kumi kungia ndani
3. Zanzibar hii ndiyo iliyotawala hadi Ksmayuu Somalia na Mombasa Kenya.
4. Zanzibar hii, kwa sababu ya nafasi yake, ndiyo ilimfanya Julius Kambarage Nyerere kusema kwamba 'laiti ningekuwa na uwezo ningeichukua nikaitupilia mbali bahari ya Hindi'.
5. Zanzibar hii ndiyo iliyomfanya William Lukuvi kusimama madhabahuni na kusema kwamba ni lazima Zanzibar idhibitiwe kwani italeta Uislamu wenye siasa kali.
Yaani kama hata ulinzi, usalama na umeme kwa 100% Zanzibar tunategemea msaada wa pesa za mvuja jasho wa Tanganyika, ni kipi hasa tutaweza kukiendesha sisi wenyewe?
Ninaposema hujui huwa namaanisha. Zanzibar inanunua umeme kwa pesa zake. Nimesema Mahali pingine kwamba ni Zanzibar ipo kabla ya muungano. Ni lini ilishindwa kujiendesha hadi kufikia kutaka msaada wa wavuja jasho wa Tanganyika? Ila kinyume chake ndo ukweli ulivyo. Jitahidi kujifunza mambo.
 
huwa kuna kitu kinaitwa facts halafu kuna kingine huitwa opinions.
Sio rahis sana kuvitofautisha hiv viwil maana mara nyingi hutegemeana sananna mtazamonwa mtu/watu kuhusu a particular subject.

But kuna namna ya kujua kipi ni kipi na njia bora yabkufanya hivyo, u just check the numbers. Numbers always tell the truth, n that is the fact. No need ya maneno maneno, just check numbers to know the truth.

Numbers zinai prove Zanzibar kuwa dependent zaidi wa Muungano kuliko bara. Zanzibar ndio mnufaika mkubwa zaid kuliko bara.
 
Nimekuuliza toka lini umekua Mzanzibari?
Nimekuwa mzenji kabla hata vitambulisho vya ukaazi havijaanza kutolewa bila ubaguzi kwa kila mzenji.
Hivi wewe ndio wa kuhoji uzanzibar wangu?
 

Kwa nini wewe unajinasibisha na uzanzibari ? Wakati wewe ni mtanganyika?
 
Mzanzibar amdharau Mtanzania kwa lipi?
Wazenji wengi tunawadharau watanganyika kwa sababu ya usingizi wa pono walionao watanganyika kwa kukosa wivu wa utaifa wao wa Tanganyika.
 
Nimekuwa mzenji kabla hata vitambulisho vya ukaazi havijaanza kutolewa bila ubaguzi kwa kila mzenji.
Hivi wewe ndio wa kuhoji uzanzibar wangu?
Alaa kumbe umekua mzenji kabla ya vitambulisho vya ukaazi pole sana mzenji wa mchongo
 
Kwa nini wewe unajinasibisha na uzanzibari ? Wakati wewe ni mtanganyika?
Okay sawa mimi ni mtanganyika kama unavyotaka, halafu wewe ni mzenji halisi, hebu sasa niambie, watanganyika wanafaidika nini na huu muungano, halafu niambie bila msaada wa pesa za mvuja jasho wa Tanganyika, SMZ watawezaje kuhudumia maisha ya wazenji?
 
Nyie mnajiita ni waarabu.. na ndg zenu ni hao.

Au nasema uongo.

Hivyo waarabu kurudi ni kama kumrudisha ndg yenu wa damu.
 
Alaa kumbe umekua mzenji kabla ya vitambulisho vya ukaazi pole sana mzenji wa mchongo
Ndugu yangu acha kukaza fuvu la kichwa soma na elewa, nimesema Uzenji wangu umekuwepo siku zote na sio kwa sababu ya mimi kuwa na kitambulisho cha ukaazi ambacho wazenji wengi wanakitumia kama silaha ya kuwabagua watanganyika kwenye fursa za Uzanzibar.
 
Big brain, ila mkumbuk kuicheksha kabla ya kupika!
 
Wazenji wengi tunawadharau watanganyika kwa sababu ya usingizi wa pono walionao watanganyika kwa kukosa wivu wa utaifa wao wa Tanganyika.
Kwenye mbuga za wanyama wanyama wadogo wadogo ndio huwa nakelele nyingi Kwa sababu hawana uhalika wa kupata wanachotaji lakini wanyama wakubwa hawana shaka ya nahitaji yao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…