Ukweli ni kwamba Billnass ni chaguo la pili la Nandy baada ya Ruge Mutahaba kufariki

Ukweli ni kwamba Billnass ni chaguo la pili la Nandy baada ya Ruge Mutahaba kufariki

Bull Striker

JF-Expert Member
Joined
Dec 2, 2018
Posts
456
Reaction score
1,003
Huu ndo ukweli...

Mdogo wangu Bilnass ajue kuwa Nandy alikuwa Dem wa Ruge.

Sasa mwamba alivyo tangulia ndo hivi sasa...Show zimekuwa nyingi baada ya Ruge kuwa marehem.

Sasa namtizama Nandy kwa unafki kwa Bilnass na huku namtazama Billnass Kwa kumuonea aibu kama second choice...

Any way ndo imeshakuwa...
 
Huu ndo ukweli...
Mdogo wangu Ruge ajue kuwa Nandi alikuwa Dem wa Ruge...alikula na akagaraza...sasa ndo hivyo mwamba alivyo tangulia ndo hivi sasa...Show nyingi baada ya Ruge kuwa marehem.

Sasa namtizama Ndugu Nandi Kwa Unafki Kwa Bilnass na huku namtazama Bilnass Kwa kumuonea aibu kama second choice...
Any way ndo imeshakuwa...

Vijana wanapendana Sana na wapo na chemistry kubwa
 
Huu ndo ukweli...
Mdogo wangu Bilnas ajue kuwa Nandi alikuwa Dem wa Ruge...alikula na akagaraza...sasa ndo hivyo mwamba alivyo tangulia ndo hivi sasa...Show nyingi baada ya Ruge kuwa marehem.

Sasa namtizama Ndugu Nandi Kwa Unafki Kwa Bilnass na huku namtazama Bilnass Kwa kumuonea aibu kama second choice...
Any way ndo imeshakuwa...
Na we mpenzi wako ni dem wa marehemu nani kwani.....😂
 
Huu ndo ukweli...
Mdogo wangu Bilnas ajue kuwa Nandi alikuwa Dem wa Ruge...alikula na akagaraza...sasa ndo hivyo mwamba alivyo tangulia ndo hivi sasa...Show nyingi baada ya Ruge kuwa marehem.

Sasa namtizama Ndugu Nandi Kwa Unafki Kwa Bilnass na huku namtazama Bilnass Kwa kumuonea aibu kama second choice...
Any way ndo imeshakuwa...

SO UNATAKA HUYO BILICANAS AKUOE WEWE? NYIE MADEMU MNA WEKEANA WIVU SANA. ANYWAY HAO NI AKINA NANI? MUAMBIANE HUKO HUKO SALON MSIJE TULETEA BIF ZENU ZA KUCHUKULIANA MABWANA.
 
Back
Top Bottom