Eyce
JF-Expert Member
- Mar 16, 2016
- 7,185
- 24,330
Nandy alitoka kwa Bilnas kwenda kwa ruge kwa ajili ya career yake. Ruge amaefariki, nandy karudi kwa Bilnas ikomaanisha kuwa hapo ndipo moyo wake ulipo.Halafu watu wanaona noma kushea,Billnas alikua anammega Nandy na ilikua inajulikana,yaani ilikua ni MMF,lakini kwasababu Ruge alikua na hela,Billnass ilibidi akubaliane na hali,na hatimaye kamuoa.
Kuna shida gani hapo