Ukweli ni kwamba Billnass ni chaguo la pili la Nandy baada ya Ruge Mutahaba kufariki

Huyo Ruge kwani alimwoa huyo Nandi, si alikuwa anamega kisera kama wengine Mademu/Wapenzi wetu wanavyomegwa huko Mtaani?

Muhimu ni kwamba BillNasi ameharalisha Kwa kumuoa rasmi,na kikubwa amemzawadia binti mrembo ambaye atakuja kumsaidia katika Uzee wake
 
Huu ndo ukweli...
Mdogo wangu Bilnas ajue kuwa Nandi alikuwa Dem wa Ruge...alikula na akagaraza...sasa ndo hivyo mwamba alivyo tangulia ndo hivi sasa...Show nyingi baada ya Ruge kuwa marehem.

Sasa namtizama Ndugu Nandi Kwa Unafki Kwa Bilnass na huku namtazama Bilnass Kwa kumuonea aibu kama second choice...
Any way ndo imeshakuwa...
Kwani uliye naye, naye si kaliwa sana tu?
Wacha ukuda
 
Issue ya kubeba mimba si ndio nilisikiaga. Ikamfanya alazimishe ndoa maana kule upaleni kuzaa nje ya ndoa ni kisanga Kwa familia ....au vipi....kwamba tushasahau sisi Wana jukwaa walikataa asiolewe nae.....ndio maana mzee bili-bangili , akaachia lile song ,,, Kuna verse Ina diss track verse kwenda upaleni....au tushasahahuuu....😁😁😁😁😁😁😁😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆

In shot mm nilivyoonaga nandela alikuwa ana tafuta kiki ya media mawingu kipind bado yupo hai kivuruge wake....si mnakumbuka. Ilikuwa Kila siku song lake linapigwa mara usheeeeeee😂😂😂😂😂😅😂😅😅😅😅

Karibuni Kwa makasiriko Wana nzengo....
 
Huu ndo ukweli...
Mdogo wangu Bilnas ajue kuwa Nandi alikuwa Dem wa Ruge...alikula na akagaraza...sasa ndo hivyo mwamba alivyo tangulia ndo hivi sasa...Show nyingi baada ya Ruge kuwa marehem.

Sasa namtizama Ndugu Nandi Kwa Unafki Kwa Bilnass na huku namtazama Bilnass Kwa kumuonea aibu kama second choice...
Any way ndo imeshakuwa...
Ndio maisha yalivyo, sio jambo la ajabu, hata mkeo anayekupenda saaana,ukifa tu, baada ya muda, anahamisha upendo, anampa mtu mwingine, apige machine, na inawezekana huyu mpya, akapewa kuliko ulivyopewa wewe! It's just life, no big deal, Luge is not coming back,
Wengine tumeoa single mothers, na njemba zao za zamani bado zipo hai! Mtoto anatupa Mambo mpaka anaililia! What the heck bro! Sweat not small staff
 
Mtoto wa kiume kuanza kufuatilia mambo kama hayo, then kuchukua muda wako kuandika a thread kabisa ni dalili dume ya ushoga.
 
Huu ndo ukweli...
Mdogo wangu Bilnas ajue kuwa Nandi alikuwa Dem wa Ruge...alikula na akagaraza...sasa ndo hivyo mwamba alivyo tangulia ndo hivi sasa...Show nyingi baada ya Ruge kuwa marehem.

Sasa namtizama Ndugu Nandi Kwa Unafki Kwa Bilnass na huku namtazama Bilnass Kwa kumuonea aibu kama second choice...
Any way ndo imeshakuwa...
wewe bwanako uliye naye kwa sasa ni chaguo lako la ngapi?
 
N
Ndio maisha yalivyo, sio jambo la ajabu, hata mkeo anayekupenda saaana,ukifa tu, baada ya muda, anahamisha upendo, anampa mtu mwingine, apige machine, na inawezekana huyu mpya, akapewa kuliko ulivyopewa wewe! It's just life, no big deal, Luge is not coming back,
Wengine tumeoa single mothers, na njemba zao za zamani bado zipo hai! Mtoto anatupa Mambo mpaka anaililia! What the heck bro! Sweat not small staff
imekubali brother
 
Huu ndo ukweli...
Mdogo wangu Bilnas ajue kuwa Nandi alikuwa Dem wa Ruge...alikula na akagaraza...sasa ndo hivyo mwamba alivyo tangulia ndo hivi sasa...Show nyingi baada ya Ruge kuwa marehem.

Sasa namtizama Ndugu Nandi Kwa Unafki Kwa Bilnass na huku namtazama Bilnass Kwa kumuonea aibu kama second choice...
Any way ndo imeshakuwa...
Ujinga tu, sasa ulitaka Alioleww?. Acha roho mbaya
 
Back
Top Bottom