Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mimi nnachojua hata kama JF mnajifanyaga matajiri ila hakuna kati yenu aliyenunua iphone 16 [emoji1787][emoji1787]
Mleta mada acha umbea , basi Nandy aachike uolewe wewe utakayempa Billnas first priority
Kati ya hao uliowataja nani alimtoa bikira???Huu ndo ukweli...
Mdogo wangu Bilnass ajue kuwa Nandy alikuwa Dem wa Ruge.
Sasa mwamba alivyo tangulia ndo hivi sasa...Show zimekuwa nyingi baada ya Ruge kuwa marehem.
Sasa namtizama Nandy kwa unafki kwa Bilnass na huku namtazama Billnass Kwa kumuonea aibu kama second choice...
Any way ndo imeshakuwa...
This hit harder, any man cannot buy thisHuu ndo ukweli...
Mdogo wangu Bilnass ajue kuwa Nandy alikuwa Dem wa Ruge.
Sasa mwamba alivyo tangulia ndo hivi sasa...Show zimekuwa nyingi baada ya Ruge kuwa marehem.
Sasa namtizama Nandy kwa unafki kwa Bilnass na huku namtazama Billnass Kwa kumuonea aibu kama second choice...
Any way ndo imeshakuwa...
Ko kusamaraizi kwa boss alifata maisha ila moyo upo kwa muhuni sioBill nass ndo alianza kuwa na nandy, ila baada ya Ruge kutaka kumuinua Nandy kimuziki, ndo akaanzisha nae mahusiano, na bill nass kuachwaa, ila walikua wanaiba kisiri.
Baada ya Ruge kufariki ndo wakarudisha penzi lao upyaa na hadi kufunga ndo na kuanzisha familiaa.
Mtoa mada yupo sahihi kabisa
Umewaza vyemaKwahiyo akitomea mwenye pesa mwngine mwendo uleule?!
Kwq maelezo hayo Nenga ndo alikuwq anamega kisela
Nandy alianza kuwa na Bilnas kabla ya kuwa na Ruge. Get your facts right.Huu ndo ukweli...
Mdogo wangu Bilnass ajue kuwa Nandy alikuwa Dem wa Ruge.
Sasa mwamba alivyo tangulia ndo hivi sasa...Show zimekuwa nyingi baada ya Ruge kuwa marehem.
Sasa namtizama Nandy kwa unafki kwa Bilnass na huku namtazama Billnass Kwa kumuonea aibu kama second choice...
Any way ndo imeshakuwa...
Cha pele ndo nn tenaNenga alikuwa anampakia MKONGO ,na pia Nenga alikuwa anakula cha PELE.
Cha pele ndo nn tena
Nandy ametoka family bora au maana kelele ni nyingi sanaa.Nandi angekufuata ww baada ya Ruge kufa, akakwambia tufanye maisha. ungekataa?
Tujaribuni kumuelewa Nenga.