Bull Striker
JF-Expert Member
- Dec 2, 2018
- 456
- 1,003
Huu ndo ukweli...
Mdogo wangu Ruge ajue kuwa Nandi alikuwa Dem wa Ruge...alikula na akagaraza...sasa ndo hivyo mwamba alivyo tangulia ndo hivi sasa...Show nyingi baada ya Ruge kuwa marehem.
Sasa namtizama Ndugu Nandi Kwa Unafki Kwa Bilnass na huku namtazama Bilnass Kwa kumuonea aibu kama second choice...
Any way ndo imeshakuwa...
Baada ya Ruge kutanguliaVijana wanapendana Sana na wapo na chemistry kubwa
Aaah so mwamba asingekula Leo hivi kama Ruge angekuwepo...Hakika nieleweKaangalie video ya Billnass na Nandi ya UCHI ilikuwa mwaka gani ?
Na uangalie ruge amekufa mwaka gani ?
Nandi she was there for money and not love
Na we mpenzi wako ni dem wa marehemu nani kwani.....😂Huu ndo ukweli...
Mdogo wangu Bilnas ajue kuwa Nandi alikuwa Dem wa Ruge...alikula na akagaraza...sasa ndo hivyo mwamba alivyo tangulia ndo hivi sasa...Show nyingi baada ya Ruge kuwa marehem.
Sasa namtizama Ndugu Nandi Kwa Unafki Kwa Bilnass na huku namtazama Bilnass Kwa kumuonea aibu kama second choice...
Any way ndo imeshakuwa...
Huu ndo ukweli...
Mdogo wangu Bilnas ajue kuwa Nandi alikuwa Dem wa Ruge...alikula na akagaraza...sasa ndo hivyo mwamba alivyo tangulia ndo hivi sasa...Show nyingi baada ya Ruge kuwa marehem.
Sasa namtizama Ndugu Nandi Kwa Unafki Kwa Bilnass na huku namtazama Bilnass Kwa kumuonea aibu kama second choice...
Any way ndo imeshakuwa...
Sijui English lakini sikuona haja ya neno she just after Nandi....Kaangalie video ya Billnass na Nandi ya UCHI ilikuwa mwaka gani ?
Na uangalie ruge amekufa mwaka gani ?
Nandi she was there for money and not love
Aaah so mwamba asingekula Leo hivi kama Ruge angekuwepo...Hakika nielewe
Kwahiyo akitomea mwenye pesa mwngine mwendo uleule?!Kaangalie video ya Billnass na Nandi ya UCHI ilikuwa mwaka gani ?
Na uangalie ruge amekufa mwaka gani ?
Nandi she was there for money and not love
Tuanzie hapa kwanzaNa we mpenzi wako ni dem wa marehemu nani kwani.....😂
Kwq maelezo hayo Nenga ndo alikuwq anamega kisela
Kwahiyo marehemu alikuwa ni mbolea au sio doktoriBoss RUGE alikuwa anajua mambo mengi so ili unukie kukaa na waridi lazima.
Ukiachana na HELA bado wanawake waliokuwa na mahusiano na RUGE walinuka Sana kiuchumi mpaka Leo wamesimama
Nachojua mleta mada ni KE
Kwasababu iko wazi adui ya mwanamke ni mwanamke mwenzake
Mleta Mada ni Me...Nachojua mleta mada ni KE
Kwasababu iko wazi adui ya mwanamke ni mwanamke mwenzake