Ukweli ni kwamba Billnass ni chaguo la pili la Nandy baada ya Ruge Mutahaba kufariki

Huyo Ruge kwani alimwoa huyo Nandi, si alikuwa anamega kisera kama wengine Mademu/Wapenzi wetu wanavyomegwa huko Mtaani?

Muhimu ni kwamba BillNasi ameharalisha Kwa kumuoa rasmi,na kikubwa amemzawadia binti mrembo ambaye atakuja kumsaidia katika Uzee wake
 
Kwani uliye naye, naye si kaliwa sana tu?
Wacha ukuda
 
Issue ya kubeba mimba si ndio nilisikiaga. Ikamfanya alazimishe ndoa maana kule upaleni kuzaa nje ya ndoa ni kisanga Kwa familia ....au vipi....kwamba tushasahau sisi Wana jukwaa walikataa asiolewe nae.....ndio maana mzee bili-bangili , akaachia lile song ,,, Kuna verse Ina diss track verse kwenda upaleni....au tushasahahuuu....πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†




In shot mm nilivyoonaga nandela alikuwa ana tafuta kiki ya media mawingu kipind bado yupo hai kivuruge wake....si mnakumbuka. Ilikuwa Kila siku song lake linapigwa mara usheeeeeeeπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜…πŸ˜‚πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…




Karibuni Kwa makasiriko Wana nzengo....
 
Ndio maisha yalivyo, sio jambo la ajabu, hata mkeo anayekupenda saaana,ukifa tu, baada ya muda, anahamisha upendo, anampa mtu mwingine, apige machine, na inawezekana huyu mpya, akapewa kuliko ulivyopewa wewe! It's just life, no big deal, Luge is not coming back,
Wengine tumeoa single mothers, na njemba zao za zamani bado zipo hai! Mtoto anatupa Mambo mpaka anaililia! What the heck bro! Sweat not small staff
 
Mtoto wa kiume kuanza kufuatilia mambo kama hayo, then kuchukua muda wako kuandika a thread kabisa ni dalili dume ya ushoga.
 
wewe bwanako uliye naye kwa sasa ni chaguo lako la ngapi?
 
N
imekubali brother
 
Ujinga tu, sasa ulitaka Alioleww?. Acha roho mbaya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…