Ukweli ni kwamba Billnass ni chaguo la pili la Nandy baada ya Ruge Mutahaba kufariki

Halafu watu wanaona noma kushea,Billnas alikua anammega Nandy na ilikua inajulikana,yaani ilikua ni MMF,lakini kwasababu Ruge alikua na hela,Billnass ilibidi akubaliane na hali,na hatimaye kamuoa.
Nandy alitoka kwa Bilnas kwenda kwa ruge kwa ajili ya career yake. Ruge amaefariki, nandy karudi kwa Bilnas ikomaanisha kuwa hapo ndipo moyo wake ulipo.

Kuna shida gani hapo
 
Wewe mwenyewe demu wako sio chaguo lake. Acha kufuatilia maisha ya watu mtoto wa kiume itashikwa T....ko
 
Hata mkeo au demu wako alikuwa hvyo kwa wanaume wengine kabla ya kumpata waliomgalagaza n wengi hawana idadi
 
Sa leo wakati watu wanasweemingpool la gitaa...we tulia ndg
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…