Ukweli ni kwamba Billnass ni chaguo la pili la Nandy baada ya Ruge Mutahaba kufariki

Kuna namna hizo historia zinaathiri mapenzi yao?mbona kama wewe ndo unahangaika
 
Bill nass ndo alianza kuwa na nandy, ila baada ya Ruge kutaka kumuinua Nandy kimuziki, ndo akaanzisha nae mahusiano, na bill nass kuachwaa, ila walikua wanaiba kisiri.

Baada ya Ruge kufariki ndo wakarudisha penzi lao upyaa na hadi kufunga ndo na kuanzisha familiaa.
 
Mimi nnachojua hata kama JF mnajifanyaga matajiri ila hakuna kati yenu aliyenunua iphone 16 [emoji1787][emoji1787]

Mleta mada acha umbea , basi Nandy aachike uolewe wewe utakayempa Billnas first priority
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Demu alikuwa wa billnas toka kitambo ila pesa ikamfanya ampige chini mshikaji ,akachukuliwa na ruge ...
 
Kati ya hao uliowataja nani alimtoa bikira???
 
This hit harder, any man cannot buy this
 
Unateseka ukiwa wapi????
Unatakaje?
Kwani Billnass alikua single kipindi Nandy anadate?

Kamfufue basi marehemu aje aendeleze alipoishia.

Narratives za kijinga kama mpo kwenye nafsi za watu
 
Ko kusamaraizi kwa boss alifata maisha ila moyo upo kwa muhuni sio
 
Hii Real Love walio nayo Ni Fake... Ni kwavile Brother Ruge hayupo Hi
 
Nandy alianza kuwa na Bilnas kabla ya kuwa na Ruge. Get your facts right.
 
Nandi angekufuata ww baada ya Ruge kufa, akakwambia tufanye maisha. ungekataa?
Tujaribuni kumuelewa Nenga.
 
Nandi angekufuata ww baada ya Ruge kufa, akakwambia tufanye maisha. ungekataa?
Tujaribuni kumuelewa Nenga.
Nandy ametoka family bora au maana kelele ni nyingi sanaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…