Ukweli ni kwamba bodaboda ana fursa na anamzidi kipato Mwalimu

Hhhahaha kweli kabisa
 
Lazima wewe utakua mwalimu unaandamwa na mikopo mbalimbali jumlisha bodi ya mikopo, nmb wachukue chao, salary laki na 30 kazi haina overtime, wala allowance yoyote hapo ndio utaona kivumbi na jasho
By the way mi sio mwalimu,
 
Mimi boda boda, huwa nafanya.. kwa siku sikosi kulaza 45k... na hapo sijafanya serious, maana huwa na harakati zingine
 
Mzee baba, una upeo finyu sana, ku dadavua mambo, na uelewa.. go back to school then atleast uwe na exposer
 
1. Upuuzi wako huu hutarudia kuandika utakapoenda kitengo cha mifupa Muhimbili.
2. Nionyeshe nyumba ya kisasa yenye choo ndani na master bedroom iliyojengwa na bodaboda.
humu ndani kuna vilaza ...
 
Vipi wasiona vichwa vyao je hio 50k wanaipata in constant basis
 
boda boda kufika 50 n ngumu mnooo tofauti na hapo n dili za magendo
Inategemea na mazingira na wewe unavyo jiongeza, plus ubunifu.. mimi nina experience. Tatizo wengi mnao bisha, hamjawahi kufanya..

Japokuwa kuna wengine, hawapati hiyo.. kwasababu tofauti tofauti.. Mtaa unahitaji akili..
 
Nioneshe bodaboda anayesomesha mtoto wake shule ya Ada mil 2 kwa mwaka

Nioneshe bodaboda anayetembelea Halphard

Nioneshe bodaboda aliyejenga Nyumba vyumba vitatu self jiko nyumba ya security ..choo cha public. Nk

.





Nioneshe bodaboda wa hivyo
Tunaangalia archivment na sio Earning
 
Boda boda, salange wa stand wale waita abiria, ni moja ya makundi yenye mzunguko mkubwa wa pesa kwa mwenye akili ukweli wameendelea mno, kuliko mtu anavoweza kufikiri, au wale wauza oil chafu na matairi chakavu wanakunja mtonyo wa maana tu, au wale wanaofanya delivery ya maziwa kwa magari hasa fresh na mtindi saa tatu asubuhi wanafunga hesabu, mambo mengi muda mchache , kazi sio hadi uajiriwe halafu ajira zimekua chache hizi challenge wengine ziwajenge na tukubali maoni ya wengine hata kama ni tofauti na yetu lakini wengine hutoa uzoefu kutokana na kuyaishi maisha ya utumishi wa umma na kuamua kuachana nayo, wengine waliachana na utumishi wa umma wakiwa wamefika level za wakuu wa idara na wanafanya mambo yao kwa sasa kimyakimya sii kila apingaye kitu ni mbugila tu hapo lazima tuelewe
 
Una akili ndogo sana.
Uwezo wako wa kufikiri mdogo sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…