Ukweli ni kwamba bodaboda ana fursa na anamzidi kipato Mwalimu

Hiyo yote walaumiwe Chadema
 
Waambie hawa walimu hawajielewi
 
Mdogo angu
 
Kitu km hujui/huna experience nacho,nivema ukae kimyaaaaa itaficha ujinga ulonao.tulia usome comment tu ndugu...zitakusaidia kufungua ulimwengu usioujua
 


Weka na yako tuone kwanza maana unadharau bodaboda sana,
 
Hizo kazi zote nishawahi kuzifanya.Sidhani kwamba kuna uhalisia.Nlikua napata pesa sana Ila katika mizunguko ni starehe ukiamini kesho utapata tena.Ila kiuhalisia Boda hana Job security,unakoswa kiswa na malori,jua na mvua ni vyako.Mwalimu ana uwezo wa kukopa Bank,ana bima ya afya nk.Boda hana bima ya afya.Msitake kuudanganya uma kwamba walimu wa kileo ndio wa kizamani.Walimu wana mshahara sema hawana fursa za kuiba kama wengine.Walimu wote wataenda Mbinguni
 
Kiuhalisia bodaboda unaweza jiwekea pension na kujikatia bima ya afya.

Ni vile hawana muamko wa kufuatilia hayo mambo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…