Ukweli ni kwamba bodaboda ana fursa na anamzidi kipato Mwalimu

Mwalimu jicho nyanya
 
Lazima wewe utakua mwalimu unaandamwa na mikopo mbalimbali jumlisha bodi ya mikopo, nmb wachukue chao, salary laki na 30 kazi haina overtime, wala allowance yoyote hapo ndio utaona kivumbi na jasho
Jichange acc zako zoooote afu nakuletea acc ya mwl mmoja tu tena ungana na wenzako watatu

Mpimane maendeleo utajiona wewe masikini shida hujajua
 
Tuseme ukweli either muongezewe mishahara na stahiki nyingine lakini mwalimu unachomshinda Bodaboda ni uwezo wa kukopa tena uwe unakopesheka sasa, mwalimu kumaliza mwaka ana balance ya milioni mbili huyo anatakiwa heshima
Milion mbili kwako hela?
 
Ondoka mpanda njoo mpimbwe kuna mwalimu acc ana milion 700 na primary
Mambo kibao anafanya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…