Ukweli ni kwamba bodaboda ana fursa na anamzidi kipato Mwalimu

Fact
 
Mwalimu kwa kazi yake anakopesheka, hivyo akafanya biashara ikiwepo hiyo bodaboda.
 
Kwani bodaboda hiyo milioni mbili ametoa wapi? Wengi sio zao huwa wanaajiriwa kwa mkataba. Mwalimu kwa mshahara wake anakopesheka zaidi ya hiyo milioni mbili
Bodaboda hufanya kazi Kwa mkataba wa mwaka mmoja (mara nyingi) baada ya hapo inakuwa yakwake
 
Kwani kipato sindopesa, manake maisha yake mazuri
 
Ee ndio tunakuambia mwalimu kwa kazi yake no rahisi kukopesheka na mabenki akawa na hiyo bodaboda hiii ndio point ya msingi
Mbona mgumu kuelewa, madeni sio mazuri. Akikopa anakuwa fukara wa kutupwa mshahara chini ya moja ya Tatu unaishi maisha magumu kama shoe shine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…