Ukweli ni kwamba bodaboda ana fursa na anamzidi kipato Mwalimu

Ila bado 1.2m haitoshi
Haikutoshi wewe Mkuu kwangu Mimi it's ok ,,inyeshe mvua lije jua 23 mzigo utasoma kwa account,,, niwe mgonjwa niwe mzima mzigo utaingia!.. I am sastfied and happy nyie endeleen kuishi kwa ndoto!..
 
Sio kweli. Mbagala asilimia kubwa huko ndowamejenga
Kujenge kwa baadhi ya bodaboda, huko Mbagara, ndiyo tayari wanawazidi Walimu.
Ila yote kwa yote, Leo nikiwa maeneo ya kibaha, nilipanda bodaboda, nikamuuliza huwa kwa siku ana uwezo wa kupata Tsh ngapi, akanijibu, 26,000 mpaka 32,000, akaniambia yeye hufanya kazi, akijipa muda wa kupunzika.

Maana yeye, humka alfajiri ya 11, na hufanga kazi saa 3 usiku, kwa wanaofanya kazi, masaa zaidi yake, wanafikisha 50,000 hadi 60,000.

Ila tatizo la boda wengi, hawana malengo. Hii ikanikumbusha jamaa mmoja pale mbezi mwisho, kabla ya bomoa bomoa, alikua anauza kahawa kijiweni, baadae akanunu pikipiki, akaifanya bodaboda, na ile bodaboda ikazaa IST, akaifanya Tax.
 
Gonga tano, that is truth
 
Haikutoshi wewe Mkuu kwangu Mimi it's ok ,,inyeshe mvua lije jua 23 mzigo utasoma kwa account,,, niwe mgonjwa niwe mzima mzigo utaingia!.. I am sastfied and happy nyie endeleen kuishi kwa ndoto!..
Akili huna, JITU Zima linalizika mshahara
 
Mpwayungu hujawahi kuwa na akili ,[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Mpwayungu aka kidagaa mmoja[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] nahisi yale makofi ya uso uliyopata pale ulipofumaniwa na headmaster unatongoza binti wa ticha hayajakuacha salama .
Ndio maana unawachukia walimu
 
Mpwayungu aka kidagaa mmoja[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] nahisi yale makofi ya uso uliyopata pale ulipofunaniwa na headmaster unaongoza binti wa ticha hayajakuacha salama .
Ndio maana unawachukia walimu
Hawakubali kabisa walimu [emoji1]

Ova
 
Unaongea kiwepesi sana unaijua 50000 wewe?
Sasa 50000 unaona ni hela kubwa ya kumuuliza mtu anaijua?? Ninaongea sababu ninawafahamu baadhi vizuri na wengi ni marafiki zangu na ninakesha nao usiku mzima kazini kwangu na niwateja wakubwa as ofisi yangu ipo pembeni ya kijiwe chao. So ninarudia tena bodaboda kupata 50000 kwa siku inawezekana ila mchawi wao ni hawana nidhamu ya pesa period.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni kweli kabisa mkuu, wengi hawana exposure katika bodaboda 10 unakuta waliomaliza std 7 hata 3. Hata ukiongea nao unaona kabisa huyu hana malengo na maisha kabisa as anajua kesho ataingia road atapata tena hela so hana haja hata kuweka akiba hata akiumwa hana hela ya matibabu.

Kuna siku nilikuwa nawahi makumbusho kwenye training natokea mbezi mwisho, rafiki yangu alinipeleka na bodaboda na hakutaka hata mia kisa tuu ofisini kwangu ndio wanapokula na kupiga stori usiku wanavyokesha imagine ni sh ngapi kapoteza plus muda. Siku wakiwa na nidhamu ya hela ndio watakapofanikiwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hizo hesabu yeye hapigi kabisaa eti muda sijui nini.
Kuna mzungu nikiwahi mpakia(ni rafiki), nikimfikisha ananiuliza abiria wengine mpaka hapa unawalipisha sh ngapi kwa sasa kisha analipa.
Hakuna ushkaji kwenye biashara.
 
Mimi nilivyoanza mwanzo nilikuwa nashangaa,masaa mawili au matatu mfuko umetuna bila kuhesabu naanza asubuhi napiga supu chapati ya 4000+soda1000+maji 1000= ni 6000

Mchana nlikuwa nakula biriani ya 4000+ maji 1000+soda 1000 na kutokana na jua mchana nakunjwa maji mengi inafikia mpaka 2000 inakuwa =7000

Jioni mchemsho pale kijwangwani kwa halima wa 2000 na chapati mbili na soda ya 1000 na maji ya 1000= 4000
So nakuja kushtuka nimenenepeana na nimekuwa mzito sanaa kitambi paaa ila akiba ya pesa sinaaa.....
Hesabu ya boss 10,000 kila sikuu.

So biashara hii inakupa pesa ya uhakika na haraka haswa ukiwa muaminifu ila kama unaendekeza mambo utajikuta hakuna kitu unafanya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…