The Sunk Cost Fallacy 2
JF-Expert Member
- Nov 8, 2022
- 9,436
- 10,944
Na ndugu juu inatosha kabisa na change inabaki.Hiyo 600k ukiwa na mke na mtoto ?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na ndugu juu inatosha kabisa na change inabaki.Hiyo 600k ukiwa na mke na mtoto ?
Una shida binafsi na walimu wewe kima,Hakuna Bora anaweza pata hata 700k achilia mbali 1,000kKwa wateja wake
Sasa mtu unalowa maji mda wote masaa zaidi ya 12 kwa siku,kuna maisha hapo?Eheee kuosha gari full ni elfu 5 kwa hawa waosha magari local ila zile za kishua ni kuanzia shuka la mmasai(10k) mpaka shuka na foronya lake.(15k)
Hiyo boda boda ya hapa JF,, sawa motivation speaker waendesha bida ukiwa wapiSasa laki Sita niyakutamba humu jf. Ndomana mnadharaulika, bodaboda Kwa siku elfu hamsini Kwa mwezi bei Gani
Haikutoshi wewe Mkuu kwangu Mimi it's ok ,,inyeshe mvua lije jua 23 mzigo utasoma kwa account,,, niwe mgonjwa niwe mzima mzigo utaingia!.. I am sastfied and happy nyie endeleen kuishi kwa ndoto!..Ila bado 1.2m haitoshi
Kujenge kwa baadhi ya bodaboda, huko Mbagara, ndiyo tayari wanawazidi Walimu.Sio kweli. Mbagala asilimia kubwa huko ndowamejenga
Gonga tano, that is truthKujenge kwa baadhi ya bodaboda, huko Mbagara, ndiyo tayari wanawazidi Walimu.
Ila yote kwa yote, Leo nikiwa maeneo ya kibaha, nilipanda bodaboda, nikamuuliza huwa kwa siku ana uwezo wa kupata Tsh ngapi, akanijibu, 26,000 mpaka 32,000, akaniambia yeye hufanya kazi, akijipa muda wa kupunzika.
Maana yeye, humka alfajiri ya 11, na hufanga kazi saa 3 usiku, kwa wanaofanya kazi, masaa zaidi yake, wanafikisha 50,000 hadi 60,000.
Ila tatizo la boda wengi, hawana malengo. Hii ikanikumbusha jamaa mmoja pale mbezi mwisho, kabla ya bomoa bomoa, alikua anauza kahawa kijiweni, baadae akanunu pikipiki, akaifanya bodaboda, na ile bodaboda ikazaa IST, akaifanya Tax.
Akili huna, JITU Zima linalizika mshaharaHaikutoshi wewe Mkuu kwangu Mimi it's ok ,,inyeshe mvua lije jua 23 mzigo utasoma kwa account,,, niwe mgonjwa niwe mzima mzigo utaingia!.. I am sastfied and happy nyie endeleen kuishi kwa ndoto!..
Mpwayungu hujawahi kuwa na akili ,[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kuna mjadala unawaka Moto kwenye jukwaa la MMU kuwa Kati ya mwalimu na bodaboda yupi yupo kwenye sehemu nzuri ya kipato na kuendesha maisha yake ya kila siku.
Iko hivi :bodaboda akitulia vizuri na akajenga uamini Kwa wateja Kwa siku hakosa elfu hamsini mpaka sitini ukipiga Kwa mwezi ni mara tano ya mshahara WA mwalimu anaelipwa laki nne au 5 Kwa mwezi. Hata hivyo bodaboda pesa Yao Ina-vary ila Hawa maticha ipo fixed mpaka miaka mitano au sita atakapopanda daraja [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28].
Nafunga mjadara sasa. Mwalimu ni kada ya mwisho kwenye kipato hata muuza magazeti anampita
Hapo ndo nimegundua kuwa haupo normal unatatizo la afya ya akili.Hawawez mzidi bodaboda hata iweje
Mpwayungu aka kidagaa mmoja[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] nahisi yale makofi ya uso uliyopata pale ulipofumaniwa na headmaster unatongoza binti wa ticha hayajakuacha salama .Kuna mjadala unawaka Moto kwenye jukwaa la MMU kuwa Kati ya mwalimu na bodaboda yupi yupo kwenye sehemu nzuri ya kipato na kuendesha maisha yake ya kila siku.
Iko hivi :bodaboda akitulia vizuri na akajenga uamini Kwa wateja Kwa siku hakosa elfu hamsini mpaka sitini ukipiga Kwa mwezi ni mara tano ya mshahara WA mwalimu anaelipwa laki nne au 5 Kwa mwezi. Hata hivyo bodaboda pesa Yao Ina-vary ila Hawa maticha ipo fixed mpaka miaka mitano au sita atakapopanda daraja [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28].
Nafunga mjadara sasa. Mwalimu ni kada ya mwisho kwenye kipato hata muuza magazeti anampita
Hawakubali kabisa walimu [emoji1]Mpwayungu aka kidagaa mmoja[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] nahisi yale makofi ya uso uliyopata pale ulipofunaniwa na headmaster unaongoza binti wa ticha hayajakuacha salama .
Ndio maana unawachukia walimu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Labda awe hajakopa bank hata hivyo tgts H take home haizidi mia tisa
Mke mtoto na ndugu na jamaa fresh tu yaniHiyo 600k ukiwa na mke na mtoto ?
Sasa 50000 unaona ni hela kubwa ya kumuuliza mtu anaijua?? Ninaongea sababu ninawafahamu baadhi vizuri na wengi ni marafiki zangu na ninakesha nao usiku mzima kazini kwangu na niwateja wakubwa as ofisi yangu ipo pembeni ya kijiwe chao. So ninarudia tena bodaboda kupata 50000 kwa siku inawezekana ila mchawi wao ni hawana nidhamu ya pesa period.Unaongea kiwepesi sana unaijua 50000 wewe?
Ni kweli kabisa mkuu, wengi hawana exposure katika bodaboda 10 unakuta waliomaliza std 7 hata 3. Hata ukiongea nao unaona kabisa huyu hana malengo na maisha kabisa as anajua kesho ataingia road atapata tena hela so hana haja hata kuweka akiba hata akiumwa hana hela ya matibabu.Ukiona biashara yoyote inafanywa na watu wengi bai jua biashara hiyo inaleta pesa na faida ya haraka.
Fact:Bodaboda ni kama biashara zingine za road.....yaani ukitoka tuu wewe ni helaa. Kama wale yangeyange.[emoji4]
Biashara hii ina hela na inalipa saana tatizo liko kwa wanaoifanya.
Wengi hawana elimu ya shule,hawana elimu ya maisha,hawajawahi kushika pesa hivyo hupagawa kushika pesa za ghafla.
Hawajawahi kumiliki mademu wakali (tatizo kubwa liko hapa),atapakia bure,chips atamnunulia na pesa atampa na lodge atalipia plus muda alopoteza palee aaarrrgghhh!!!!
Wengi wao ni washamba,hawajapitia vyuoni hivyo kuna bata hawajazila so wako kwenye mshangao wa bata.
Wana matumizi yasiyo na mpangilio coz anajua akiingia road tuu mkwanja huo.
Ni bodaboda wachache saana wanaojielewa na ndo wanao make things happen.
Nimeifanya hii biashara kwa kuendesha road mwenyewe. Wanawake ndio wateja wakubwa wa hii biashara na ndo wauaji wakubwa wa hii biashara.
Hizo hesabu yeye hapigi kabisaa eti muda sijui nini.Ni kweli kabisa mkuu, wengi hawana exposure katika bodaboda 10 unakuta waliomaliza std 7 hata 3. Hata ukiongea nao unaona kabisa huyu hana malengo na maisha kabisa as anajua kesho ataingia road atapata tena hela so hana haja hata kuweka akiba hata akiumwa hana hela ya matibabu.
Kuna siku nilikuwa nawahi makumbusho kwenye training natokea mbezi mwisho, rafiki yangu alinipeleka na bodaboda na hakutaka hata mia kisa tuu ofisini kwangu ndio wanapokula na kupiga stori usiku wanavyokesha imagine ni sh ngapi kapoteza plus muda. Siku wakiwa na nidhamu ya hela ndio watakapofanikiwa
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kweli zinatosha sana hata bia utakunywa ila ukiwa na familia ni mziki mwingine kabisa labda kama uwe umeaciwa nyumba ya urithi.Kwa Tanzania hapa salary ya kuanzia 600k unaishi vizuri na change ya 150-200k una sevu..
Hii Pesa boda sii rahisi kuipata tusidanganyane..