Ukweli ni kwamba bodaboda ana fursa na anamzidi kipato Mwalimu

Zamani matokeo yakitoka ukawaeleza watu umefeli, wanakuuliza hata maksi za ualimu haujapata? Yaani hapo ujue umezingua kweli maana ukipiga four za mwisho huko ulikua unaenda kua ticha
 
Hahahahahaaa,umenikumbusha mbali sana.
 
Mwalimu anaweza kukopa milioni 20, bodaboda ni lini hadi apate milioni 20?
Hapo umetoka nje ya mada. Mwalimu pia ana pesheni, Bima ya Afya yeye na mke au mume, safari za kikazi semina Tunongelea kuishi kwa 600k wako maticha wanaopata zaidi ya milioni hasawa sayansi
 
Hao WA namna hyo ni asilimia ngapi ya wote? Yaan bdbda wanachomwa juá unakuta anakaa massa 4 ndo wanagombania buku aje amzidi mwalimu? Hebu acha futuhi,waalimu wengi ndio wamenunua hizo boda na kuwaajiri
 
Mafanikio pia ndo utajir

Ukibisha nambie utajiri ni nini afu ndo ulete hizo takataka za uboda
Takataka kivipi ? kwahyo shughuli anayo binadamu kujiingizia kipato, imekuwa takataka ?

while serikali inapata mapato kupitia hiyo biashara,

shame on you, asshole
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…