Ukweli ni kwamba bodaboda ana fursa na anamzidi kipato Mwalimu

Ukweli ni kwamba bodaboda ana fursa na anamzidi kipato Mwalimu

Sidhani kama nimeandika, hakuna bodaboda anaemiliki nyumba yake, kama nimeandika hivyo, nitakua nimeandika upuuzi.
Wapo watu leo ni bodaboda, kabla hapo alifanya kazi zenye kipato, kimuwezesha kujenga, na baadae hali ikawa mbaya, akajisalimisha bodaboda.

Lakini wapo bodaboda wana nyumba za urithi, na wapo waliojenga ila ni wachache mno, sema umesoma ukiwa umejiandaa kupinga.
Hahahahahaaa,umenikumbusha mbali sana.
 
Mwalimu anaweza kukopa milioni 20, bodaboda ni lini hadi apate milioni 20?
Hapo umetoka nje ya mada. Mwalimu pia ana pesheni, Bima ya Afya yeye na mke au mume, safari za kikazi semina Tunongelea kuishi kwa 600k wako maticha wanaopata zaidi ya milioni hasawa sayansi
 
Kuna bodaboda wana vichwa vyao vya asubuhi na jioni yani go and return. Unakuta anapoamka tu saa kumi na moja ana vichwa vyake kumi vya kila siku kuwapeleka na kuwarudisha kutoka kazini.

Tufanye kila kichwa ni buku nne yani kwenda buku mbili kurudi buku mbili hapo sijapiga hesabu wa buku tano nawale wakudaka njiani na kijiweni
Hao WA namna hyo ni asilimia ngapi ya wote? Yaan bdbda wanachomwa juá unakuta anakaa massa 4 ndo wanagombania buku aje amzidi mwalimu? Hebu acha futuhi,waalimu wengi ndio wamenunua hizo boda na kuwaajiri
 
Mafanikio pia ndo utajir

Ukibisha nambie utajiri ni nini afu ndo ulete hizo takataka za uboda
Takataka kivipi ? kwahyo shughuli anayo binadamu kujiingizia kipato, imekuwa takataka ?

while serikali inapata mapato kupitia hiyo biashara,

shame on you, asshole
 
Back
Top Bottom