Ukweli ni kwamba bodaboda ana fursa na anamzidi kipato Mwalimu

Labda akeshe.
Yupo jamayangu, kazi zake huanza saa 11 jioni hadi 11 Alfajiri, mimi nyumbani kwakua natoka saa 10 alfajiri, humtumia huyu kinipeleka barabarani, ili nipande Daladala.

Pamoja na kukesha havikishi 30,000 siku akipata hela nyingi labda akodiwe kwenye kazi maalumu.
 
Huyu ana side hustle zake.
Ila ukiniambia kutoka kwenye kibarua basi ni UONGO.

TGST C, TGST D sio mshahara wa kukunja "MPUNGA MREFU"

#YNWA
@Liverpool VPN najua we ni mwalimu au umewahi kuwa. Ebu waambie mwalimu kama anaweza kubadilisha Ile suruali yake ya njano yenye marinda na shati ya draft katikati ya wiki
 
Umesa
 
Hii ndio point watu wengi hatuna nidhan ya pesa kama inaingia kidogo kidogo kwa siku tunashindwa ku manage ndipo wanapokwama wengi hapa wanao hustle nje ya ajira sio boda tu..

Mtu deile anaingiza efu 30 net kwa kuwa deile ipo anapiga bia, anagongea wake za watu by the of the month saving haifiki laki tano...

Na mademu wanalijua hili ndio mana wanashobokea boda boda pesa ipo...

Ukikuta boda anajielewa anakua na maendeleo sana anakua anacheza ligi moja na wanaolamba net 1.5 milion kwa mwezi

Sent from my Pixel 3a using JamiiForums mobile app
 
Sio kweli mm Mara ya kwanza dar nilipanga mwananyamala mmliki ni bodaboda
Sidhani kama nimeandika, hakuna bodaboda anaemiliki nyumba yake, kama nimeandika hivyo, nitakua nimeandika upuuzi.
Wapo watu leo ni bodaboda, kabla hapo alifanya kazi zenye kipato, kimuwezesha kujenga, na baadae hali ikawa mbaya, akajisalimisha bodaboda.

Lakini wapo bodaboda wana nyumba za urithi, na wapo waliojenga ila ni wachache mno, sema umesoma ukiwa umejiandaa kupinga.
 
Iam not bodaboda ila nakaa na mwalimu amepanga kwenye nyumba yangu najua shida anayopitia
Mkuu unavyo chukua vigezo vya huyo teacher unakuwa unakosea inategemea kwao wana uchumi gani kama anategemeawa na ukoo mzima mshahara wake wa ualimu utaonekana hautoshi, ni tofauti na mwalimu ambaye kwao hawategemei mshahara wake ila yeye ndiyo anategemea kwao
 
Umeongea point kubwa sana madem wengi wanapakwa mate na bodaboda pesa ipo ila mwalimu hata ukitaka kuowa unakataliwa kwakua huna pesa
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119]
 
Walimu wanakopa pesa wananunulia vitu vya nyumbani mfano Tv, masofa, makabati, sabufa, na kiwanja, pesa zao wanazielekeza sehemu ambazo hazizalishi.
Na hapo ndowanapokosea
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Teachers status has been deminished to the ground level 😂
Ngoja na Mimi nichangie;
Boda anaemiliki pikipiki yake mwenyewe bila kipande Cha Boss ni kweli anamzidi kipato Mwalimu Rose.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…