Ukweli ni kwamba bodaboda ana fursa na anamzidi kipato Mwalimu

Uzuri wa Waalimu wakistaafu wanachukua pensheni zao za NSSF mahela kama yote.

Boda boda akifikia uzee anakuwa na srress nyingi maisha Magumu.

Pia tukumbuke huyu bodaboda mnayemzungumzia anapopata hizo ela sijui kwa mwezi inabidi itumike kwa mambo kama

-kufanyia Service pikipiki
  • Ikiharibika inakaa kwa fundi wiki ( hapo anakuwa haingizi ela.
  • Alipe kodi ya nyumba
-Asomeshe watoto
-Ale chakula na familia yake
-Na majukumu mengine mengi tu.

Ukweli ni kwamba Bodaboda anaweza akapata pesa kiasi na hiyo pesa pia inatakiwa itumike pia, hata akisave inakuwa kidogo sana, kiasi cha kwamba anaweza akawa sawa na mwalimu au hata akazidiwa na Mwalimu.
 
Teachers status has been deminished to the ground level [emoji23]
Ngoja na Mimi nichangie;
Boda anaemiliki pikipiki yake mwenyewe bila kipande Cha Boss ni kweli anamzidi kipato Mwalimu Rose.
Sure [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
Sio kweli
 
Umewahi kuwa bodaboda au hata kumiliki tu pikpiki ukampa kijana aendeshe bodaboda? Munaongea nadharia mno
 
Wengi watakuambia kakunja 30000 ila hawajui mafuta ya shiling ngapi yametumika
 
Mjadala mzuri huu na ukweli mtupu. Sio kipato tu hata akili, walimu hawa wa sasa wamekuwa watu wa hovyo mno. Pitia comments zao na post zao utaelewa
Go straight to point Kati ya ticha na bodaboda Nani anamzidi mwenzake kipato
 
Kwahiyo kuna watu humu watamaliza maneno kubishana na huyu yaani........watazama mpaka kwenye salary slips kwa ajili ya huyu, watachukua data zote walizonazo kwa ajili ya huyu yaani. Dah!
Lete fact sio statements zakukwepa malumbano
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…