Ukweli ni kwamba bodaboda ana fursa na anamzidi kipato Mwalimu

Kwahiyo kuna watu humu watamaliza maneno kubishana na huyu yaani........watazama mpaka kwenye salary slips kwa ajili ya huyu, watachukua data zote walizonazo kwa ajili ya huyu yaani. Dah!
Hamna akili ndio maana mnadharaulika na kila mtu. Mmekua hovyo sana humu jf
 
Hapa naona kama kuna ushabiki wa kuwaponda waalimu tu.
 
Umewahi kuwa bodaboda au hata kumiliki tu pikpiki ukampa kijana aendeshe bodaboda? Munaongea nadharia mno
Nishamiliki boda aseee jamaa hakuwaikukosa kuleta ile 75k kwa wiki...

Hawa jamaa wanashika hela sema management zero kama makonda wa daladala tu hela wanashika bit zile tumia ndogo ndogo za hapa na pale zinawatoa nje ya mstari....

Boda anaejilewa hakosi 30k per day hapo 10 ya boss ishapatikana...


Sent from my Pixel 3a using JamiiForums mobile app
 
Teachers status has been deminished to the ground level [emoji23]
Ngoja na Mimi nichangie;
Boda anaemiliki pikipiki yake mwenyewe bila kipande Cha Boss ni kweli anamzidi kipato Mwalimu Rose.
Ukweli huu, boda aliyesmart kabisa anaingiza kingi mno. Dar hapa mtaani kuna boda smart sana wengi wanapendaa kumtumia, jamaa kwa siku naamini anazidi laki 1
 
Hawaelewi Hawa
 
Hapo ni sawa na kumlinganisha Fundi Viatu (Shoe Shiner & Repair) na Fundi Magari wa Garage
 
Weka gharama za wese, matengenezo madogomadogo break n.k, oil matibabu n.k anabaki na ngapi?. Kila mmoja ana eneo anafaidi na kuathirika pia hivyo hakuna bora hapo. Tupambane tupate viongozi bora nchini ili kila mtu afaidi keki ya taifa kwa kumtegemea mwenzake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…