Ukweli ni kwamba bodaboda ana fursa na anamzidi kipato Mwalimu

Lazima wewe utakua mwalimu unaandamwa na mikopo mbalimbali jumlisha bodi ya mikopo, nmb wachukue chao, salary laki na 30 kazi haina overtime, wala allowance yoyote hapo ndio utaona kivumbi na jasho
Hhhahaha
 
Tuseme ukweli either muongezewe mishahara na stahiki nyingine lakini mwalimu unachomshinda Bodaboda ni uwezo wa kukopa tena uwe unakopesheka sasa, mwalimu kumaliza mwaka ana balance ya milioni mbili huyo anatakiwa heshima
 
Mtoe usalama humo Hawa watu mishahara Yao wanalipwa Sawa na wakuu wa wilaya
 
Walimu hawana hela,..bora mwalimu wa kike anaolewa!mwalimu anakopa mkopo ananunua gari atatumikia mkopo wake miaka 15 mpka amalize...kingine walimu wengi hawajipendi wanakuja shuleni hawabadili nguo...wanawaza kuwahi wanafunzi wawachape ...sio makosa Yao ila ilibidi serikali iwaangalie upya ...mwalimu amekadiliwa mshahara ili mradi isife na njaa tu!

Au naongea uwongo wakuu!
 
Umeongea Kwa busara sana. Mungu akubariki
 
Mbona unaruka [emoji23][emoji23][emoji23]

Mfanyakazi ili arndelee nchi za dunia ya tatu ni lazima kwanza awe mwizi na aibe sana, ndio maana walikoendelea kwanza malipo kwa kazi nyingi ni kwa saa na sio mwezi wewe piga hesabu mwalimu anaelipwa kwa mwezi 470k ukigawa kwa siku 30 analamba elfu kumi na tano kwa siku, ukigawa kwa 22 siku baada ya kutoa siku nane za weekend analamba elfu 21 na kitu, sasa 15k au 21k kwa bodaboda mbona ni pesa ndogo sana na hapo huyo ana barchelor kabisa
 
Kabisa mkuu bora umefafanua
 
Mwalimu pekee Tanzania niliewahi kumkuta na kumuona anaakili ni mchaga mmoja yuko mpanda huko, alipofika kule wenzake wanahangaika kuhama kule yeye akaanza kutafuta mashamba akawa anapanda miti ya mbao, alivonihadithia haraka sana akaanza kutafuta mashamba akawa analima mpunga, kila mwaka anaongeza ardhi, kiasi miaka ile nafika kule yule mchaga alikua miti hajaanza kuvuna lakini mpunga ana stock hadi gunia 700, huyo nilikaa chini kumsikiliza nikaona hakuna mchaga fala hasa akikuta kuna ardhi sehemu, yule kwa sasa nadhani atakua mbali sana,
 
Kweli kabisa [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
Bora huyu alijiongeza Hawa wengine akili Hawana
 
Bora huyu alijiongeza Hawa wengine akili Hawana

Kabisa shida ajira za ndugu zetu akifika bush anawaza ahame, muda unakimbia mara miaka minne yupo pale pale, na hajafanya chochote kwa kuamini white color job inalipa, wakati kwa dunia ya tatu sio, wako wachache sana waliopenya kwa juhudi japo wengi wanakula msoto tu
 
Ni kweli kabisa,boda boda wanapata pesa nyingi halafu kwa mda mchache ila tatizo hawa binadamu wanapenda sana chini.Nashauri serikali iwape elimu hawa watu namna ya ku-manage pesa zao.
 

Hata uvaaji wao vyuoni utawajua tu, tofauti na course nyingine watoto wa BBA, Sheria wakipita unajua kabisa huyu sio mwalimu, na akipita ticha unajua kabisa huyu kweli ticha maana atakupigia bwanga moja lenye panga, na shati la kung’ang’aa na ndula moja kisigino kiko upande na saa yake ya buku tatu jero, hapo utawafaidi wakiwa ndio first year maana wakizoea mazingira wanachapa Kadet za mtumba
 
Japo ukipata mke mwalimu chukua oa haraka sana hua wanatunza familia vizuri walio wengi maana saikolojia inawasaidia
 
Ni kweli kabisa,boda boda wanapata pesa nyingi halafu kwa mda mchache ila tatizo hawa binadamu wanapenda sana chini.Nashauri serikali iwape elimu hawa watu namna ya ku-manage pesa zao.
Ila Kwa pesa mwalimu hanusi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…