Ukweli ni kwamba kama Nchi tunahitaji watu kama Tundu Lissu na Hayati Magufuli walioboreshwa

Umetumia vigezo gani?, Hurka ya Lisu na Magufuli vinaendana sana mara zote wote husimama upande wa wananchi hasa wasioweza kujitetea dhidi ya Mabeberu weusi.
Kigezo ni kuwa Lissu hakubali ushauri kabisa,anahisi kila mtu ni msaliti kwake.
 
Lissu hana uzalendo wowote ni mla rushwa na opportunist.

Watoto wake wote ni raia wa Marekani, anakuwaje anaipenda Tanzania?
 
Umetumia vigezo gani?, Hurka ya Lisu na Magufuli vinaendana sana mara zote wote husimama upande wa wananchi hasa wasioweza kujitetea dhidi ya Mabeberu weu
kumfanisha JPM na LISU ni sawa na kufananisha DIAMOND na HAMORAPA
 
Hata Donald Trump yuko kama Lissu na Magufuli. Ukimkosoa anakubonda maana anajua unaleta unafiki

Sent from my TECNO P704a using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…