Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
Si mnaenda wazungu wengi halafu waswahili wanahamia MkurangaBora wafate mafuriko Bunju kuliko huko Mbagala waswahili kuwa majirani zako wana kero sana aisee...
NimewahiHaujawahi kuona mafuriko ndani ya California jimbo tajiri zaidi Marekani
Vikindu iko vizuri tena bei yake huwezi fananisha na Mbezi ambako ni mabonde na milima.Kufuata mkumbo tu, hakuna cha zaidi, nataka niende vikindu nikanunue eneo la kutosha, nimechoka na dhahama za bunju.
Achana na kitu kinaitwa natural disaster (janga la asili) kama mafuriko, tetemeko n.k hakuna binadamu anaweza kushindana navyoNimewahi
Kwanini sasa mliruhusu waswahili wawahi kwenye ardhi nzuri wakawaachia hayo mabonde huko?Bora wafate mafuriko Bunju kuliko huko Mbagala waswahili kuwa majirani zako wana kero sana aisee...
Haya ya leo ni majanga ya asili ?Achana na kitu kinaitwa natural disaster (janga la asili) kama mafuriko, tetemeko n.k hakuna binadamu anaweza kushindana navyo
Ndiyo mkuuHaya ya leo ni majanga ya asili ?
Daah mimi siwezi kwenda kuishi huko mkuuSi mnaenda wazungu wengi halafu waswahili wanahamia Mkuranga
Maji kama tembo, endapo kama kuna eneo yalikuwa yanapita hata ipite miaka 30,yatapita hapo hapo!Haya ya leo ni majanga ya asili ?
Lakini pia ni elimu yao imewafikisha hapo wana wataalamu wa uhakikaHolland ni nchi ambayo karibu 30% iko chini ya usawa wa bahari ndio maana wanafanya hivyo
Pale Jangwani walifeliSisi sehemu korofi ndio tunajenga kama pale waliweka mabasi ya mwendokasi unaniambia walikuwa hawajui kuwa maji ndio njia yake hapo
Bunyu tegeta ni kinondoni huko ndiko waliko mataita pia ni karibu kwenda katikati ya mji,mbaghara ni uswaziBei ya Viwanja huko Tegeta, Bunju na Boko ni kubwa mno ukilinganisha na Mbagala, lakini linapokuja suala la Mvua Mbagala haina mafuriko kabisa kulinganisha na Tegeta, Bunju na Boko.
Sasa kinachowafanya wengi kukimbilia huko ni nini?
Ndio wahandisi wetu hao MkuuPale Jangwani walifeli
Kila mahali ni upigaji inasikitisha sanaNdio wahandisi wetu hao Mkuu
Wanawaza 10% tu na akili pia hakuna tu
Sio kuwa hawajali, hapana ni kufikiri