Mkuu unavinasaba na Charles Njonjo wa Kenya?Mara nyingi siwaamini marubani Waswahili hawa Watanzania.
Uwa na panda ndege mfano Emirates, au KLM au Qatar Airway's to DSM, najisikia comfortable nikisikia rubani akisema:
"THIS IS CAPTAIN JOHN AU CAPTAINS HANSEN"
Ila nikipanda za Tanzania nfano kutoka DSM to Bukoba, nikasikia Welcome on board,This is Captain LUSUNGU talking, au Captain BYAMUNGU, huwa naishiwa nguvu siwaamini kabisa.
Je, hawa ma-captiain wako competent vya kutosha?
Dada yangu u serious utakuua muda mwingine tunaleta threads za Jocks kusogeza maisha,Kwa mawazo ya vijana wa Kitanzania wa leo hii kama haya, sina budi kusema Tanzania tuna safari ndefu sana ya kwenda.
Umezowea kupanda ungo tu. Usijidai KLM sijuwi ushuzi.
Nani alikudanganya ndege za Tanzania siyo za Kimataifa?
KwaniniMkuu unavinasaba na Charles Njonjo wa Kenya?
Mara Nyingi kwenye kutua na kupaa, alafu Boeing 737 zina washinda marubani wengi kwenye AutopilotNdege ukiwa angani unaweza kuweka autopilot.
Gari ukijaribu utakufa.
Rubani ni dereva wa angani tu.
Kitakwimu, una nafasi kubwa zaidi ya kuoata ajali ya gari kuliko ya ndege.
Kwenye gari nako huwaamini madereva Waswahili kuliko wa kimataifa?
Nawaza tu. Maana Njonjo naye hakupata kuwaamini marubani wa kiafricaKwanini
...Magufuliphobia..😅Sina shida na hard Tanzanian working professionals
Nina shida na mawe!
Simpendi kabisa
Na ndege zake sipakii sababu ya yeye kuhusika nazo
...Magufuliphobia..[emoji28]
I dont know that word Magufuliphobia!
The word does not register with me,it does not exist!
Generally,Its only right to hate a non reasonable human being causing sufferings to innocents!
I hate those people with passion!
When I get chance,I see them when they see me,either them or me!
Pangaboi ikiwa inaenda Mbeya Dar unaweza kudhani ni DSM yale yanayopita barabara ya changarawe. Linaenda kwa kutetema kama vile linasukumwa sukumwaAfadhali hata airbus route za Mwanza.
Route za huku kwetu Mbeya pangaboi akikutana na ukinzani ndege nzima tunanena Kinyakyusa.
Endelea hivyo hivyo kwani hawa marubani wetu kutokana na majina yao na pengine uafrika wao hawakufai.Mara nyingi siwaamini marubani Waswahili hawa Watanzania.
Uwa na panda ndege mfano Emirates, au KLM au Qatar Airway's to DSM, najisikia comfortable nikisikia rubani akisema:
"THIS IS CAPTAIN JOHN AU CAPTAINS HANSEN"
Ila nikipanda za Tanzania nfano kutoka DSM to Bukoba, nikasikia Welcome on board,This is Captain LUSUNGU talking, au Captain BYAMUNGU, huwa naishiwa nguvu siwaamini kabisa.
View attachment 1279332
Je, hawa ma-captiain wako competent vya kutosha?
Mkuu katika usafiri salama na wenye ajali chache duniani na hapa Tanzania ni usafiri wa ndege.Kwa ujumla marubani wetu hawana tatizo na leseni zao za utendaji wa kazi bali tatizo kubwa ambalo watu wanalo ni mpangilio mbovu wa kazi zao kwani umejaa uswahili swahili sana, mfano safari inacheleweshwa kwa sababu ya kusubiri Waziri mzembe kachelewa, Ndege kuahirisha safari bila sababu ya msingi, Ndege kusafiri na abiria wachache sana au ndege kutengenezewa uwanjani etc, Binafsi kila nikikumbuka ile ndege yetu iliyotua pembeni ya uwanja pale Mwanza na kukaa siku kadhaa bila kutolewa pamoja na kwamba sikuwa ndani ya ile ndege wakati ikiteleza pembeni basi toka nilivyoona vile mpaka leo naona bora nipande Zacharia Bus kwani ntajisikia faraja kupita mbugani Serengeti huku nikiona wanyama kuliko kuchana mawingu nikiwa na ile picha iliyojengeka kichwani mwangu
Ndani ya mwaka 2019 umesikia ajali kubwa za ndege zilizo sababisha vifo ni ngapi na za magari au usafiri mwingine ni ngapi?Kwa ujumla marubani wetu hawana tatizo na leseni zao za utendaji wa kazi bali tatizo kubwa ambalo watu wanalo ni mpangilio mbovu wa kazi zao kwani umejaa uswahili swahili sana, mfano safari inacheleweshwa kwa sababu ya kusubiri Waziri mzembe kachelewa, Ndege kuahirisha safari bila sababu ya msingi, Ndege kusafiri na abiria wachache sana au ndege kutengenezewa uwanjani etc, Binafsi kila nikikumbuka ile ndege yetu iliyotua pembeni ya uwanja pale Mwanza na kukaa siku kadhaa bila kutolewa pamoja na kwamba sikuwa ndani ya ile ndege wakati ikiteleza pembeni basi toka nilivyoona vile mpaka leo naona bora nipande Zacharia Bus kwani ntajisikia faraja kupita mbugani Serengeti huku nikiona wanyama kuliko kuchana mawingu nikiwa na ile picha iliyojengeka kichwani mwangu
Umewahi kupata mushkeli wowote ukiwa na marubani wa Tz?Mara nyingi siwaamini marubani Waswahili hawa Watanzania.
Uwa na panda ndege mfano Emirates, au KLM au Qatar Airway's to DSM, najisikia comfortable nikisikia rubani akisema:
"THIS IS CAPTAIN JOHN AU CAPTAINS HANSEN"
Ila nikipanda za Tanzania nfano kutoka DSM to Bukoba, nikasikia Welcome on board,This is Captain LUSUNGU talking, au Captain BYAMUNGU, huwa naishiwa nguvu siwaamini kabisa.
View attachment 1279332
Je, hawa ma-captiain wako competent vya kutosha?
Kwetu pia ipo? Maana kwa uvunjaji wa taratibu hasa awamu hii, tumekubuhu.Every six months, all airline pilots spend two days in a flight simulator having their skills checked and practicing normal and non-normal situations that could occur in the aircraft. It’s an integral part of making sure that you’re kept safe whilst in our hands on board.
The flight simulators recreate how the aircraft handles so accurately that pilots will often go directly from simulator training to flying the aircraft with passengers on board. When taxiing the aircraft to the runway, you feel the bumps of the lights on the taxiway. As you start the takeoff run, you get pushed back in your seat. And when you land less than smoothly, you certainly feel it.
Ishu siasa kwenye uendeshaji inaweza leta shida hasa ukitilia maanani suala la gawioLini umesikia ndege ya air Tanzania imepata ajali na kosa ni la rubani? Hawa Wabongo unaowadharau kwa taarifa yako wengi wamerusha ndege huko nje kabla ya kurudi baada ya shirika kufufuliwa. Nawajua wachache wamerusha ndege Saudi Arabia,India,Nigeria etc
Mara nyingi siwaamini marubani Waswahili hawa Watanzania.
Uwa na panda ndege mfano Emirates, au KLM au Qatar Airway's to DSM, najisikia comfortable nikisikia rubani akisema:
"THIS IS CAPTAIN JOHN AU CAPTAINS HANSEN"
Ila nikipanda za Tanzania nfano kutoka DSM to Bukoba, nikasikia Welcome on board,This is Captain LUSUNGU talking, au Captain BYAMUNGU, huwa naishiwa nguvu siwaamini kabisa.
View attachment 1279332
Je, hawa ma-captiain wako competent vya kutosha?
Upatikanaji wa leseni za kurusha ndege ni mmoja kwa Dunia nzima. Vile vile kuwa na leseni tu ya kuruka hakutoshi si kama magari. Kwenye ndege rubani wa Dreamliner kwanza awe na leseni ya kurusha, halafu anakwenda kujifunza kuirusha ndege hiyo tu, na kupewa kibali na mtengeneza ndege kama atafaulu. Na hii ni kwa ndege zote. Na mara nyingi makampuni ya ndege hayapendelei mtu mmoja akawa na zaidi ya kibali cha ndege moja kwa wakati mmoja kwa kuhofia usalama. Kwa unyeti wa sekta hii ulivyo, sitegemei kama siasa zinaingiliana.Kwetu pia ipo? Maana kwa uvunjaji wa taratibu hasa awamu hii, tumekubuhu.