Ukweli ni kwamba sijisikii comfortable pindi nikipanda ndege za Tanzania, najisika amani ninapopanda ndege za Kimataifa

Mimi najua shida wanayopitia watu hadi kuwa Marubani. Namuamini Rubani yoyote hata awe na miaka 10 ya kuzaliwa imradi ni rubani nitamuamini
 
Na mimi nimejiuliza hivyo hivyo. Lakini Britanicca amemuelewa, na comment ame like!
Kwa Hiyo Britanica ndio "proof reading" yako?Hata aki-like kula mavi kwako hiyo ni sawa tu?

Hahahaha mkuu haupo siriazi!!!
 
Kwa Hiyo Britanica ndio "proof reading" yako?Hata aki-like kula mavi kwako hiyo ni sawa tu?

Hahahaha mkuu haupo siriazi!!!
Usinilishe maneno, sijasema mahali popote kuwa Britanicca ni proof reading yangu na wala sija imply hivyo. Ilinishangaza tu mleta uzi kuelewa kitu ambacho hakieleweki. Stop jumping into conclusions
 
Usinilishe maneno, sijasema mahali popote kuwa Britanicca ni proof reading yangu na wala sija imply hivyo. Ilinishangaza tu mleta uzi kuelewa kitu ambacho hakieleweki. Stop jumping into conclusions
Hahahaha!!haya kiongozi.
 
Huna akili right ungejua ndege huwa haiendeshwi kama gari, na kwa experience yangu hujawahi kupanda ndege maana hakuna marubani rough kama wazungu.
 
Sio kweli mkuu ndege zetu muda wote zimejaa kaangalie saiz kwenye website zao haupati siti
 
Madereva wa ndege kwa nini mnawaita captain? hazina dei waka kwani? ni sawa na daladala tu za juu!
 
Duh duh
 
Mkuu britanicca , they are competent, ila ajali ni ajali.

Poleni kwa ajali ya ndege Bukoba!. Bukoba sijui vipi?, Tangu Vita vya Kagera, ndio vita iliyoua watu wengi Tanzania kuliko vita nyingine yoyote nchini Tanzania. Ukaja ugonjwa wa Ukimwi, ukiitwa Juliana, Bukoba ndio the most hit kabla ya kusambaa kungine kote!. Ikaja ajali ya MV Bukoba ni Bukoba, hii ndio ajali kubwa ya meli iliyouwa watu wengi kuliko ajali nyingine yoyote ya meli Tanzania!. Likaja Tetemeko la Ardhi Bukoba, ndilo tetemeko kubwa kuliko matetemeko yote Tanzania, na sasa hii ajali ya ndege ya Precision Air Bukoba, ndio ajali kubwa ya ndege iliyo ua watu wengi kuliko ajali zote za ndege nchini Tanzania, imetokea ni Bukoba!.

Pamoja na majanga haya, pia kuna mambo mazuri ya Bukoba. Ingefanywa sensa ya wasomi wa kiwango cha Ph.D unaweza kukuta watu wa Bukoba ndio wanao ongoza kwa idadi ya Ph.D na ma profesa,

Chakula kinachoongoza kwa protein ni senene akifuatiwa na kumbikumbi wanapatikana Kagera.

Kuna fani fulani ambayo Baganda women wanaongoza bara la Africa, baada ya Baganda wa pili ni Bahaya!.

Pia kwenye tiba asili Bukoba wanaongoza kwa most effective tiba asili wakifuatiwa na Wamasai na pia Bukoba ndio wanao ongoza kwa utaalamu wa mambo fulani, hivyo vitu kama shuntama na limbwata is real na sii mchezo bila kusahau kile kijiji cha ile siku ya Gulio ya kwenye kitabu cha Kiswahili Darasa la 4 la zamani!.

Poleni sana ndugu zetu wa Bukoba.

P
 
Mungu atujalie na atuepushe na shari

Mana urubani nao ni kama udereva flani hivi

Juzi hp tunashuka KIA anashusha ndege na breki za kushtukiza hadi kdg tuanze kutapika
Badae kushuka JNIA akawa hana shida
Made me wonder ni nini hiki

Ingine muda wa kuondoka nlivyozoea mnakata kona kuelekea runway wanatulia sekunde chache af ndege inaruka
Hii mwamba alivomaliza tu kukata kona kapiga spidi kaliii tukaruka ehhh..ilikua mpya kwangu
 
Yaani wewe ni kama mimi tu. Nakuwa veery uncomfortable na hofu télé. Kuna incidence moja ilitokea yaani toka hapo hiyo trust ikapotea kabisa
 
[emoji23][emoji23][emoji23] dah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…