Thanks kwa ufafanuzi boss! Kazi Iendelee.Lini umesikia ndege ya air Tanzania imepata ajali na kosa ni la rubani? Hawa Wabongo unaowadharau kwa taarifa yako wengi wamerusha ndege huko nje kabla ya kurudi baada ya shirika kufufuliwa. Nawajua wachache wamerusha ndege Saudi Arabia,India,Nigeria etc
Inasikitisha Sana.Utawaamini tu siku watakapokushusha kwenye ziwa Victoria
BukobaMkuu britanicca , they are competent, ila ajali ni ajali.
Poleni kwa ajali ya ndege Bukoba!. Bukoba sijui vipi?, Tangu Vita vya Kagera, ndio vita iliyoua watu wengi Tanzania kuliko vita nyingine yoyote nchini Tanzania, ikaja ajali ya MV Bukoba ni Bukoba, hii ndio ajali kubwa ya meli iliyouwa watu wengi kuliko ajali yoyote ya meli Tanzania. Likaja Tetemeko la Ardhi Bukoba, ndilo tetemeko kubwa kuliko matetemeko yote Tanzania, na sasa hii ajali ya ndege ya Precision Air Bukoba, ndio ajali kubwa ya ndege iliyo ua watu wengi kuliko ajali zote za ndege nchini Tanzania, imetokea ni Bukoba!.
Pamoja na majanga haya, pia kuna mambo mazuri ya Bukoba. Ingefanywa sensa ya wasomi wa kiwango cha Ph.D unaweza kukuta watu wa Bukoba ndio wanao ongoza kwa idadi ya Ph.D na ma profesa,
Chakula kinachoongoza kwa protein ni senene akifuatiwa na kumbikumbi wanapatikana Kagera.
Kuna fani fulani ambayo Baganda women wanaongoza bara la Africa, baada ya Baganda wa pili ni Bahaya!.
Pia kwenye tiba asili Bukoba wanaongoza kwa most effective tiba asili wakifuatiwa na Wamasai na pia Bukoba ndio wanao ongoza kwa utaalamu wa mambo fulani, hivyo vitu kama shuntama na limbwata is real na sii mchezo bila kusahau kile kijiji cha ile siku ya Gulio ya kwenye kitabu cha Kiswahili Darasa la 4 la zamani!.
Poleni sana ndugu zetu wa Bukoba.
P
umesahau UKIMWI mkuuMkuu britanicca , they are competent, ila ajali ni ajali.

Umefikisika kidaikolojia. Ina maana kesho binti yako akifuzu mafunzo ya udereva wa pilot utakua humuamini?Mara nyingi siwaamini marubani Waswahili hawa Watanzania.
Uwa na panda ndege mfano Emirates, au KLM au Qatar Airway's to DSM, najisikia comfortable nikisikia rubani akisema:
"THIS IS CAPTAIN JOHN AU CAPTAINS HANSEN"
Ila nikipanda za Tanzania nfano kutoka DSM to Bukoba, nikasikia Welcome on board,This is Captain LUSUNGU talking, au Captain BYAMUNGU, huwa naishiwa nguvu siwaamini kabisa.
View attachment 1279332
Je, hawa ma-captiain wako competent vya kutosha?
Apande ndege ya Nani huyu, hata bati la ndege hajawahi kuligusa.Ushawahi kupanda ndege britanicca
Jambo la muhimu ni kufika salama, mahali unapotaka kufika.Mara nyingi siwaamini marubani Waswahili hawa Watanzania.
Uwa na panda ndege mfano Emirates, au KLM au Qatar Airway's to DSM, najisikia comfortable nikisikia rubani akisema:
"THIS IS CAPTAIN JOHN AU CAPTAINS HANSEN"
Ila nikipanda za Tanzania nfano kutoka DSM to Bukoba, nikasikia Welcome on board,This is Captain LUSUNGU talking, au Captain BYAMUNGU, huwa naishiwa nguvu siwaamini kabisa.
View attachment 1279332
Je, hawa ma-captiain wako competent vya kutosha?
Dereva wa pilot?!Umefikisika kidaikolojia. Ina maana kesho binti yako akifuzu mafunzo ya udereva wa pilot utakua humuamini?
Mbona wako madereva wa pilot wazaramo wazuri hata kuliko hao waarabu!?
AiseeUtawaamini tu siku watakapokushusha kwenye ziwa Victoria
Paskali umesahau UKIMWI kwenye orodha yako, japo sina takwimu rasmi lakini huenda piaMkuu britanicca , they are competent, ila ajali ni ajali.
Poleni kwa ajali ya ndege Bukoba!. Bukoba sijui vipi?, Tangu Vita vya Kagera, ndio vita iliyoua watu wengi Tanzania kuliko vita nyingine yoyote nchini Tanzania, ikaja ajali ya MV Bukoba ni Bukoba, hii ndio ajali kubwa ya meli iliyouwa watu wengi kuliko ajali yoyote ya meli Tanzania. Likaja Tetemeko la Ardhi Bukoba, ndilo tetemeko kubwa kuliko matetemeko yote Tanzania, na sasa hii ajali ya ndege ya Precision Air Bukoba, ndio ajali kubwa ya ndege iliyo ua watu wengi kuliko ajali zote za ndege nchini Tanzania, imetokea ni Bukoba!.
Pamoja na majanga haya, pia kuna mambo mazuri ya Bukoba. Ingefanywa sensa ya wasomi wa kiwango cha Ph.D unaweza kukuta watu wa Bukoba ndio wanao ongoza kwa idadi ya Ph.D na ma profesa,
Chakula kinachoongoza kwa protein ni senene akifuatiwa na kumbikumbi wanapatikana Kagera.
Kuna fani fulani ambayo Baganda women wanaongoza bara la Africa, baada ya Baganda wa pili ni Bahaya!.
Pia kwenye tiba asili Bukoba wanaongoza kwa most effective tiba asili wakifuatiwa na Wamasai na pia Bukoba ndio wanao ongoza kwa utaalamu wa mambo fulani, hivyo vitu kama shuntama na limbwata is real na sii mchezo bila kusahau kile kijiji cha ile siku ya Gulio ya kwenye kitabu cha Kiswahili Darasa la 4 la zamani!.
Poleni sana ndugu zetu wa Bukoba.
P
Paschall mayalla kukumbushana tu Mv BUKOBA haikuzama Bukoba imezama mwanza MITA chache tuu kuingia mjini tuwaambie vizuri hawa watoto wetu tusizidi kuwapotosha. MAPITO MWANZAMkuu britanicca , they are competent, ila ajali ni ajali.
Poleni kwa ajali ya ndege Bukoba!. Bukoba sijui vipi?, Tangu Vita vya Kagera, ndio vita iliyoua watu wengi Tanzania kuliko vita nyingine yoyote nchini Tanzania. Ukaja ugonjwa wa Ukimwi, ukiitwa Juliana, Bukoba ndio the most hit kabla ya kusambaa kungine kote!. Ikaja ajali ya MV Bukoba ni Bukoba, hii ndio ajali kubwa ya meli iliyouwa watu wengi kuliko ajali nyingine yoyote ya meli Tanzania!. Likaja Tetemeko la Ardhi Bukoba, ndilo tetemeko kubwa kuliko matetemeko yote Tanzania, na sasa hii ajali ya ndege ya Precision Air Bukoba, ndio ajali kubwa ya ndege iliyo ua watu wengi kuliko ajali zote za ndege nchini Tanzania, imetokea ni Bukoba!.
Pamoja na majanga haya, pia kuna mambo mazuri ya Bukoba. Ingefanywa sensa ya wasomi wa kiwango cha Ph.D unaweza kukuta watu wa Bukoba ndio wanao ongoza kwa idadi ya Ph.D na ma profesa,
Chakula kinachoongoza kwa protein ni senene akifuatiwa na kumbikumbi wanapatikana Kagera.
Kuna fani fulani ambayo Baganda women wanaongoza bara la Africa, baada ya Baganda wa pili ni Bahaya!.
Pia kwenye tiba asili Bukoba wanaongoza kwa most effective tiba asili wakifuatiwa na Wamasai na pia Bukoba ndio wanao ongoza kwa utaalamu wa mambo fulani, hivyo vitu kama shuntama na limbwata is real na sii mchezo bila kusahau kile kijiji cha ile siku ya Gulio ya kwenye kitabu cha Kiswahili Darasa la 4 la zamani!.
Poleni sana ndugu zetu wa Bukoba.
P
Asante kutukumbusha, kwanza kuanzia na jina tuu la MV Victoria, tunaijua kama MV Bukoba, hivyo kujichanganya kwa kudhania ni Bukoba, ila kwa vile ina piga trips za Bokoba, then wahanga wengi zaidi ni wana Bokoba!.Paschall mayalla kukumbushana tu Mv VICTORIA haikuzama Bukoba imezama mwanza MITA chache tuu kuingia mjini tuwaambie vizuri hawa watoto wetu tusizidi kuwapotosha. MAPITO MWANZA
Sorry nilipitiwa kidogo ila nimeedit Kwa usahihi zaidi p.Asante kutukumbusha, kwanza kuanzia na jina tuu la MV Victoria, tunaijua kama MV Bukoba, hivyo kujichanganya kwa kudhania ni Bukoba, ila kwa vile ina piga trips za Bokoba, then wahanga wengi zaidi ni wana Bokoba!.
Poleni!.
P
Hahahahahaumesahau UKIMWI mkuu
"Goodmorning ladies and gentlemen, this is your pilot Mpili speaking. I just wanna say thank you for flying southwest and this is your last flight..."This is captain Mpili watu khaaaaaaaaah😀😂😂😂
last flight? watu wote be like huuuuuuuu"Goodmorning ladies and gentlemen, this is your pilot Mpili speaking. I just wanna say thank you for flying southwest and this is your last flight..."
[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787]