bitimkongwe
JF-Expert Member
- Oct 21, 2009
- 7,794
- 7,551
Salasala nimeshafika mara nyingi tu usipate hofu. Hata ukisema Mbezi beach ni uzunguni sawa lakini maghorofa design ni ya kizamaniBila shaka wewe hauijui Salasala. Kule ni uzunguni ndugu. Hata mimi napakubali sana, mijengo ya maana, hali ya hewa nzuri nk.
Pa1 mkuuHili wala haujakosea mkuu.
Goba inategemea na maeneo, kuna baadhi ya maeneo mengine ni choka mbaya kama kawaida.Mbona mwingine aliniambia Goba ndo mwisho wa maneno
Kijichi kweli kuna maeneo ni mazuri yamejengwa vizuri na kimpangilio. Lakini bado sehem kubwa inakaliwa na waswahili, hivyo hadhi inakuwa haiakisi wenye malengo ya kuishi kiswahili wakimbilie huko.Hakuna mtu anayeijua kijichi humu. Kule Kuna mijengo ya bei mbaya.. ya kisasa sana! Salasala sijui makongo kote pa kichumba tu. Kijichi ilichozidiwa na masaki ni labda Haina mchanganyiko wa nyumba za makazi na biashara za kiwangi Cha utalii tu.
Naunga mkono hoja 👍Nimeishi salasala for over 10yrs. Pia nina ndugu zangu pale. SALASALA ni Masaki Ndogo
Ok mkuu, shukran kwa kufunguka kuhusu maeneo hayo. Hao waswahili wa salasala wanatakiwa wauze maeneo yao kwa watu wenye fedha ili wakajenge katika maeneo yanayoendana na hadhi zao. Hapo wawaachie watu wenye pesa zao waigeuze salasala ulaya ndogo.
Na kama halipo basi laja.Lisemwalo lipo...