bitimkongwe
JF-Expert Member
- Oct 21, 2009
- 7,794
- 7,551
Salasala nimeshafika mara nyingi tu usipate hofu. Hata ukisema Mbezi beach ni uzunguni sawa lakini maghorofa design ni ya kizamaniBila shaka wewe hauijui Salasala. Kule ni uzunguni ndugu. Hata mimi napakubali sana, mijengo ya maana, hali ya hewa nzuri nk.