Ukweli ni upi kuhusu maeneo haya?

Ukweli ni upi kuhusu maeneo haya?

Hakuna mtu anayeijua kijichi humu. Kule Kuna mijengo ya bei mbaya.. ya kisasa sana! Salasala sijui makongo kote pa kichumba tu. Kijichi ilichozidiwa na masaki ni labda Haina mchanganyiko wa nyumba za makazi na biashara za kiwangi Cha utalii tu.
 
Kijichi kweli kuna maeneo ni mazuri yamejengwa vizuri na kimpangilio. Lakini bado sehem kubwa inakaliwa na waswahili, hivyo hadhi inakuwa haiakisi wenye malengo ya kuishi kiswahili wakimbilie huko.
 
Ok mkuu, shukran kwa kufunguka kuhusu maeneo hayo. Hao waswahili wa salasala wanatakiwa wauze maeneo yao kwa watu wenye fedha ili wakajenge katika maeneo yanayoendana na hadhi zao. Hapo wawaachie watu wenye pesa zao waigeuze salasala ulaya ndogo.
 
Back
Top Bottom