Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
Uko mwepesi mno kujitangazia ushindi wa hoja. Hoja hoja hoja...is getting above your head now. My last post about this topic.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
naona unanitafuta. tafadhali sana naomba uishie hapo hapo! stop!
umejaribu kuchombeza vijineno vyako nimekustahi lakini naona sasa
unakoenda siko. binti wa kike aste aste. we unapenda sana kushutumu wenzio wanalialia kama watoto, wewe wakati unalia mbona huji kutangaza hapa. kila thread mtu akitofautiana na weye unaaza za kuleta "ooh usilielie" unadhani unavyolia wewe kila mtu analia!
Hii pia ilikuwa ni trick ya Nyerere, kufanya hoja za wenzake zionekana za kiendawazimu na vituko....urithi mzuri, halafu wewe(unajijua) unashanga pale JMK anaposema kelele za wapinzani hazimnyimi usingizi. Kimsingi ni kwamba mnatumia "same play book" na mwalimu wenu ni Nyerere!!. Mie sishangai kwa MKJJ na boo wake (jina kapuni) kushabikia hii kuwa udaku/kibweka, hayo ni matusi ya bei ya dezo na aibu nyingi ziwafikie. Kwa mawazo yao wao, wanadhani kwamba hapa watu wanashindana kupata mshindi kati ya Kambona na Mchonga......ukweli ni kuwa hatushindani, ni jaribio tu la kuweka historia sawa na kila mtu apate haki yake kwa mchango alotoa kwa Tanzania.
Binafsi, vyovyote itakavyokuwa, ila nimefurahi kupata fursa ya kutoa na kuona madukuduku ya wengine juu ya marhumu Julius. Bottomline hapa ni kuwa yupo xposed ki-legacy than ever. Kama nyie mtatangaza ushindi, that's fine, ila mkae mkijua hakuna free ride tena ya kupotosha ukweli na WE WILL BE BACK (ina accent kama ya Governator wa Cali).!!
Kafara,
Huyo ndio alivyo, ndio ANN COULTIER wetu wa JF. MKJJ ni Rush Limbaugh with some brain. Usishangae sana kwa tabia hiyo walionayo..........kwani kumshabikia Nyerere hapa, na kuzima hoja za wengine kwa matumizi ya lugha za kejeli ndio ilikuwa tabia ya BWANA WAO MTUKUFU. Wewe huwezi kuwa na "fikra sahihi" kama wao, kwasababu tu hukubaliani nao(hiyo ilikuwa tabia ya Nyerere).......what a shame ktk karne na generation hii!!. Yametumika maneno hapa kama stupid, sijui huna ballz na utoto mwingine mwingi, yote ktk juhudi za ku-discredit wengine...........Ann Coultier tuliza boli na punguza masifa, katabia kako kanaanza kuboa wengi humu ndani.!!!!
Wewe kila mtu unasema analia lia kama mtoto wakati wewe mwenyewe kila kukicha unalia lia kuhusu Kikwete. Watu wengine bana....halafu nikikuita kinanihino unanikasirikia...
Mwanakijiji kashinda, "kambona alikuwa hero ambae hakuwa."!!! Bingwa kawa "tongue twister......" mbingu imeanguka! tulioshindwa tumekuwa watu kidogo kuliko tulivyokuwa mwanzo kabla ya mada hii!!. Halafu mtu huyo huyo ati ndio Kamanda inchaji wa "mapambano ya kifkra"!! wakati yeye kashikiwa fikra na mzee kifimbo, marehemu!!!!......wakati huo huo anategemea mabadiliko nchini Tanzania, kama nilivyosema jana kwa mtaji huu, anayetegemea mabadiliko bongo hivi karibuni ni chizi!!. Hoja zenyewe zilizoshinda ni za kuita watu stupid na kwamba hawa ballz, very smart!!!!!. Mzuka wa nyerere bado upo alive and well, pumu imepata mkohozi.....Tanzania na umasikini/siasa mbovu nyerere style ni sawa na "ini na nyongo yake"!!. kaaaaaaaaazi kweli ipo.
Uchemfu mwingine bwana hata ukiuweka alaska hauwezi kupoa!
kama ulitaka hii thread iwe fight kati ya Nyerere na Kambona umechemsha maana kuna button hapo ungetumia kuanzisha thread mpya na ukaleta hiyo fight.
Kwa sasa wanaosapoti Kambona na mambo yake wameyatoa all the weekend wakati wengine hapa tukiwa off (as usual). Imefika Monday na waliokuwa off weekend tumerudi na different point of view, Wadosi wa JF wakaona kuwa ni vibweka.
Otherwise, hii ni part ya life ya JF, na kama kuna mtu kinamuuma sana anaweza tu kuanzisha tena topic ya Kambona na mjadala ukawa kama kawaida na wenye kuleta story za maisha yao wakiwa mabaharia sijui wakiwa wapi huko Dar wataendelea tu at the same time wakipata dozier toka katika kizazi kipya ambacho kinajali present na future na wala sio mambo yaliyotokea miaka 40 iliyopita.
Mimi sina shida ya kukuchombeza hapa!
Wewe una maisha yako na mimi nina yangu.
Una namna yako ya kujieleza hapa JF na mimi nina yangu.
Forum kama hii mtu anaweza kujibu au kutaja jina la mtu moja kwa moja na that is what I am doing here!
Kinachoboa kwa upande wangu ni kitendo cha kulialia kuwa mada imehamishwa napia kuwa watu hawataki kusifia vya Kambona. Mada kila mara zinahamishwa hapa so live with it!
Nimesema maoni yangu kuhusu Kambona kuwa ni mwoga na fraud.
Ukiwa na mawazo tofauti yaseme na uyasimamie.
Otherwise there is nothing you can do kuhusu ushiriki wangu hapa as longer as JF iko hewani so jiandae kuishi na maneno yangu.
ni vyema kama unalijua hilo
sasa kama inafahamu hilo kwanini likusonge na kuanza kunibeza kwa kuniambia nalialia? mamaa ustaarabu haununuliwi dukani. hata kama sign yako inasisitiza kutostaarabika ni vyema usinikwaze.
hilo ni haki yako na siwezi kukuzuia kufanya hivyo
hili pia ni wajibu wako kama wewe ni mod. lakini hii sio thread ya kwanza wala haitakuwa ya mwisho kwa mtu/watu kutoridhika na kuhamishwa kwake na kuomba mod airudishe. hivyo nawe itabidi ulive wuth it
hayo ni maoni yako na ni haki yako kuyasimamia japokuwa si lazima nikubaliane nayo.
again kama unalijua hili, tafadhali heshimu maoni yangu na staili yangu ya kuyatoa, hata kama hukubaliani na mawazo yangu wala staili yangu. kinyume cha hivyo ni ushari
nami nafahamu hilo, kwani sio mimi niliyekualika hapa na wala wewe hukunialika hapa. na maneno yako naweza ishi nayo mradi hayanikashifu.