Ukweli ni upi kuhusu Oscar Kambona?

Ukweli ni upi kuhusu Oscar Kambona?

Uko mwepesi mno kujitangazia ushindi wa hoja. Hoja hoja hoja...is getting above your head now. My last post about this topic.
 
naona unanitafuta. tafadhali sana naomba uishie hapo hapo! stop!
umejaribu kuchombeza vijineno vyako nimekustahi lakini naona sasa
unakoenda siko. binti wa kike aste aste. we unapenda sana kushutumu wenzio wanalialia kama watoto, wewe wakati unalia mbona huji kutangaza hapa. kila thread mtu akitofautiana na weye unaaza za kuleta "ooh usilielie" unadhani unavyolia wewe kila mtu analia!

Mimi sina shida ya kukuchombeza hapa!
Wewe una maisha yako na mimi nina yangu.
Una namna yako ya kujieleza hapa JF na mimi nina yangu.

Forum kama hii mtu anaweza kujibu au kutaja jina la mtu moja kwa moja na that is what I am doing here! Kinachoboa kwa upande wangu ni kitendo cha kulialia kuwa mada imehamishwa napia kuwa watu hawataki kusifia vya Kambona. Mada kila mara zinahamishwa hapa so live with it!

Nimesema maoni yangu kuhusu Kambona kuwa ni mwoga na fraud.
Ukiwa na mawazo tofauti yaseme na uyasimamie. Otherwise there is nothing you can do kuhusu ushiriki wangu hapa as longer as JF iko hewani so jiandae kuishi na maneno yangu.
 
Hii pia ilikuwa ni trick ya Nyerere, kufanya hoja za wenzake zionekana za kiendawazimu na vituko....urithi mzuri, halafu wewe(unajijua) unashanga pale JMK anaposema kelele za wapinzani hazimnyimi usingizi. Kimsingi ni kwamba mnatumia "same play book" na mwalimu wenu ni Nyerere!!. Mie sishangai kwa MKJJ na boo wake (jina kapuni) kushabikia hii kuwa udaku/kibweka, hayo ni matusi ya bei ya dezo na aibu nyingi ziwafikie. Kwa mawazo yao wao, wanadhani kwamba hapa watu wanashindana kupata mshindi kati ya Kambona na Mchonga......ukweli ni kuwa hatushindani, ni jaribio tu la kuweka historia sawa na kila mtu apate haki yake kwa mchango alotoa kwa Tanzania.

Binafsi, vyovyote itakavyokuwa, ila nimefurahi kupata fursa ya kutoa na kuona madukuduku ya wengine juu ya marhumu Julius. Bottomline hapa ni kuwa yupo xposed ki-legacy than ever. Kama nyie mtatangaza ushindi, that's fine, ila mkae mkijua hakuna free ride tena ya kupotosha ukweli na WE WILL BE BACK (ina accent kama ya Governator wa Cali).!!

Wewe mbona unakaribishwa katika mijadala hii all the time. Vilio vyako na maisha yako ya utotoni utayasema sana hapa ila in the end Kambona alikuwa Coward na fraud. Unakuwa mwoga kutaja majina ya watu kama Kambona bwana?
 
Kafara,
Huyo ndio alivyo, ndio ANN COULTIER wetu wa JF. MKJJ ni Rush Limbaugh with some brain. Usishangae sana kwa tabia hiyo walionayo..........kwani kumshabikia Nyerere hapa, na kuzima hoja za wengine kwa matumizi ya lugha za kejeli ndio ilikuwa tabia ya BWANA WAO MTUKUFU. Wewe huwezi kuwa na "fikra sahihi" kama wao, kwasababu tu hukubaliani nao(hiyo ilikuwa tabia ya Nyerere).......what a shame ktk karne na generation hii!!. Yametumika maneno hapa kama stupid, sijui huna ballz na utoto mwingine mwingi, yote ktk juhudi za ku-discredit wengine...........Ann Coultier tuliza boli na punguza masifa, katabia kako kanaanza kuboa wengi humu ndani.!!!!

Ahhh kumbe wewe unafanya mambo kufurahisha watu hapa JF. Inaonyesha jinsi gani unapenda sana kusifiwa. Mimi sihitaji sifa toka kwa yeyote that's why I do things my way.

Ninaandika accordingly bila kutegemea sifa toka watu especially watu waoga kama wewe na washabiki wa Kambona!
 
Wewe kila mtu unasema analia lia kama mtoto wakati wewe mwenyewe kila kukicha unalia lia kuhusu Kikwete. Watu wengine bana....halafu nikikuita kinanihino unanikasirikia...

Ah kumbe haikuwa joke kama ulivyosema? Nyani it is ok, unaweza kuniita chochote kile kwa sababu ndio mwanzo tu nimeanza kufanya ninayofanya hapa JF.

Siku mbili zijazo tutaweka mikataba zaidi ya serikali hapa maana siku hadi siku yanakuja mengi toka serikalini. Kikwete ataendelea kupewa dozi yake haapa na kama wewe utaona hicho ni kilio basi utakuwa na kila sababu ya kusema hivyo all the time.

Otherwise, wewe niite tu kinanihiio au chochote kile upendacho maana unalindwa na JF kueleza feelings zako.

Thanks!
 
Mwanakijiji kashinda, "kambona alikuwa hero ambae hakuwa."!!! Bingwa kawa "tongue twister......" mbingu imeanguka! tulioshindwa tumekuwa watu kidogo kuliko tulivyokuwa mwanzo kabla ya mada hii!!. Halafu mtu huyo huyo ati ndio Kamanda inchaji wa "mapambano ya kifkra"!! wakati yeye kashikiwa fikra na mzee kifimbo, marehemu!!!!......wakati huo huo anategemea mabadiliko nchini Tanzania, kama nilivyosema jana kwa mtaji huu, anayetegemea mabadiliko bongo hivi karibuni ni chizi!!. Hoja zenyewe zilizoshinda ni za kuita watu stupid na kwamba hawa ballz, very smart!!!!!. Mzuka wa nyerere bado upo alive and well, pumu imepata mkohozi.....Tanzania na umasikini/siasa mbovu nyerere style ni sawa na "ini na nyongo yake"!!. kaaaaaaaaazi kweli ipo.
 
Mwanakijiji kashinda, "kambona alikuwa hero ambae hakuwa."!!! Bingwa kawa "tongue twister......" mbingu imeanguka! tulioshindwa tumekuwa watu kidogo kuliko tulivyokuwa mwanzo kabla ya mada hii!!. Halafu mtu huyo huyo ati ndio Kamanda inchaji wa "mapambano ya kifkra"!! wakati yeye kashikiwa fikra na mzee kifimbo, marehemu!!!!......wakati huo huo anategemea mabadiliko nchini Tanzania, kama nilivyosema jana kwa mtaji huu, anayetegemea mabadiliko bongo hivi karibuni ni chizi!!. Hoja zenyewe zilizoshinda ni za kuita watu stupid na kwamba hawa ballz, very smart!!!!!. Mzuka wa nyerere bado upo alive and well, pumu imepata mkohozi.....Tanzania na umasikini/siasa mbovu nyerere style ni sawa na "ini na nyongo yake"!!. kaaaaaaaaazi kweli ipo.


Uchemfu mwingine bwana hata ukiuweka alaska hauwezi kupoa!
kama ulitaka hii thread iwe fight kati ya Nyerere na Kambona umechemsha maana kuna button hapo ungetumia kuanzisha thread mpya na ukaleta hiyo fight.

Kwa sasa wanaosapoti Kambona na mambo yake wameyatoa all the weekend wakati wengine hapa tukiwa off (as usual). Imefika Monday na waliokuwa off weekend tumerudi na different point of view, Wadosi wa JF wakaona kuwa ni vibweka.

Otherwise, hii ni part ya life ya JF, na kama kuna mtu kinamuuma sana anaweza tu kuanzisha tena topic ya Kambona na mjadala ukawa kama kawaida na wenye kuleta story za maisha yao wakiwa mabaharia sijui wakiwa wapi huko Dar wataendelea tu at the same time wakipata dozier toka katika kizazi kipya ambacho kinajali present na future na wala sio mambo yaliyotokea miaka 40 iliyopita.
 
Uchemfu mwingine bwana hata ukiuweka alaska hauwezi kupoa!
kama ulitaka hii thread iwe fight kati ya Nyerere na Kambona umechemsha maana kuna button hapo ungetumia kuanzisha thread mpya na ukaleta hiyo fight.

Kwa sasa wanaosapoti Kambona na mambo yake wameyatoa all the weekend wakati wengine hapa tukiwa off (as usual). Imefika Monday na waliokuwa off weekend tumerudi na different point of view, Wadosi wa JF wakaona kuwa ni vibweka.

Otherwise, hii ni part ya life ya JF, na kama kuna mtu kinamuuma sana anaweza tu kuanzisha tena topic ya Kambona na mjadala ukawa kama kawaida na wenye kuleta story za maisha yao wakiwa mabaharia sijui wakiwa wapi huko Dar wataendelea tu at the same time wakipata dozier toka katika kizazi kipya ambacho kinajali present na future na wala sio mambo yaliyotokea miaka 40 iliyopita.

Haya...........................
 
How do we know that Nyerere was the best thing? See the problem I have with folks who regard Nyerere highly is that we dont the alternatives, at his time, to make a logical, objective comparison. I am not even sure if we know Nyerere for who is or what he wanted Tanzanians to believe. He managed to create an aura of admiration and worship. He created an atmosphere where no one would question his ideas.

Remember the days when we couldnt read anything other than Uhuru, Mzalendo, Daily News and Sunday News before Mfanyakazi came into existence to provide some kind of an entertainment relief? You remember the days when the 8:00 PM RTD news bulletin would be followed up by a Ujumbe wa Leo propaganda? I have to give it up to Nyerere. He ensured that Tanzanians couldnt run or hide from his ideology. If you feed someone junk for twenty (20) years, they would believe that crap. He even went as far as insulting our intelligence by putting a hoe against himself in the election. A hoe or a hammer, can you believe that? Who elects a hoe as the president?

What ticks me off is the fact that he forced us to sing derogatory songs against Oscar Kambona. We sang this tune during our morning mchakamchaka routines in High School, Kambona ameolewa! Wapi?! Wapi?! Uingereza! Was Kambona really that bad? What is the historical truth?

When the TANU National Executive Committee met in Arusha January 26-29 1967 it turned out to be a stormy session. At this meeting Nyerere proposed that Ujamaa become the official policy of the government. Oscar Kambona objected strongly to this policy. Twice during these sessions, the Executive Committee adjourned in order to allow their three leaders, Nyerere, Kambona and Kawawa to go into private session. Each time that they returned to the Executive Committee it was apparent that Kawawa had supported Nyerere to defeat Kambona. The result was that the Arusha Declaration was adopted.

It gets me mad to realize that I actually sang derogatory songs against an individual who did nothing wrong. If at all, his crime was to express his opinion against Nyereres utopian dreams. The worst part is the fact that the introduction of free market economy has proven that Kambona was right and Nyerere's ideas were just a disaster in the making.

This artile is not whether Kambona was better than Nyerere, and vice versa. It is intended to push us into taking a very hard look at our history and what we have been long taught and gauge whether our perspective and perceptions are correct. But in order to effectively do that, we have to be objective and let go of our political biasness. Unfortunately, the Tanzanian history is tangled with Nyereres legacy.

In order for us to create the right future, we have to unearth some of the wrong foundations and beliefs that we have held on for so long. I dont want my children to grow up thinking that Nyerere was the best think that has ever happened to Tanzania, while that could not an objective assessment. I dont want my kids to grow up thinking that Oscar Kambona, Mzee Mapalala, or Kassanga Tumbo were villains simply because they didnt fit into Nyereres thinking. That is the point.

I strongly believe that we owe it to ourselves to query as to whether the little we know, particularly on Kambona's disagreement on Ujamaa, is enough to sideline this man and negatively portray his contribution the way Nyerere did.
 
Oscar Salathiel Kambona
Political career

He was the secretary-general of the Tanganyika African National Union (TANU) during the struggle for independence and worked closely with Nyerere who was president of TANU, the party which led Tanganyika to independence. Tanganyika won independence from Britain on 9 December 1961. The two were the most prominent leaders of the independence movement in Tanganyika in the 1950s.

Oscar Kambona was a charismatic leader who also had great influence among the leaders of the African liberation movements based in Dar es Salaam, Tanzania, second only to Nyerere, after the country won independence.

He was a shining star in the constellation of Tanganyikan (later Tanzanian) politicians and it was widely believed that he would be the next president of the country if Nyerere no longer ran for office or stepped down for whatever reason. His stature as Nyerere's heir apparent or successor was enhanced when, as defence minister, he calmed down soldiers who could have overthrown the government.

That was during the army munity in January 1964 when President Nyerere and Vice President Rashid Kawawa were taken to a safe place by the members of the intelligence service in case the soldiers wanted to harm them.

It was Oscar Kambona, alone, who confronted the soldiers and negotiated with them. He drove himself to the army barracks to talk to the army mutineers and listen to their demands. The soldiers wanted their salaries increased and British army officers replaced by African officers.

There was, however, suspicion that some elements in the government and in the labour movement secretly worked with the soldiers to create a tense situation in an attempt to overthrow President Nyerere.

Kambona obviously was not one of them. Had he wanted to, he could have used the opportunity to seize power. He was popular with the soldiers and they trusted him. He was also, during that time, minister of defence.

Soldiers in neighbouring Kenya and Uganda also mutinied around the same time, within the next two days after Tanganyika's army mutiny which took place on 20 January, and made the same demands their counterparts did in Tanganyika.

The army mutinies in the three East African countries were suppressed by British troops who had been flown from Aden and Britain at the request of the three East African leaders (Julius Nyerere of Tanganyika, Jomo Kenyatta of Kenya, and Milton Obote of Uganda). The mutinies were over in only a few days.

After Nyerere came out of seclusion, he publicly thanked Oscar Kambona, whom he called "my colleague," for defusing a potentially dangerous situation.

In fact, when the soldiers remained defiant, it was Oscar Kambona who persuaded Nyerere to seek immediate assistance from the former colonial power, Britain, to suppress the mutiny.

The two leaders had been close political allies and personal friends since the days of the independence struggle when they were the main leaders of the independence movement. In fact, when Kambona got married to a former Miss Tanganyika at a cathedral in London, Nyerere was his best man.

But the two leaders started drifting apart a few years after independence. The first rift occurred in 1964 during the army mutiny, and then in 1965 when Tanzania officially became a one-party state.

As a cabinet member, Oscar Kambona supported the transition to a one-party state but did so reluctantly, only as a team player.

He was opposed to the change because he said there was no mechanism guaranteeing change of government by constitutional means in a country dominated by one party. He also contended that there were no constitutional safeguards to make sure that the country did not drift into dictatorship.

The next split with Nyerere came in February 1967 when Tanzania adopted the Arusha Declaration, an economic and political blueprint for the transformation of Tanzania into a socialist state.

Kambona was opposed to this fundamental change and argued that the government should first launch a pilot scheme to see if the policy was going to work on a national scale.

Tanzania's socialist policy was mainly based on the stablishment of ujamaa villages, roughly equivalent to Israel's Kibbutz, so that the people could live and work together for their collective well-being and make it easier for the government to provide them with basic services such as water supply, medical treatment at clinics, and education by building schools which could be within short distance from the villages.

Oscar Kambona argued that it was important, first, to show the people that living in ujamaa villages, or collective communities, was beneficial and a good idea. He said that could be done by establishing a few ujamaa villages in different parts of the country as a pilot scheme to demonstrate the viability of those villages and show the people the benefits they would get if they agreed to live together and work together on communal farms.

The debate, conducted mostly in private when the delegates of the ruling party TANU were discussing in a public forum the document of the Arusha Declaration, was between Oscar Kambona on one side and Julius Nyerere as well as Vice President Rashid Kawawa on the other side.

They were the country's three main and most powerful and most influential leaders and met privately away from the delegates at the conference in Arusha to resolve their differences.

The private meeting and debate went on for quite some time during the duration of the conference and whenever the subject came up, whether or not Tanzania should adopt socialist policies and establish ujamaa villages, Kawawa always supported Nyerere against Kambona.

The two (Kambona and Kawawa) became bitter enemies thereafter. In fact, they started going separate ways even before then because Kambona saw Kawawa as no more than a "puppet" of Nyerere, manipulated at will, and who agreed with everything Nyerere said and wanted.

Kambona was the only cabinet member who challenged Nyerere and stood up to him and saw him as his equal. There was probably another cabinet member, Chief Abdallah Said Fundikira, Tanganyika's first minister of constitutional affairs, who not long after independence left the cabinet over disagreements with Nyerere. Fundikira had known Nyerere since their student days at Makerere University College in Uganda in the early 1940s.

But the differences between Kambona and Nyerere were fundamentally ideological and more than just a dispute over the way ujamaa villages should be established.

Kambona was opposed to socialism and supported capitalism. Nyerere was a committed socialist and finally won.

The Arusha Declaration was adopted in February 1967 and socialism became Tanzania's official policy.
 
Exile

A few months later, in July 1967, Oscar Kambona left Tanzania with his wife and children and went into "self-imposed" exile in London.

It was first reported that he sneaked out of the country and drove all the way to Nairobi, Kenya, a neighbouring country. But it is highly unlikely that the members of the Tanzania's intelligence service were not aware of his departure. The government simply let him go. They could have stopped him, and could even have arrested him, if they wanted to.

After he left and when his departure was reported in Tanzania's newspapers and on the radio, President Nyerere himself at a public rally in Dar es Salaam, the capital, talked about Kambona and said "Let him go." He also said Kambona left with a lot of money and wondered how he got all that money which did not match his salary.

There were rumours that one of the ways he enriched himself when he was in office was by taking some of the money which was intended to go to the liberation movements based in Tanzania.

He was during that period also chairman of the Organisation of African Unity (OAU) Liberation Commttee overseeing liberation movements based in Dar es Salaam, Tanzania, in addition to his ministerial position as minister of external affairs.

The allegations that he misappropriated some of the funds intended for the liberation struggle in Southern Africa, and got more money from other sources illegally or by unscrupulous means, got some credibility when on 12 January 1968, President Nyerere challenged Oscar Kambona to return to Tanzania and testify before a judicial commission that he had not deposited large sums of money in his account, and explain where he got it from since it far exceeded his salary.

Kambona responded to the allegations by requesting the Tanzanian government to hold a public investigation into his personal wealth and publish the findings. Something that the government did not do. It is also highly unlikely that Kambona misappropriated wealth since he spent most of his life in exile living in subsidised council housing for poor income families. Tony Laurence's book "the Dar Mutiny of 1964", published by Book Guild Publishing confirms that "in 1967 fearing for his life [Kambona] went into exile in Britain where , lacking any financial support, he took a series of low paid jobs in London while continuing to act with dignity and humour as a friend of exiles more fortunate than he."

Nyerere's challenge was reported in Tanzania's newspapers and by Radio Tanzania Dar es Salaam (RTD) during that time. It has also been documented by Jacqueline Audrey Kalley in her voluminous work, Southern African Political History: A Chronology of Key Political Events from Independence to Mid-1997.

There was also disagreement on the way Kambona's exile was described.

Reports in Tanzania said he went into "self-imposed" exile but, to Kambona and his supporters as well as other observers, he was forced to leave Tanzania because he had fallen out with Nyerere and did not feel that he would be safe or lead a normal life in a hostile political climate even if he was left to go on with his life without being harassed or arrested.

Speculation that he may have been in imminent danger just before he left was somewhat confirmed when his house in Magomeni, Dar es Salaam, was destroyed by the security forces and the soldiers of the Tanzania People's Defence Forces (TPDF) although not demolished. The destruction is shown in a photograph on the web site of the Kambona Foundation.

The destruction of the house, after Kambona left, seemed to have been some kind of warning or simply a scare tactic and it probably achieved its purpose, especially with regard to Kambona's supporters in Tanzania. It probably meant, "this is what we have in store for you," or "this is what you are going to get," if you continue to support Kambona. And "this is what would have happened to him had he stayed."

That may be just one of the interpretations - why his house was destroyed. There may be other interpretations of the government's motives for sanctioning that.

But fear for his security and freedom was real, further confirmed when his two younger brothers, Mattiya Kambona and Otini Kambona, were arrested around the same time he fled to London. They were detained for many years until President Nyerere released them after many petitions from Amnesty International and a final intervention from Robert Muldoon, the Prime Minister of New Zealand.

From his sanctuary in London, Oscar Kambona became a bitter critic and opponent of President Nyerere and his policies.

He was even invited by the Nigerian military government of Yakubu Gowon in June 1968 to go and lecture in Nigeria after Tanzania recognised Biafra (the first country to do so in April that year), thus infuriating Nigerian leaders for supporting the secession of the Eastern Region of the Nigerian Federation.

During his lecture tour of Nigeria in June 1968, Kambona denounced Nyerere as a dictator and accused the Tanzanian government of supplying weapons to Biafra.

In a lecture in Lagos on 14 June 1968, he also said weapons and ammunition sent to Tanzania for the Zimbabwe African People's Union (ZAPU) freedom fighters had been diverted by Nyerere and sent to Biafra; and went on to say that Tanzania's recognition of Biafra as a sovereign nation had damaged the country's reputation in Africa and elsewhere.

Tanzania recognised Biafra for moral reasons because of the refusal and unwillingness of the local and the federal authorities to stop the massacre of Igbos and other Easterners in Northern Nigeria and other parts of the country, but especially in the North.

Nigerian leaders were also quick to remind Nyerere that it was Nigerian troops who had saved him and provided security and defence for Tanganyika after the army mutiny in Tanganyika in 1964 when Nyerere appealed to fellow Africans for troops to temporarily provide defence while the Tanganyikan government was building a new army. Nigeria, under the leadership of President Nnamdi Azikiwe and Prime Minister Tafawa Balewa, immediately responded to Nyerere's request.

Kambona was also quick to remind his listeners in Nigeria, and even in Britain where lived, that it was he who calmed down the soldiers when they mutinied while President Nyerere and Vice President Kawawa went into hiding, "in a grass hut," as he put it.
 
End of his life

But he was no longer the star he once was, when he was second only to Nyerere in influence and popularity in the sixties.

He died in London in July 1997, almost exactly 30 years after he first went into exile in Britain in July 1967 where he lived for 25 years before returning to his home country in 1992 to spend the last few years of his life.

Despite his political misfortunes, Oscar Kambona will always be remembered as one of the most prominent leaders of Tanzania who also played a leading role in the struggle for independence and who relentlessly campaigned for the adoption of multiparty democracy in Tanzania.
It is, of course, anybody's guess how he would have been, as a leader, had he become president of Tanzania. Even his most bitter opponents cannot prove he would have been a bad leader. He could have been one of the best presidents Tanzania ever had. We will never know. Or to put it another way, Oscar Kambona was one of the best presidents Tanzania never had.

And it is very much possible that under his leadership, Tanzania's economy would probably not have suffered as much as it did under Nyerere during his years of socialist rule. Socialism ruined Tanzania's economy and Kambona was opposed to socialism right from the beginning.

He went into exile a capitalist, and died a capitalist.

Today, Tanzania is pursuing free-market policies after renouncing socialism, and has adopted multiparty democracy, the same policies and kind of political system Kambona had advocated all along.

He has probably been vindicated by history.

But he will also probably not be forgiven by many people in Tanzania for trying to overthrow Nyerere, the Father of the Nation, whom the vast majority of Tanzanians sincerely believed, and rightly so, that he was sincere and honest in his intentions and deeply cared about their well-being although some of his economic policies proved to be disastrous in the end. They still say he meant well. And he did.

Perhaps even Kambona himself believed that Nyerere meant well but pursued the wrong policies to achieve his goals.

Both leaders will be judged by history.
 
Majimoto,
The accounts above are balanced- it is fair kuwaangalia Kambona na Nyerere kwa strengths na weaknesses as human beings.

1. Moja tu as observation- wakati ule 1960s was a nation building era- watu wa dini mbalimbali na makabila zaidi ya 120 kuwa pamoja kama nchi - sii kazi ndogo! Nyerere alifanikiwa kutuweka pamoja hata kama alikuwa dictator. Yale mataifa yaliyokumbatia uchumi kwanza (mf. Ivory Coast)- leo wako wapi?

2. Mimi ningekuwa Nyerere as a colleague tuliotafuta Uhuru pamoja ningempa ubalozi wa mda mrefu Kambona- (kama Sarakyikya) nisingemwacha aende Uhamishoni. Sijui kama kulikuwepo na juhudi za reconciliation kati yao- au kama ilishindikana- ila ikumbukwe Mwalimu ndo alikuwa raisi na alishikilia mpini- na Kambona makali

3. Kumbe mke wa Kambona alikuwa mrembo Miss Tanganyika? Du hii kali! Sasa walikutana na Kambona wapi?
 
..Kawawa aliwahi kuishi kwenye nyumba iliyotaifishwa toka kwa Kambona.

..Halafu mlitegemea Kambona ajirudishe Tanzania, wakati "waungwana" wameshagawana mali zake?

..Yeyote yule atakayemhoji Mzee Rashidi Kawawa amuulize alikuwa anajisikia vipi alipokuwa akiishi kwenye nyumba ya Kambona?
 
mungu awalaze malazo mema wote, hawa ni viongozi wetu kwa pamoja waliijenga nyumba yetu tanzania, ni kweli kulikuwa na tofauti baina yao ila michango yao kwa njia moja au nyengine ss tuliobakia na wanaokuja tunapaswa kuilinda kuitunza na kuitumia. walipoteleza pia ni darasa kwetu
 
wana jamboforums,

..babarabara ya Bibi Titi ilibadilishwa jina na kuitwa UWT baada ya Bibi Titi kuingia matatani.

..hata mtaa wa Azikiwe naambiwa ulibadilishwa jina Tanzania ilipoitambua Biafra.

..hivi hakuna uwezekano kwamba kuna mahali palipewa jina la Kambona lakini likafutwa baada ya mfarakano wake na Mwalimu?
 
Mimi sina shida ya kukuchombeza hapa!
Wewe una maisha yako na mimi nina yangu.

ni vyema kama unalijua hilo

Una namna yako ya kujieleza hapa JF na mimi nina yangu.

sasa kama inafahamu hilo kwanini likusonge na kuanza kunibeza kwa kuniambia nalialia? mamaa ustaarabu haununuliwi dukani. hata kama sign yako inasisitiza kutostaarabika ni vyema usinikwaze.

Forum kama hii mtu anaweza kujibu au kutaja jina la mtu moja kwa moja na that is what I am doing here!

hilo ni haki yako na siwezi kukuzuia kufanya hivyo


Kinachoboa kwa upande wangu ni kitendo cha kulialia kuwa mada imehamishwa napia kuwa watu hawataki kusifia vya Kambona. Mada kila mara zinahamishwa hapa so live with it!

hili pia ni wajibu wako kama wewe ni mod. lakini hii sio thread ya kwanza wala haitakuwa ya mwisho kwa mtu/watu kutoridhika na kuhamishwa kwake na kuomba mod airudishe. hivyo nawe itabidi ulive wuth it

Nimesema maoni yangu kuhusu Kambona kuwa ni mwoga na fraud.

hayo ni maoni yako na ni haki yako kuyasimamia japokuwa si lazima nikubaliane nayo.

Ukiwa na mawazo tofauti yaseme na uyasimamie.

again kama unalijua hili, tafadhali heshimu maoni yangu na staili yangu ya kuyatoa, hata kama hukubaliani na mawazo yangu wala staili yangu. kinyume cha hivyo ni ushari

Otherwise there is nothing you can do kuhusu ushiriki wangu hapa as longer as JF iko hewani so jiandae kuishi na maneno yangu.


nami nafahamu hilo, kwani sio mimi niliyekualika hapa na wala wewe hukunialika hapa. na maneno yako naweza ishi nayo mradi hayanikashifu.
 
ni vyema kama unalijua hilo



sasa kama inafahamu hilo kwanini likusonge na kuanza kunibeza kwa kuniambia nalialia? mamaa ustaarabu haununuliwi dukani. hata kama sign yako inasisitiza kutostaarabika ni vyema usinikwaze.



hilo ni haki yako na siwezi kukuzuia kufanya hivyo




hili pia ni wajibu wako kama wewe ni mod. lakini hii sio thread ya kwanza wala haitakuwa ya mwisho kwa mtu/watu kutoridhika na kuhamishwa kwake na kuomba mod airudishe. hivyo nawe itabidi ulive wuth it



hayo ni maoni yako na ni haki yako kuyasimamia japokuwa si lazima nikubaliane nayo.



again kama unalijua hili, tafadhali heshimu maoni yangu na staili yangu ya kuyatoa, hata kama hukubaliani na mawazo yangu wala staili yangu. kinyume cha hivyo ni ushari




nami nafahamu hilo, kwani sio mimi niliyekualika hapa na wala wewe hukunialika hapa. na maneno yako naweza ishi nayo mradi hayanikashifu.

Kafara,

Mbona maoni yako ninayaheshimu sana tu ila pia nimetumia hiyo heshima kuwa kwenye your other point of view. Sina nia ya kuwa na biff na wewe katika issue ya Mtu aliyekufa na aliyekimbia nchi miaka mingi sana kabla sijazaliwa.

Samahani mkuu kwa kukukwaza. Kambona kwangu ni hero aliyesaliti wapiganaji wenzake alivyopata vipesa na akaturn kuwa bonge la coward. Huu ni msimamo ambao itachukua laser heat ya degree kubwa sana kuufuta kutoka kwenye ubongo wangu.

Kwa hili endelea tu kutoa point yako na mimi nitatoa zangu hapa. Kumbuka pia kuwa part ya debates zote duniani ni pamoja na kuwa na engagement na mtu ambaye unadebate naye. Hili lisikukwaze maana lisipokuwepo hii haitakuwa forum tena bali kitu kingine tofauti kabisaaaa!
 
Back
Top Bottom