Ukweli ni upi kuhusu Oscar Kambona?

Kupitia post zako hapa nimepata fununu ya grudges zako dhidi ya Baba wa Taifa na wengineo
 
Kupitia post zako hapa nimepata fununu ya grudges zako dhidi ya Baba wa Taifa na wengineo
Mengi kumhusu Kambona ambayo hatukuwa na maelezo nayo hatimaye yameelezwa na Mzee Job Lusinde aliyesoma na Kambona sekondari na baadaye wote wakawa kwenye baraza la mawaziri hadi Kambona anakwenda ukimbizini.

Raiamwema walitoa makala zake kwenye gazeti lao kama wiki mbili zilizopita, si mbaya ukazisoma kama utakuwa hujazisoma.
 
Wazee wa TANU walikosea sana kumpa huyu jamaa nchi kwa nini asipewe Kambona(jina safi kabisa la kimwera hili) ili kabila lina weledi na mambo ya uongozi natumai mh. Bernad Membe atafaa kuiongoza nchi hii na kukizi mahitaji ya watanzania.
 
Wazee wa TANU walikosea sana kumpa huyu jamaa nchi kwa nini asipewe Kambona(jina safi kabisa la kimwera hili) ili kabila lina weledi na mambo ya uongozi natumai mh. Bernad Membe atafaa kuiongoza nchi hii na kukizi mahitaji ya watanzania.
 
Wazee wa TANU walikosea sana kumpa huyu jamaa nchi kwa nini asipewe Kambona(jina safi kabisa la kimwera hili) ili kabila lina weledi na mambo ya uongozi natumai mh. Bernad Membe atafaa kuiongoza nchi hii na kukizi mahitaji ya watanzania.
 
Hapa nadhani kuna factions mbali mbali za wakoloni wakiingereza ambapo kila faction ilikuwa na mtu wake ambaye wangetaka awe Rais wa Tanganyika (baada ya kuona vugu vugu la uhuru kwenye nchi za Afrika haliwezi kuzuilika).

Unaweza kuona kwamba Julius aliandaliwa na faction fulani (including yule padre wake) na Oscar aliandaliwa na faction fulani (including huyo askofu wake wa kianglikana). Pia kuna faction nyingine zilikua zinataka chifu huyu au yule awe Rais.

Kidhehebu Muingereza aliwapendelea Anglicans kwanza, then Presbyterians, then Lutherans. Muingereza hakupenda wakatoliki. Walutheri alikuwa na wasi wasi nao kidogo kwamba wangependa wajerumani zaidi ya waingereza.

Nahisi hilo jeshi la Tanganyika African Rifles ambalo lilirithiwa kutoka kwa jeshi la kikoloni lilikua na waprotestanti wengi wa kianglikana na kipresbyterian. Walutheri walikuwepo ila sio wengi kama hao wengine.

Nahisi vile vile huenda kisiri siri Kambona alikua chanzo cha hiyo 1964 mutiny. Huku aki act kama ndo anawatuliza. Nimenote Job Lusinde ni muanglikana pamoja na samuel malecela. Nahisi Julius aliwatumia walutheri na presbyterians kuwatoa waanglikana kwenye jeshi. Then akatumia waislamu kuwatoa walutheri. Then akawaweka wakatoliki.

Anyway baada ya hiyo mutiny Julius alifanya maneuvering na kuwaweka wakatoliki jeshini. Akija Rais muislamu huwa anaweka watu wake lakini akitaka kuvuka kiwango fulani huwa ana meet resistance ambayo inamfanya aache huo mpango.

Ingawa Julius alishinda hii power struggle na nchi ili suffer because of him, it was a blessing in disguise. Wakati wa waprotestanti kuongoza Tanzania ulikua bado haujaja. Waprotestanti walikua na tamaa ya mali na majivuno, wakati hawakua perfect spiritually as they were supposed to be. They had to be humble na kupunguza pride yao before washike uongozi. Waanglikana walikuwa karibu na waingereza na uanglikana sometimes unafanana na ukatoliki, so huenda hakuna spiritual advantage kubwa ya Rais wa kwanza kuwa muanglikana.

Julius aliposhinda power struggle dhidi ya Sokoine (Sokoine alikuwa mkatoliki) it was a blessing in disguise. Nchi ilihitaji ahueni ya kupumzika kutoka siasa za Sokoine.

Format wanayopenda kutumia nchi kubwa ni kwamba kunakuwa na ‘rafiki’ wao namba moja (Julius) na ‘rafiki’ wao namba mbili (Oscar), ili rafiki yao namba moja asipofanya wanachotaka basi rafiki yao namba mbili anamuondoa huyo namba moja na kuwa kiongozi. Mara nyingi wanapenda rafiki yao namba moja awe boya na rafiki wao namba mbili ndo awe na madaraka ya kweli. Waingerea vile vile wameweza kuweka marais waislamu marafiki zao kwenye nchi za kiafrika e.g. magenerali wakiislamu wa Nigeria. So saa ingine wanaangalia maslahi yao na sio dini.

Nadhani kutokana na political maneuverings alizofanya Julius katika mazingira magumu na hatarishi anastahili kuwa mwenye heri wa kanisa lake. Bila ya yeye kanisa lake lingepata shida hapa nchini. Of course wengine ambao si wakatoliki (pamoja na wakatoliki wachache) wanaweza kutoa sababu za kukataa uenye heri wake.

Moja wapo ya Dilemma ya waingereza kidini ni kwamba mjerumani alishakuja Tanganyika. Since ulutheri ndio ilikua dini ya watawala wa Ujerumani (Bismark na Kaiser), Wakoloni wa kijerumani walichagua maeneo mazuri sana ya TZ (Kilimanjaro, Usambara, Arusha, Mbeya, Iringa na Kagera) na kuyafanya maeneo ya walutheri. Of course wakatoliki wakijerumani walipewa pia sehemu ya maeneo hayo. Muingereza kuja akabidi aeneze uanglikana kwenye maeneo ambayo sio mazuri sana (Dodoma etc). Ingawa aliweka makanisa pia kwenye maeneo yale ya walutheri.

Sasa the winds of change are blowing across Tanzania. Na uprotestanti umepata nguvu tena Tanzania (especially wapentekoste na walutheri). Nadhani around 1/3 to 40% ya watanzania ni waprotestanti wa madhehebu mbali mbali. Kuna dalili kwamba baada ya miaka 70 ya uhuru (2031) waprotestanti ndo wataiongoza Tanzania. Na makanisa yao ndio yatakalia kiti cha utawala Tanzania. Pia kuna uwezekano nguvu kubwa pamoja na propaganda ikatumika kuzuia hayo mabadiliko yasitokee. Kwahiyo anayejua na muamuzi wa haya ni Mungu wa Isreal mwenyewe.
 
the best president that we never had, huyu jamaa angetufikisha mbali Sana. nyerere alimkimbiza kizuizini kwani alikuwa anapinga Sera za ujamaa
Una uhakika angekufikisha mbali au ndiyo kuongozwa na hisia tu matamanio kama ilivyo nature ya mwanadamu kutamani kile asichokuwanacho
 
Una uhakika angekufikisha mbali au ndiyo kuongozwa na hisia tu matamanio kama ilivyo nature ya mwanadamu kutamani kile asichokuwanacho
Mimi binafsi nina imani hiyo, sababu yale yote aliyoyapinga Mwalimu enzi hizo ndiyo tunapambana nayo kuyarudisha hadi leo.

Mfano leo hii tunatamani kuwepo na Democrasia ya kweli ambayo tulikuwa nayo kipindi cha nyuma, pia

Tunatamani kuwepo na wawekezaji wa ndani ambao walirudi nyuma na wengine kufirisiwa kipindi cha nyuma.

Hadi sasa nchi emekosa kabisa sera na muelekeo wa kufuata; tunaitamani Democrasia lakini hatutaki kukabidhi nchi kwa vyama vingine. Tunatamani kupata wawekezaji wazalendo lakini hatuwapi mazingira huru kuwekeza.

Matokeo yake nchi badala ya kutafuta njia ya kupata mendeleo makubwa, tumebaki kuwaza tutafanya nini ili uchaguzi ujao chama chetu kibaki kuwa madarakani. Lakini kama tungeendelea na democracy tokea miaka 60 sasa hivi ingekuwa ndiyo maisha yetu.
 
nafurahi kuona ulipitia hii thread
 
Aisee hebu wafanye haraka Hili swala
 
Una akili sana wewe
 
R.i.p ben
 
Nitarudi
 

Nisahihishe. Kambona hakuwa amejenga majumba yake haraka haraka. Kambona hakulitaka Azimio la Arusha. Aliondoka Dar es Salaam kwa kutoroka kupitia Nairobi hadi Uingereza nadhani mwaka 1968. Halikuwa jaribio bali njama tu ya kufanya mapinduzi lilifanyika miaka miwili baadaye mwaka 1970; na watuhumiwa kukamatwa wote. Kambona hakuwa nchini.
 
Miaka hiyo ya sitini "majumba" yalikuwa na maana tofauti kabisa na majumba unayofikiri wewe leo. Kuhusu kuondoka kwake, ni kweli kumekuwa na taarifa zinazokinzana. Ukisoma makala yake mwenyewe aliyoandika kwenye jarida Africa Now mwaka 1983, alisema alisweka ndani Keko lakini baadaye akatoroshwa na askari wenye mapenzi kwake kwa kutumia kwa lori la mizigo hadi nchi jirani. Ukisoma taarifa nyingine zinasema kuwa aliondoka kama msafiri wa kawaida hata kabla mambo ya uhaini hayajaibuliwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…