Ukweli ni upi kuhusu Oscar Kambona?

Ukweli ni upi kuhusu Oscar Kambona?

Kupitia post zako hapa nimepata fununu ya grudges zako dhidi ya Baba wa Taifa na wengineo
1. it seems the hero is Kambona,

Yes, isipokuwa tu another hero, besides Mwalimu, Mwalimu bado ni the grande, lakini Kambona yuko right behind Mwalimu, or he should be!

2. unfortunately he was denied his spotlight.. na aliyemuonea wivu..

Definetely, by Mwalimu ambaye he never wanted any to share spotlight with him, katika kipindi chake chote cha utawala hakupenda kuwa na competition, ndio maana alizungukwa na all the mediocres, ambao sasa wanatupeleka pabaya, Mao alizungukwa na kuwakubali strong competitors, nina kitabu kinaitwa " The Privete Life Of Chairman Mao" kilichoandikwa na daktari wake private wa zamani, anaitwa Dr. Li Zhisui, kimechapishwa na Random House naomba mkuu wangu MMJ, kitafute uyaone mwenyewe live jinsi Mao alivyokuwa akipigwa mawe na viongozi wenziwe kila alipojaribu kuleta nonesense ideas, sasa itashangaa kwa nini China inayoyoma tu mbele na sisi kina Mkapa ndio wameishia kuwa mabepari sisi tunaimba nyimbo za kumsifu Mwalimu, na Azimio La Arusha tu!

3. by jamaa aliyekuwa hataki Watanzania waendelee

Mwalimu, alipenda sana ujiko wa siasa, alikuwa willing hata ku-sacrifice taifa letu kwa kujali ujiko wake binafsi, alitupelekea kwenye vita vya Uganda, just kuongezea tu ujiko wake kisiasa, alitaka wabongo tuendelee lakini hakuwa an vision ya how to do it na hakutaka kusikiliza wengine au the brain kama kina Professor Rweyemamu, matokeo yake ni here we are completely lost out!
 
Kupitia post zako hapa nimepata fununu ya grudges zako dhidi ya Baba wa Taifa na wengineo
Mengi kumhusu Kambona ambayo hatukuwa na maelezo nayo hatimaye yameelezwa na Mzee Job Lusinde aliyesoma na Kambona sekondari na baadaye wote wakawa kwenye baraza la mawaziri hadi Kambona anakwenda ukimbizini.

Raiamwema walitoa makala zake kwenye gazeti lao kama wiki mbili zilizopita, si mbaya ukazisoma kama utakuwa hujazisoma.
 
Wazee wa TANU walikosea sana kumpa huyu jamaa nchi kwa nini asipewe Kambona(jina safi kabisa la kimwera hili) ili kabila lina weledi na mambo ya uongozi natumai mh. Bernad Membe atafaa kuiongoza nchi hii na kukizi mahitaji ya watanzania.
 
Hapa nadhani kuna factions mbali mbali za wakoloni wakiingereza ambapo kila faction ilikuwa na mtu wake ambaye wangetaka awe Rais wa Tanganyika (baada ya kuona vugu vugu la uhuru kwenye nchi za Afrika haliwezi kuzuilika).

Unaweza kuona kwamba Julius aliandaliwa na faction fulani (including yule padre wake) na Oscar aliandaliwa na faction fulani (including huyo askofu wake wa kianglikana). Pia kuna faction nyingine zilikua zinataka chifu huyu au yule awe Rais.

Kidhehebu Muingereza aliwapendelea Anglicans kwanza, then Presbyterians, then Lutherans. Muingereza hakupenda wakatoliki. Walutheri alikuwa na wasi wasi nao kidogo kwamba wangependa wajerumani zaidi ya waingereza.

Nahisi hilo jeshi la Tanganyika African Rifles ambalo lilirithiwa kutoka kwa jeshi la kikoloni lilikua na waprotestanti wengi wa kianglikana na kipresbyterian. Walutheri walikuwepo ila sio wengi kama hao wengine.

Nahisi vile vile huenda kisiri siri Kambona alikua chanzo cha hiyo 1964 mutiny. Huku aki act kama ndo anawatuliza. Nimenote Job Lusinde ni muanglikana pamoja na samuel malecela. Nahisi Julius aliwatumia walutheri na presbyterians kuwatoa waanglikana kwenye jeshi. Then akatumia waislamu kuwatoa walutheri. Then akawaweka wakatoliki.

Anyway baada ya hiyo mutiny Julius alifanya maneuvering na kuwaweka wakatoliki jeshini. Akija Rais muislamu huwa anaweka watu wake lakini akitaka kuvuka kiwango fulani huwa ana meet resistance ambayo inamfanya aache huo mpango.

Ingawa Julius alishinda hii power struggle na nchi ili suffer because of him, it was a blessing in disguise. Wakati wa waprotestanti kuongoza Tanzania ulikua bado haujaja. Waprotestanti walikua na tamaa ya mali na majivuno, wakati hawakua perfect spiritually as they were supposed to be. They had to be humble na kupunguza pride yao before washike uongozi. Waanglikana walikuwa karibu na waingereza na uanglikana sometimes unafanana na ukatoliki, so huenda hakuna spiritual advantage kubwa ya Rais wa kwanza kuwa muanglikana.

Julius aliposhinda power struggle dhidi ya Sokoine (Sokoine alikuwa mkatoliki) it was a blessing in disguise. Nchi ilihitaji ahueni ya kupumzika kutoka siasa za Sokoine.

Format wanayopenda kutumia nchi kubwa ni kwamba kunakuwa na ‘rafiki’ wao namba moja (Julius) na ‘rafiki’ wao namba mbili (Oscar), ili rafiki yao namba moja asipofanya wanachotaka basi rafiki yao namba mbili anamuondoa huyo namba moja na kuwa kiongozi. Mara nyingi wanapenda rafiki yao namba moja awe boya na rafiki wao namba mbili ndo awe na madaraka ya kweli. Waingerea vile vile wameweza kuweka marais waislamu marafiki zao kwenye nchi za kiafrika e.g. magenerali wakiislamu wa Nigeria. So saa ingine wanaangalia maslahi yao na sio dini.

Nadhani kutokana na political maneuverings alizofanya Julius katika mazingira magumu na hatarishi anastahili kuwa mwenye heri wa kanisa lake. Bila ya yeye kanisa lake lingepata shida hapa nchini. Of course wengine ambao si wakatoliki (pamoja na wakatoliki wachache) wanaweza kutoa sababu za kukataa uenye heri wake.

Moja wapo ya Dilemma ya waingereza kidini ni kwamba mjerumani alishakuja Tanganyika. Since ulutheri ndio ilikua dini ya watawala wa Ujerumani (Bismark na Kaiser), Wakoloni wa kijerumani walichagua maeneo mazuri sana ya TZ (Kilimanjaro, Usambara, Arusha, Mbeya, Iringa na Kagera) na kuyafanya maeneo ya walutheri. Of course wakatoliki wakijerumani walipewa pia sehemu ya maeneo hayo. Muingereza kuja akabidi aeneze uanglikana kwenye maeneo ambayo sio mazuri sana (Dodoma etc). Ingawa aliweka makanisa pia kwenye maeneo yale ya walutheri.

Sasa the winds of change are blowing across Tanzania. Na uprotestanti umepata nguvu tena Tanzania (especially wapentekoste na walutheri). Nadhani around 1/3 to 40% ya watanzania ni waprotestanti wa madhehebu mbali mbali. Kuna dalili kwamba baada ya miaka 70 ya uhuru (2031) waprotestanti ndo wataiongoza Tanzania. Na makanisa yao ndio yatakalia kiti cha utawala Tanzania. Pia kuna uwezekano nguvu kubwa pamoja na propaganda ikatumika kuzuia hayo mabadiliko yasitokee. Kwahiyo anayejua na muamuzi wa haya ni Mungu wa Isreal mwenyewe.
 
the best president that we never had, huyu jamaa angetufikisha mbali Sana. nyerere alimkimbiza kizuizini kwani alikuwa anapinga Sera za ujamaa
Una uhakika angekufikisha mbali au ndiyo kuongozwa na hisia tu matamanio kama ilivyo nature ya mwanadamu kutamani kile asichokuwanacho
 
Una uhakika angekufikisha mbali au ndiyo kuongozwa na hisia tu matamanio kama ilivyo nature ya mwanadamu kutamani kile asichokuwanacho
Mimi binafsi nina imani hiyo, sababu yale yote aliyoyapinga Mwalimu enzi hizo ndiyo tunapambana nayo kuyarudisha hadi leo.

Mfano leo hii tunatamani kuwepo na Democrasia ya kweli ambayo tulikuwa nayo kipindi cha nyuma, pia

Tunatamani kuwepo na wawekezaji wa ndani ambao walirudi nyuma na wengine kufirisiwa kipindi cha nyuma.

Hadi sasa nchi emekosa kabisa sera na muelekeo wa kufuata; tunaitamani Democrasia lakini hatutaki kukabidhi nchi kwa vyama vingine. Tunatamani kupata wawekezaji wazalendo lakini hatuwapi mazingira huru kuwekeza.

Matokeo yake nchi badala ya kutafuta njia ya kupata mendeleo makubwa, tumebaki kuwaza tutafanya nini ili uchaguzi ujao chama chetu kibaki kuwa madarakani. Lakini kama tungeendelea na democracy tokea miaka 60 sasa hivi ingekuwa ndiyo maisha yetu.
 
Nafuatilia kwa karibu mjadala huu. Ni mjadala muhimu sana katika kuweka sawa historia ya Taifa letu. Nadhani Kambona kukimbia nchi sio sababu ya kushuku uzalendo wake hata kidogo. Kutokwenda kwake msituni (sijui msitu gani hapa Tanzania) ilikua ahueni kwa nchi yetu na ina amani mpaka sasa. Tuendelee
nafurahi kuona ulipitia hii thread
 
Aisee hebu wafanye haraka Hili swala
nyani ..habari za upande wa pili zitapatikana tu ..MJANE WA MAREHEMU FLORAH KAMBONA ..na binti yake NEEMA [msemaji wa UMOJA house or european union dar]..wapo ...mama yake naye ahojiwe ana mengi ya kusema juu marehemu shemeji yake[mwalimu] na bestman wao...msichelewe yule mama nafikiri naye anaelekea uzeeni simsikii sana siku hizi...hapo nyuma alishawahi kuhojiwa na marehemu STAN KATABALLO wa mfanyakazi..aliongea kwauchungu sana juu ya kutoroka,maisha yao ya london [tabu na raha kiasi]..machungu ya kuuliwa kijana wao wa kiume kiutatanishi[wao wanahisi aliuliwa na ma agent wa tanzania ili kumuumiza zaidi kambona kwa kuwa yule kijana wa kiume alikuwa first bon..na alitegemewa na baba yake kurudi tz baadaye kuendeleza alipoachia..psychology attack..hiyo moment [ya kuuliwa kijana wao]hadi leo florah akiongea atadondosha chozi tu...waandishi hapo msichelewe basi time is running wazee wanaondoka hawa !!!!

kijana wa kiume wa kambona inasadikiwa kabaki mmoja[alizaa kwenye mechi za ugenini..you know what i mean wanaume]....inasadikiwa huyo kijana anaitwa OSCAR jr KAMBONA...kazaliwa na mama mzungu if i am right...yupo london na mambo yake ni njema [mfanyabiashara]...ila nasikia kwa hasira alizojazwa na baba yake hataki kukanyaga tanzania.hata kuzika hakuja ..zaidi ya kuuguza na kuaga london.inadaiwa hajulikani sana kwa kuwa baada ya yule kijana wake kuuliwa...kambona aliamua kumkinga huyu mtoto kwa kuficha identity ili asikomolewe tena...[fuatilieni na hilo]

neema na mama yake bado hadi leo kwa uchungu wanafuatilia mali za baba yao ..ambazo wanarudishiwa kidogo kidogo...mara ya mwisho nakumbuka florah alienda kumlilia mwinyi kwani baada ya kufika hata nyumba walipanga huku mume wake akiugua...mzee mwinyi aliwarudishia moja waishi..sijui mkapa...moja ya nyumba za kambona masaki ..kawawa aliwahi kuishi kwa muda zamani...
 
Una akili sana wewe
Hapa nadhani kuna factions mbali mbali za wakoloni wakiingereza ambapo kila faction ilikuwa na mtu wake ambaye wangetaka awe Rais wa Tanganyika (baada ya kuona vugu vugu la uhuru kwenye nchi za Afrika haliwezi kuzuilika).

Unaweza kuona kwamba Julius aliandaliwa na faction fulani (including yule padre wake) na Oscar aliandaliwa na faction fulani (including huyo askofu wake wa kianglikana). Pia kuna faction nyingine zilikua zinataka chifu huyu au yule awe Rais.

Kidhehebu Muingereza aliwapendelea Anglicans kwanza, then Presbyterians, then Lutherans. Muingereza hakupenda wakatoliki. Walutheri alikuwa na wasi wasi nao kidogo kwamba wangependa wajerumani zaidi ya waingereza.

Nahisi hilo jeshi la Tanganyika African Rifles ambalo lilirithiwa kutoka kwa jeshi la kikoloni lilikua na waprotestanti wengi wa kianglikana na kipresbyterian. Walutheri walikuwepo ila sio wengi kama hao wengine.

Nahisi vile vile huenda kisiri siri Kambona alikua chanzo cha hiyo 1964 mutiny. Huku aki act kama ndo anawatuliza. Nimenote Job Lusinde ni muanglikana pamoja na samuel malecela. Nahisi Julius aliwatumia walutheri na presbyterians kuwatoa waanglikana kwenye jeshi. Then akatumia waislamu kuwatoa walutheri. Then akawaweka wakatoliki.

Anyway baada ya hiyo mutiny Julius alifanya maneuvering na kuwaweka wakatoliki jeshini. Akija Rais muislamu huwa anaweka watu wake lakini akitaka kuvuka kiwango fulani huwa ana meet resistance ambayo inamfanya aache huo mpango.

Ingawa Julius alishinda hii power struggle na nchi ili suffer because of him, it was a blessing in disguise. Wakati wa waprotestanti kuongoza Tanzania ulikua bado haujaja. Waprotestanti walikua na tamaa ya mali na majivuno, wakati hawakua perfect spiritually as they were supposed to be. They had to be humble na kupunguza pride yao before washike uongozi. Waanglikana walikuwa karibu na waingereza na uanglikana sometimes unafanana na ukatoliki, so huenda hakuna spiritual advantage kubwa ya Rais wa kwanza kuwa muanglikana.

Julius aliposhinda power struggle dhidi ya Sokoine (Sokoine alikuwa mkatoliki) it was a blessing in disguise. Nchi ilihitaji ahueni ya kupumzika kutoka siasa za Sokoine.

Format wanayopenda kutumia nchi kubwa ni kwamba kunakuwa na ‘rafiki’ wao namba moja (Julius) na ‘rafiki’ wao namba mbili (Oscar), ili rafiki yao namba moja asipofanya wanachotaka basi rafiki yao namba mbili anamuondoa huyo namba moja na kuwa kiongozi. Mara nyingi wanapenda rafiki yao namba moja awe boya na rafiki wao namba mbili ndo awe na madaraka ya kweli. Waingerea vile vile wameweza kuweka marais waislamu marafiki zao kwenye nchi za kiafrika e.g. magenerali wakiislamu wa Nigeria. So saa ingine wanaangalia maslahi yao na sio dini.

Nadhani kutokana na political maneuverings alizofanya Julius katika mazingira magumu na hatarishi anastahili kuwa mwenye heri wa kanisa lake. Bila ya yeye kanisa lake lingepata shida hapa nchini. Of course wengine ambao si wakatoliki (pamoja na wakatoliki wachache) wanaweza kutoa sababu za kukataa uenye heri wake.

Moja wapo ya Dilemma ya waingereza kidini ni kwamba mjerumani alishakuja Tanganyika. Since ulutheri ndio ilikua dini ya watawala wa Ujerumani (Bismark na Kaiser), Wakoloni wa kijerumani walichagua maeneo mazuri sana ya TZ (Kilimanjaro, Usambara, Arusha, Mbeya, Iringa na Kagera) na kuyafanya maeneo ya walutheri. Of course wakatoliki wakijerumani walipewa pia sehemu ya maeneo hayo. Muingereza kuja akabidi aeneze uanglikana kwenye maeneo ambayo sio mazuri sana (Dodoma etc). Ingawa aliweka makanisa pia kwenye maeneo yale ya walutheri.

Sasa the winds of change are blowing across Tanzania. Na uprotestanti umepata nguvu tena Tanzania (especially wapentekoste na walutheri). Nadhani around 1/3 to 40% ya watanzania ni waprotestanti wa madhehebu mbali mbali. Kuna dalili kwamba baada ya miaka 70 ya uhuru (2031) waprotestanti ndo wataiongoza Tanzania. Na makanisa yao ndio yatakalia kiti cha utawala Tanzania. Pia kuna uwezekano nguvu kubwa pamoja na propaganda ikatumika kuzuia hayo mabadiliko yasitokee. Kwahiyo anayejua na muamuzi wa haya ni Mungu wa Isreal mwenyewe.
 
Mzee Kichuguu asante for brief,

Unajua huwa sometimes na regret kumezeshwa zile nyimbo za nursery ...Kambona ha ha! wivu ulimshinda shauri ya mapesaaa! But kambona in some extent naona alikua sahihi kupinga mpango wa azimio la Arusha.Hata Nyerere mwenyewe nadhani alikuja kugundua kosa.

ONA LEO MAMBO YA UJAMAA YALIVYO KIMYA KIMYA
R.i.p ben
 
Mengi yamesemwa kuhusu Mzee wetu huyu na sisi tuliokuwa shuleni wakati ule tulilishwa kile ambacho naamini ni sumu. Wakubwa tuelimisheni ukweli kuhusu Mzee huyu.

kambona.jpg

source: ThisDay November 30, 2007, http://www.thisday.co.tz/News/3077.html

natumaini waandishi wa historia ya tanzania watampa nafasi yake kwa mchango mkubwa aliyoutoa.

RIP mzee kambona.

===========================
[h=2]Oscar Salathiel Kambona, alitaka kumpindua Nyerere kwa kushirikiana na wapiganaji wa Umkhonto.[/h]
Nitarudi
 
Ngoja nitoe kumbukumbu yangu, it may have holes.

Inasemekana kuwa Kambona alikuwa rafiki mkubwa sana wa Nyerere aliyekuwa bestman kwenye harusi yake iliyofanyika London. Katika serikali za kwanza kwanza za Nyerere, Kambona alikuwa ni Waziri mwandamizi aliyekuwa an sauti kuliko mawaziri wengin wote, isipokuwa labda Kawawa. Wakati wa maasi ya 1964, inasemekana pia kuwa ni Kambona na Okello ndio walioongea na kuwatuliza askari waasi. Vile vile katika zile siku 100 za kuelekea Muungano, Nyerere alisikiliza sana ushauri wa Kambona kuliko mtu yeyote kuhuhusu umuhimu wa muungano na structure yake.

Hata hivyo baadaye uhusiano kati ya Kambona na Nyerere ulianza kuwa mbaya hasa pale Kambona alipoanza kujenga majumba mengi ya kupangisha Dar kwa haraka haraka huku akiwa waziri, jambo ambalo halikuwa tamu kwa Nyerere. Halafu wakati Nyerere anaandika Azimio la Arusha, Kambona alijitokeza kumpinga Nyerere directly kutokana na ile miiko ya uongozi ambayo ilikuwa inaingiliana na zile nyumba alizokuwa amejenga hapo Dar.

Kwa vile mwishoni lile Azimio la Arusha lilipita na kuanza kutaifisha majumba ya kupangisha yakiwemo na yale ya kambona, basi Kambona akasuka mpango wa kumpindua Nyerere kusudi kusimamisha hiyo operation ya Azimio la Arusha. Waliohusika katika mpango walikuwa wengi sana ikiwa ni pamoja na Titi Mohammed, Lifa Chipaka, Kamaliza, na wengineo. Sielewi mpango wenyewe ulivujaje, lakini wahusika wote walishikwa na kuswekwa kwenye gereza la Keko. Kutokana na umaarufu wake, Kambona alisaidiwa na walinzi wa gereza hilo kutotoroka. Nadhani kwanza alikimbilia Malawi ambako ndiko alikoondokea kwenda kuishi uhamishoni London.

Kitu kimoja binafsi huwa nadhani kuwa Mzee kambona was right kuhusu vipengele kadhaa vya Azimio la Arusha, hasa ule utaifishaji wa njia kuu zote za uchumi. Hata hivyo kwenye miiko ya uongozi nadhani vile vile alikuwa kakosea. Kilichotakiwa ni kuwa kuandika upya miiko hiyo huku ikiheshimu mali alizokuwa nazo mtu kabla ya kuwa kiongozi.

Nisahihishe. Kambona hakuwa amejenga majumba yake haraka haraka. Kambona hakulitaka Azimio la Arusha. Aliondoka Dar es Salaam kwa kutoroka kupitia Nairobi hadi Uingereza nadhani mwaka 1968. Halikuwa jaribio bali njama tu ya kufanya mapinduzi lilifanyika miaka miwili baadaye mwaka 1970; na watuhumiwa kukamatwa wote. Kambona hakuwa nchini.
 
Miaka hiyo ya sitini "majumba" yalikuwa na maana tofauti kabisa na majumba unayofikiri wewe leo. Kuhusu kuondoka kwake, ni kweli kumekuwa na taarifa zinazokinzana. Ukisoma makala yake mwenyewe aliyoandika kwenye jarida Africa Now mwaka 1983, alisema alisweka ndani Keko lakini baadaye akatoroshwa na askari wenye mapenzi kwake kwa kutumia kwa lori la mizigo hadi nchi jirani. Ukisoma taarifa nyingine zinasema kuwa aliondoka kama msafiri wa kawaida hata kabla mambo ya uhaini hayajaibuliwa.
 
Back
Top Bottom