ni kweli kwa nini umehamisha hoja? au kwako wewe kuongelewa vizuri kambona ni kumkashifu mwalimu? imesemwa nia si kumshusha hadhi mwalimu bali kutambua mchango wa kambona na ikiwezekana wengine ambao mchango wao katika taifa hili umezimwa kwa makusudi au kwa bahati mbaya.
sijahamisha hoja, nimeiweka kwenye proper perspective!
cha ajabu mkuu umemvalia njuga kambona. kuna nini hutaki kijulikane?
Hivi Kambona hasemwi? Watu wamemuita Nyerere a dictator and everything else lakini kufunuliwa Kambona imekuwa nongwa.
labda mke wa kambona atueleze waliondokaje. kama waliruhusiwa kwa nini wapande ndege nairobi na sio dar?
Ndio maana nilisema waulizwe, siyo mke tu bali maafisa walioshiriki n.k kwanini hilo linaogopwa?
unajua ni ndugu wangapi wa kambona waliwekwa kizuizini kwa miaka kadhaa, kisa wana undugu au ujamaa na kambona?
Rekodi mbona iko wazi haihitaji kukisia.. fuatilia kesi ya Uhaini ya kwanza ya Jamhuri yetu. Kama wapo wengine waliwekwa kizuizini tuambiwe ni kina nani na kama kuwekwa wao kizuizini kulikuwa kinyume cha sheria.
japo sijui ukweli nadhani kunatofauti kati ya kufichwa na kujificha.
hizo ni semantics ukweli utabakia pale pale, mtu haonekani!
sasa wewe mkuu nani alisema kambona alitumwa na mwalimu akazime maasi? je haiwezekani kwamba kambona alifanya hivyo kwa utashi wake na na ushupavu wake? kwani nayeye angeshindwa kujificha?
Nimesema rekodi zipo kwani ule uasi ulifanyika kwa siri? Kambona ndiye aliyetengeneza legend ya "ndiye aliyetuliza machafuko ya 1964 wakati Nyerere na Kawawa wamejificha kwenye kibanda cha nyasi". Hiyo ilikuwa ni hoja ya kujipatia umaarufu kwa Wanigeria haina msingi katika historia.
mzee hakuna aliyesema kambona ni namba moja au alikuwa namba moja na mwalimu namba mbili, la hasha. mzee naona umeamua kupindisha hoja na kuifanya nyerere vs kambona duh! huko mimi simo!!!
Hapana sijafanya hivyo kuna watu wanajaribu kumfanya Nyerere za Villain na Kambona za Hero. The story here unfortunately is about the two most important figures in the early history of the nation. It is about Kambona Vs Nyerere, and it ough to be that way.
nje ya mada: hivi leo hii ikija nchi na kuunga mkono wazi wazi kujitenga kwa zanzibar au kuonyesha ishara za kuunga mkono wa hoja zanzibar kujitenga utachekelea?[/QUOTE]
itategemea wanatoa hoja gani, give me an example. Hivi unafahamu kwanini Biafra ilitaka kujitenga toka Nigeria kubwa?