Kafara
JF-Expert Member
- Feb 17, 2007
- 1,396
- 425
- Thread starter
- #181
Icadon tarehe 12 January 1968 Kambona alipewa nafasi hiyo.. akagwaya. Aliporudi nyumbani alipewa nafasi ya kufanya hivyo jangwani akapiga porojo na akaaondoka kama aliyenyeshewa mvua..
acha hiyo aje kujisafisha wakati ndugu na jamaa zake wapo kizuizini! arudi hajipendi?
jangwani angejisafisha nini? wakati tayari damage ishafanywa kwa zaidi ya miaka ishirini (watu kuanzia wapo vichekechea hadi wanafanya kazi wamelishwa dozi ya umalaya na ubaya wa kambona) halafu unataka ajisafishe kwa siku moja kweli angeweza?