Ukweli ni upi kuhusu Oscar Kambona?

Ukweli ni upi kuhusu Oscar Kambona?

Icadon tarehe 12 January 1968 Kambona alipewa nafasi hiyo.. akagwaya. Aliporudi nyumbani alipewa nafasi ya kufanya hivyo jangwani akapiga porojo na akaaondoka kama aliyenyeshewa mvua..

acha hiyo aje kujisafisha wakati ndugu na jamaa zake wapo kizuizini! arudi hajipendi?

jangwani angejisafisha nini? wakati tayari damage ishafanywa kwa zaidi ya miaka ishirini (watu kuanzia wapo vichekechea hadi wanafanya kazi wamelishwa dozi ya umalaya na ubaya wa kambona) halafu unataka ajisafishe kwa siku moja kweli angeweza?
 
Hayo ya nafasi ya kurudi ilikuwa danganya toto tu. I'm glad he didn't fall for it. Angerudi tu angeswekwa Ukonga.
 
sasa kama hakujisafisha kosa la nani? Ni haya haya ya kina mzee JM na EL ambao hadi leo wameshindwa kusimama kujisafisha halafu baadaye tuje ulizwa walipewa nafasi ya kujisafisha? Si ndio sisi tunamtaka Mkapa azungumze na yeye kama idol wake Kambona hataki kujisafisha kwa sababu ni msimamo wao.
 
Hayo ya nafasi ya kurudi ilikuwa danganya toto tu. I'm glad he didn't fall for it. Angerudi tu angeswekwa Ukonga.

kama alikuwa sahihi aliogopa nini kwenda na kuwa shujaa wa kisiasa Tanzania? Mbona kina Mandela walienda kifungoni? Si kina Mtikila wameenda kifungoni hawa, ndio maana MwK anamuita muoga!
 
I can't claim what you allude to me, I am a simple farmer. A villain he was, wasn't he? on the energy drink part lazima nikupe credit aidha una undugu na Shehe Yahya Bin Hussein au unafahamiana na Ms. Cleo..

I have no affiliations with Ms. Cleo...she's in your neck of the woods...

And no, an EMPHATIC NO. Kambona was not a villain. Your man and his propaganda machine made him appear that way. Forcing little innocent kids to recite verses that trashed him...talk about kuishiwa hoja!!!
 
acha hiyo aje kujisafisha wakati ndugu na jamaa zake wapo kizuizini! arudi hajipendi?

jangwani angejisafisha nini? wakati tayari damage ishafanywa kwa zaidi ya miaka ishirini (watu kuanzia wapo vichekechea hadi wanafanya kazi wamelishwa dozi ya umalaya na ubaya wa kambona) halafu unataka ajisafishe kwa siku moja kweli angeweza?

Ndio maana shuleni tulikuwa tukiimba kuwa usiwe mwoga kama Kambona. Bonge la baby and coward. Alitakiwa awe na bollz za kuja kusimamia hoja zake no matter what.

Hata alivyokuja baadaye na ahadi kibao za kusema vitu jangwani aliishia kubwabwaja tu na hata sie watoto ambao hatukumfahamu tukamuona kuwa Kambona amebadilika kuwa bonge la coward!
 
I have no affiliations with Ms. Cleo...she's in your neck of the woods...

And no, an EMPHATIC NO. Kambona was not a villain. Your man and his propaganda machine made him appear that way. Forcing little innocent kids to recite verses that trashed him...talk about kuishiwa hoja!!!

hahahah.. history will be the best judge hero, he was not!
 
kama alikuwa sahihi aliogopa nini kwenda na kuwa shujaa wa kisiasa Tanzania? Mbona kina Mandela walienda kifungoni? Si kina Mtikila wameenda kifungoni hawa, ndio maana MwK anamuita muoga!

Wasn't he tried in absentia and found not guilty? And still that didn't mean jack...he was probably gonna get harassed anyway....

Halafu haya ya uwoga....mbona dikteta wako naye alienda kujificha jeshi lilipoasi...? He was a coward and a chicken on top of that too!!!
 
I have no affiliations with Ms. Cleo...she's in your neck of the woods...

And no, an EMPHATIC NO. Kambona was not a villain. Your man and his propaganda machine made him appear that way. Forcing little innocent kids to recite verses that trashed him...talk about kuishiwa hoja!!!

Nyani,

Kwa tuliosoma nyakati za Mwinyi, hakuna mtu aliyelazimisha watu ku-recite chochote kama story nazosikia hapa kuwa wakati wa Mwl watu walilazimishwa (inatisha kusikia kuwa Mwl alikuwa all over kuanzia Kilimanjaro hadi Lindi).

Nikiwa shuleni, kulikuwa na usemi wa kutokuwa waoga kama Kambona na hakuna mtu aliyelazimisha hili kusemwa. Kumbuka kuwa vitabu vya siasa na uraia vilimtaja Kambona kama mmoja waanzilishi wa TANZU.

Kambona alivyorudi na kuahidi kusema mengi jangwani, nilimpa nafasi ila akaipoteza mwenyewe kwa ku-bluff.
 
I can't claim what you allude to me, I am a simple farmer. A villain he was, wasn't he? on the energy drink part lazima nikupe credit aidha una undugu na Shehe Yahya Bin Hussein au unafahamiana na Ms. Cleo..

291384989.jpg

Kambona alivyokuwa kijana

291384991.jpg

Siku aliyorudi Tanzania akiwa na Binti yake Neema.

Hii ya jangwani naikumbuka maana vijana wa zamani walikuwa na hamu ya kumsikia atasema nini kuhusu Mwalimu(rip) na nini hasa alichokuwa anafanya baada ya kukaa uhamishoni miaka yote hiyo.

Picha kwa Hisani ya MIchuzi
 
Nyani,

Kwa tuliosoma nyakati za Mwinyi, hakuna mtu aliyelazimisha watu ku-recite chochote kama story nazosikia hapa kuwa wakati wa Mwl watu walilazimishwa (inatisha kusikia kuwa Mwl alikuwa all over kuanzia Kilimanjaro hadi Lindi).
Nikiwa shuleni, kulikuwa na usemi wa kutokuwa waoga kama Kambona na hakuna mtu aliyelazimisha hili kusemwa. Kumbuka kuwa vitabu vya siasa na uraia vilimtaja Kambona kama mmoja waanzilishi wa TANZU.

Kambona alivyorudi na kuahidi kusema mengi jangwani, nilimpa nafasi ila akaipoteza mwenyewe kwa ku-bluff.

Hatukulazimishwa kwa vile kulikuwa na New Sherriff in town...la sivyo na wewe ungekuwa mahiri wa kutunga ngonjera sasa hivi....kwikwikwiiiiii
 
Wasn't he tried in absentia and found not guilty? And still that didn't mean jack...he was probably gonna get harassed anyway....

Halafu haya ya uwoga....mbona dikteta wako naye alienda kujificha jeshi lilipoasi...? He was a coward and a chicken on top of that too!!!

Kweli kabisa,

Nyerere alivyokimbia kujificha wakati jeshi linaasi huo ni uoga kama vile Kichaka alivyojificha kwenye ndege siku ile ya jumanne asubuhi (wengine wanasema hii ni procedure).

Kinachomtofautisha Nyerere na Kambona hapa ni kuwa Nyerere alirudi na akaface wabaya wake ila Kambona akakimbia like a baby na hakusikika tena (talking 'bout a ballzless guy).
 
Good...so msimlaumu mtu anapoamua kuingia mitini when it is a matter of life and death
 
Hatukulazimishwa kwa vile kulikuwa na New Sherriff in town...la sivyo na wewe ungekuwa mahiri wa kutunga ngonjera sasa hivi....kwikwikwiiiiii

Kwi kwi kwi kwi,

NO,

Huu ni ushahidi kuwa Mwl Hakulazimisha chochote maana Mwl sio Omnipotent wa kuwa every where at the same time. Sidhani kuwa kulikuwa na technologia yoyote ya Mwl kumonitor kuwa nchi nzima watu wanalazimishwa kumsema vibaya Kambona.

Kambona amesemwa vibaya hata baada ya Nyerere kustaafu. Shuleni Kambona ilikuwa ni reference ya weakness and cowardnessness.

Poor guy, I feel sorry for the ballzless guy now! RIP Kambona
 
la kwake halikuwa la life and death bwana hapa ndipo mnapotengeneza myth ya Kambona! Nyerere aliposhitakiwa na Wakoloni na kufikishwa mahakamani what did he do?
 
oh yes it was a life and death situation! hivi umewahi kufungwa jela bongo wewe au unasema tu hapa?
 
291384989.jpg

Kambona alivyokuwa kijana

291384991.jpg

Siku aliyorudi Tanzania akiwa na Binti yake Neema.

Hii ya jangwani naikumbuka maana vijana wa zamani walikuwa na hamu ya kumsikia atasema nini kuhusu Mwalimu(rip) na nini hasa alichokuwa anafanya baada ya kukaa uhamishoni miaka yote hiyo.

Picha kwa Hisani ya MIchuzi

Kambona the coward,

Ubinafsi na uoga umekubadili hadi inatisha! NO wonder alishindwa kusema chochote hata baada ya much hyped publicity kuwa ana bonge ya story to tell.

Nafsi ilimsuta kwa vile aliona aibu kuwa amekimbia nchi na kuacha wenzake waki-face the muzik.

Please Kambona the Coward -- RIP Mzee.
 
Kwi kwi kwi kwi,

NO,

Huu ni ushahidi kuwa Mwl Hakulazimisha chochote maana Mwl sio Omnipotent wa kuwa every where at the same time. Sidhani kuwa kulikuwa na technologia yoyote ya Mwl kumonitor kuwa nchi nzima watu wanalazimishwa kumsema vibaya Kambona.

Kambona amesemwa vibaya hata baada ya Nyerere kustaafu. Shuleni Kambona ilikuwa ni reference ya weakness and cowardnessness.

Poor guy, I feel sorry for the ballzless guy now! RIP Kambona

Kweli Nyerere wenu hakuwa kila sehemu kwa wakati wote lakini alikuwa ni kama mungu mtu fulani hivi kiasi ukisikia jina lake tu unanywea bila hata ya kumwagiwa maji. Watu walikuwa wanamwogopa Nyerere bwana. We mpaka sasa hivi watu bado wanadhani raisi wa Tanzania ni raisi Nyerere. We unafanya mchezo nini. Unajua alipokufa baddhi ya media outlet za magharibi zilimzungumzia kama vile alikuwa bado raisi. Acha mchezo bwana kile kibabu kilikuwa hatari sana. Moto wa kuotea mbali.
 
Back
Top Bottom