YNIM
JF-Expert Member
- Aug 29, 2007
- 2,215
- 25
Kamjadala kalikuwa katamu, lakini naona mara ooooooh imekuwa story ya "W-ballz."!!!!! Mtu yeyote anayeshabikia upinzani leo hii nchini Tanzania, na wakati huo huo ni mshabiki wa Nyerere basi mtu huyo ni chizi. Na ndio maana labda WaTZ hawaoni tofauti kati yenu na SISIEM kwani wote baba yenu mmoja kwa jina Julius, pale utakapo chora mstari na watu kuanza kumwita Nyerere kwa majina anayositahiri(baba wa taifa lisiwepo)na legacy yake kutopindishwa basi tutaendelea kuwa na chama kimoja Tanzania kwa karne nyingine nzimaaaa.
Nyie mnasema Kambona(RIP) alikimbia, mbona ninyi hamjioni?? mnabweka toka kajificheni huko Detroit na NYC......kwa maana hiyo pia ninyi hamna balls?? au kuna tofauti gani??. Tuongee ukweli na kuacha ushabiki, mambo ya bendera kufuata upepo ni ya kizamani sana wajameni.