Mwafrika wa Kike
JF-Expert Member
- Jul 5, 2007
- 5,185
- 60
oh yes it was a life and death situation! hivi umewahi kufungwa jela bongo wewe au unasema tu hapa?
Hapo sasa ndio alitakiwa aonyeshe ushujaa wake wa kuface chochote kile kwa manufaa ya vizazi vijavyo. Fuatilia Navy Seal training ya US uone kuwa principle kubwa ya seal ni kuface the muziki all the time.
Hii ndio inatofautisha hero na coward, ndio maana nimesema kuwa mie siwezi kujiita hero and the same can be said of Kambona!