Kassim anajua sana ..tunaopenda mziki mzuri tunajua hiloAaah Awena sasa
Niliapa ukiondoka mpenzi, ntaondoka nawe
Sikuahidi kukufuta machozi, bali ntalia nawe
Ina maana hata kugeuka kunitazama hutaki Awena
Basi kama nakosa kwako nililofanya, nieleze Awena
Chozi langu la thamani unaliacha lianguke eeeh
Mti nilopanda zamani ina maana si chochote...........
Maneno matamu ulonipa chumbani, huku kichwa chako umelaza kifuani
Machozi yakikutiririka mashavuni
Kwamba hutoniacha mimi labda nitoweke duniani. ........
Heahima kwako mkuu...barnaba bado sana...asubiri hawa mabwana watoke duniani au waache kazi ya muziki...Kwenye hiyo list Barnaba hayupo kweli?
Kwa sababu zipi hasaWw Utakuwa ni moja ya kati ya wanne tu šo bure
Aaaaaaah jamani, kwenye utunzi napo barnaba naye si mtu wa mchezo mchezo kabisaHeahima kwako mkuu...barnaba bado sana...asubiri hawa mabwana watoke duniani au waache kazi ya muziki...
mpaka hawa wamefika hapo ni baada ya mzee gurumo na banza stone kuondoka...ila wangekuwapo bado wasingeeleweka kabisa kwenye ulimwengu wa watunzi mahiri wa muziki.
wafuatilie vizuri tokea enzi za mzimuni family utaelewa kwann chilla ni balaa...pia anapita kuanzia rege tags2 ridim mpaka mnanda ....jamaa ni balaa.
Amini wewe ndiwe wa pekeeSikiza sweet nikuelezeee yamoyoni nikutoe wasiwasiiii
Sikiliza kipenzi mwenye sura ya upoleee nibembelezee ili nisiwe na wasi
sikiliza kisuraa mwenye sifa ya upolee mwenye mapenzi hi hiii ya kweli kwangu
Kama shida mamy bas vumilia shida wewe
Kama njaa wote tutashinda mamaa
Ok!Kwan na wewe si ume offer free speech!! Cha ajabu nn hapo! Sitaki heshima yako ya korosho
Ulichokosea ni hiyo R kwenye WALAMBA MIDOMOHabari zenu wakuu!
Nimefikiria kitu kuhusu huyu jamaa, katika tasnia ya mziki hapa Tanzania! Huyu jamaa yupo vizuri, ukisikiliza nyimbo zake kuna tungo nzuri kwa lugha yetu ya kiswahili fasaha pasipo kuchanganya lugha za kigeni, pia ana mashairi yaliyotulia pasipo kuwa na matusi au misamiati ya kipuuzi!
Hakika jamaa anatisha sana kuliko hata hawa 'waramba midomo' wa sasa.
Ongeza ulichoona kutoka kwa huyu jamaa!
Ni kweli mamaa ila ni lazima jua lizame ili nyota zionekaneee.Aaaaaaah jamani, kwenye utunzi napo barnaba naye si mtu wa mchezo mchezo kabisa
Ooh nimekuelewaNi kweli mamaa ila ni lazima jua lizame ili nyota zionekaneee.
Ndio nikakuambia hata Q chilla na kassim nimewapa heshima ya kuwa watunzi mahiri Tanzania ni baada ya jua kuzama nikimaanisha kuondoka kwa mzee gurumo na ramadhan masanja banzastone.
Aisee barnaba nae ni shida yani ana tunga vizuri sana sema tu tatizo nyotaAaaaaaah jamani, kwenye utunzi napo barnaba naye si mtu wa mchezo mchezo kabisa
We utakua basha c bure[emoji1] [emoji1] [emoji1]Hata Tako na hips kassim kajaliwa sanaaa
Kwenye watanzania wanne eti wanasema mmoja ni ........Hata Tako na hips kassim kajaliwa sanaaa
DeletedKwenye watanzania wanne eti wanasema mmoja ni ........
Aisee barnaba nae ni shida yani ana tunga vizuri sana sema tu tatizo nyota
Natamani kukujibu ila naogopa heshima yangu kama inashuka vileee.....anyway ka mbway na iwe mbwayiii banaaaa....sie wenyewe utafiti unatutambua 1 out of 4...ahahahaha.Hata Tako na hips kassim kajaliwa sanaaa
Kama huu wimbo wake mpya jamani kajamaa kameimba vizuri sana aiseeeYani kale ka mtu kana mambo amazing mno