kimange
JF-Expert Member
- Sep 14, 2016
- 1,339
- 1,298
Kassim anajua sana ..tunaopenda mziki mzuri tunajua hiloAaah Awena sasa
Niliapa ukiondoka mpenzi, ntaondoka nawe
Sikuahidi kukufuta machozi, bali ntalia nawe
Ina maana hata kugeuka kunitazama hutaki Awena
Basi kama nakosa kwako nililofanya, nieleze Awena
Chozi langu la thamani unaliacha lianguke eeeh
Mti nilopanda zamani ina maana si chochote...........
Maneno matamu ulonipa chumbani, huku kichwa chako umelaza kifuani
Machozi yakikutiririka mashavuni
Kwamba hutoniacha mimi labda nitoweke duniani. ........