Ukweli unaoogopwa kusemwa kuhusu bwawa la umeme la Nyerere

Wananchi ni bunge boss, kwa bahati mbaya hapa kwetu bunge ni kibogoyo. Ila mikataba yote kwa nchi zinazojitambua hupitia bungeni.
Kwani vyombo vya habari si vinaripoti habari za viongozi wetu wakiwamo wabunge? Maana wewe ulisema " utasubiri hivyo hivyo " au ww mbunge?

Kwani kwenye report ya CAG hizo tn 6.5tn si zilikuwa included?Manake kama kilicho repotiwa nawandishi wa habari na report za denia taifa ni kilekile sasa kwa nini niwe na wasiwasi.

Au mwenzangu ww mbunge au may be una security clearance ya kuona mikataba ya nchi.
 
Umeandika pumba tupu

Unadhani hiyo gas kwakuwa inatoka Mtwara Tanesco ndio watapewa Bure ?

Hi nchi Kila mtu anajifanya anajua ili hi nchi iendelee inahitaji kiongozi mwenye maamuzi magumu Kariba ya Magufuli
 
Yaani huu mradi haukupaswa kuanzishwa? Wabongo mna laana kubwa sana
 

Huna akili,akili za kushikiwa na mabeberu
 
Unasema miti milioni tatu imekatwa je picha ziko wapi miti hyo ikikatwa na kukazwa Chini

Acha ombeaa kijna tuombe mungu mradi huishe

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
 
Kiongozi unaongelea vitu sensitive Sana kwa analysis isiyo na kichwa wala miguu,,,,,give to us enough information concerning things u talk tofautina hapo tutakuona uko na uwezo mdogo wa kufikiri
 
Na Mto Nile pia unaelekea kukauka! Ama sivyo?....
Hili si jambo la kubishana,the World is getting drier,scientists know it,na knowledgeable people know it.Ni common sense tu kujua kwamba as temperatures rise,more water will evaporate, leaving the soil dry.Hata
"Europe’s Rhine River is on Brink of Effectively Closing, thanks to Low Water Levels - Bloomberg"


The Mighty Mississipi River is also drying up👇


The prophetic Euphrates River is also drying up and a Mysterious Tunnel has appeared" Unbelievable! The Euphrates River dried up and this Mysterious Tunnel appeared

Ndio the Nile is also drying up👇

"The Nile is in mortal danger, from its source to the sea | The Japan Times" The Nile is in mortal danger, from its source to the sea

The Nile from another perspective.👇


Ni vilio kila corner.So I believe Tanzania will not be an exception,this is a World wide phenomen,Climate Change Geo-engineering terrorists are at work.
 
Mnaosema tungewekeza kwenye gas wala sipingani nanyi, ila kwa sasa busara ni kuanza na huo umeme wa maji. Hilo bwawa ukiacha kutuzalishia umeme pia litasaidia kuokoa lita nyingi za maji yanayomwagika tu baharini na kuyatumia katika shughuli nyingine za kiuchumi kama kilimo na ufugaji wa samaki. Pia, itatoa fursa ya hiyo gas ambayo tungeitumia kuzalishia umeme iende kwenye matumizi mengine ya yatakayochochea ukuaji wa uchumi. Swala la miti ni minor sana kwa hili, tufanye campaign hata tukitumia taasisi za Serikali kama shule miti mil 3 ni michache mno. Kongole kwa JPM na SAMIA kwa kufanikisha hili
 
Misri lile bwawa lao la kufua umeme katika mto Nile walijenga juu ya miti?. Ghana na zimbabwe yale mabwa makubwa walijenga kwenye hewa bila kukata miti?

Ulaya miradk mikubwa ya nyukria wanajenga hewani? Acha kushikiwa akili we dogo
Maji ya mti Nile ni ya uhakika yanatoka ziwa Victoria kama ilivyo maji yato congo, Tanzania hatuna mto unao toa maji ziwani nazani inhetusaidia sana
 
Miti ya asili haina mbadala wake, hayo ni maigizo tu huwa yanafanyika,
 
Wewe bogus kaa kimya, mkaa unakatwa toka miaka ya 90 hadi leo. Lini mvua iliacha kunyesha? Una record ya miti million ngapi imekatwa toka 1991 hadi leo kwa ajili ya mkaa?
Mkuu mfano Kaskazini kuna changamoto yavua kwa sasa, Kaskazini ya sasa sio.ile ya enzi hizo, Ukataji miti ni hatari sana, uaitetea kabisa, hio mikaaa tunatumia sawa lakini inaenda kutucost sana
 
Unawaza kijinga
 
Mkuu mfano Kaskazini kuna changamoto yavua kwa sasa, Kaskazini ya sasa sio.ile ya enzi hizo, Ukataji miti ni hatari sana, uaitetea kabisa, hio mikaaa tunatumia sawa lakini inaenda kutucost sana
Kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…